Attn: Website and Management System!

Kwa website inategemea ni aina gani ya website, mara nyingi huanzia laki moja na kuendelea.
Kwa system inategemeana na ukubwa wa system na requirements zake.
 
Habari! Naomba msaada wa kujuzwa juu ya bei za kutengeneza website na Management system! Akhsante

Sent using Jamii Forums mobile app

Website na Management system huwa zinatofautiana kulingana na requirements husika za project yako. Hivyo ni vyema ukaeleza requirements zako katika hiyo website na system kisha ukapewa bei elekezi.
Kwa website na management system unaweza kunicheki inbox au kwa number yangu +255 759 019 408
Kwa ushauri zaidi na kazi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom