Attention msiyo na ajira!!!

Ndikwega

R I P
Feb 1, 2012
5,979
5,524
Naomba kuuliza, hivi vijana wote tusio na ajira na serikali inatuangalia kwa furaha tu mwaonaje tutafute njia mbadala ya kuieleza jamii kuwa tuna shida?Nayaandika haya kwa sababu tupo hatarini kuangamia maana inafika mda unakuta huna kazi ya kufanya hivyo unakuta unaingia katika vishawishi vya ngono na hatma yake inafahamika tu, maana tupo loose sana.

Ushauri:
Tuandamane maandamano ya amani kuonesha hisia zetu kwa serikali ya ccm na jamii kwa ujumla. Najua wengine mtakuja na kujiajili, Ni kwamba hatuna initial capital na Financial Institutions zenyewe masharti kwa vijana kama siye ni vigumu kukidhi.
 
mie sidhani ka kuandamana itakuwa solution, we ka kijana watakiwa ujitambue na ujue what you want, mfano mie after graduation niliondoka dsm ingawa ni ka home huko kwani tuna kibanda huko, nikaenda kaskazini, nikaanza kutafuta makampuni yanayodil na fani niliyosomea,nikawapa cv na kuwaeleza kuwa nina sifa na nataka kazi, nikawapa conditions kuwa wanipe 3 months trial bila salary ila wanipe allowance ya meals na transport then wakiridhika na utendaji wangu watanihire na nikiwadissapoint wanitpotezee, wakakubali coz hata performanc yangu skul ilikuwa mwake, then after a month wakaniajiri.so wewe ka kijana u have to know what you want and how to get it,tupambane kibishi tu pamoja na kuwa smart kwenye area yako ya expertise.ni kweli vijana wengi hawana ajira wala means za kujiajiri na inaumiza wengi but kuandamana hakuwezi izindua hii serikali inafanya mabo kwa kuzima moto tu..............

my dear Ciello ,umeongea vizuri sana,ila hali halisi ya bongo siyo,inawezekana fani yako sawa,but look all around Tz.mie mwenyewe na uzee wangu sarakasi tu zinanisaidia,waache waandamane
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kwa ushauri ila, naomba nishauri nitumie mbinu gani maana huwa getini hawa walinzi wanabana kuingia na imenitokea mara, wanahoji kuwa una appointment na boss,ukijaribu kudanganya kuwa ndiyo hawachelewi kuvuta waya na kumtwangia, naye bila aibu anakukana?
 
mie sidhani ka kuandamana itakuwa solution, we ka kijana watakiwa ujitambue na ujue what you want, mfano mie after graduation niliondoka dsm ingawa ni ka home huko kwani tuna kibanda huko, nikaenda kaskazini, nikaanza kutafuta makampuni yanayodil na fani niliyosomea,nikawapa cv na kuwaeleza kuwa nina sifa na nataka kazi, nikawapa conditions kuwa wanipe 3 months trial bila salary ila wanipe allowance ya meals na transport then wakiridhika na utendaji wangu watanihire na nikiwadissapoint wanitpotezee, wakakubali coz hata performanc yangu skul ilikuwa mwake, then after a month wakaniajiri.so wewe ka kijana u have to know what you want and how to get it,tupambane kibishi tu pamoja na kuwa smart kwenye area yako ya expertise.ni kweli vijana wengi hawana ajira wala means za kujiajiri na inaumiza wengi but kuandamana hakuwezi izindua hii serikali inafanya mabo kwa kuzima moto tu..............

saizi wanakataa kupokea hata hizo cv ndugu, yani magizo yote anayo mlinzi sijui hayo maelezo utampa nani kuwa ujitolee miezi mi3
 
jinsia yako inakuponza..mwenzio mwezi mmoja kaajiriwa unafanya mchezo nini!
 
Ukweli tu ni kwamba Hali ni mbaya sana na kusubiria Serikali yetu itukumbuke tutakaa sana.
Swala la kusambaza cv kila ofisi ni rahisi kama ukifika zitakubalika,BTni asilimia ndogo sana za office zinazo pokea.Unaweza fanikiwa kuvuka kizingiti cha mlinzi getini lkn sekretari nae anakusubiria akakuhoji na hawaruhusugu kuonana na uongozi.

Labda kuandamana kunaweza kua soln ya wajiri kua na huruma cse kujuana nako kumekua kwingi maofisini.
 
mie sidhani ka kuandamana itakuwa solution, we ka kijana watakiwa ujitambue na ujue what you want, mfano mie after graduation niliondoka dsm ingawa ni ka home huko kwani tuna kibanda huko, nikaenda kaskazini, nikaanza kutafuta makampuni yanayodil na fani niliyosomea,nikawapa cv na kuwaeleza kuwa nina sifa na nataka kazi, nikawapa conditions kuwa wanipe 3 months trial bila salary ila wanipe allowance ya meals na transport then wakiridhika na utendaji wangu watanihire na nikiwadissapoint wanitpotezee, wakakubali coz hata performanc yangu skul ilikuwa mwake, then after a month wakaniajiri.so wewe ka kijana u have to know what you want and how to get it,tupambane kibishi tu pamoja na kuwa smart kwenye area yako ya expertise.ni kweli vijana wengi hawana ajira wala means za kujiajiri na inaumiza wengi but kuandamana hakuwezi izindua hii serikali inafanya mabo kwa kuzima moto tu..............

umewapa ushauri safi sana ciello
 
Angalia usije ukaishia kama ponda!!! Kama Bado haujapata kazi na hauna hela ya mtaji piga hata vibarua vidogo vidogo kuyakabili haya maisha maeneo ya mikocheni kuna viwanda vingi sana nenda kule kaombe tempo upate hela ya kununulia mifuko ya kaki na hela ya nauli ya kumpa mtu wa kukupelekea cv au upate hela ya kununua modem na kujaza bundle kwa ajili ya kutuma cv na kutafuta onlines site sinazotoa matangazo ya ajira.
 
tujiunge na M23 na baada ya hapo maisha yatakuwa mazuri(jokes)
Siungi mkono mkono maandamano bali napendekeza tubadilishe katiba yetu!!!!!!
Kuna maeneo mengi ambayo yanatoa ajira ila yamepewa mgongo na viongozi wa nchi hii..mfano:
1. Kilimo cha umwagiliaji kitu ambacho kitafungua njia kwa vijana wengi kulima na wengine kufanya biashara ya kuuza na kuendeleza masoko ya ndani na nje ambayo yataajiri pia wahasibu,wachambuzi wa mifumo ya uwekezaji na maafsa ardhi
2.Kufufua viwanda vyetu vilivyokufa na huko ndipo vijana wengi wa kada mbalimbali watapata ajira na wengine kujiari kwa kuanzisha kampuni mbalimbali za kutoa huduma na biashara ya bidhaa itakayokuwa inazalishwa huko
 
mie sidhani ka kuandamana itakuwa solution, we ka kijana watakiwa ujitambue na ujue what you want, mfano mie after graduation niliondoka dsm ingawa ni ka home huko kwani tuna kibanda huko, nikaenda kaskazini, nikaanza kutafuta makampuni yanayodil na fani niliyosomea,nikawapa cv na kuwaeleza kuwa nina sifa na nataka kazi, nikawapa conditions kuwa wanipe 3 months trial bila salary ila wanipe allowance ya meals na transport then wakiridhika na utendaji wangu watanihire na nikiwadissapoint wanitpotezee, wakakubali coz hata performanc yangu skul ilikuwa mwake, then after a month wakaniajiri.so wewe ka kijana u have to know what you want and how to get it,tupambane kibishi tu pamoja na kuwa smart kwenye area yako ya expertise.ni kweli vijana wengi hawana ajira wala means za kujiajiri na inaumiza wengi but kuandamana hakuwezi izindua hii serikali inafanya mabo kwa kuzima moto tu..............

selfish individual. Unafikiri unayosema watu hawajafanya. Mtoa mada yuko sahihi, kwan hata hizo chache hazitolewi kwa haki
 
mie sidhani ka kuandamana itakuwa solution, we ka kijana watakiwa ujitambue na ujue what you want, mfano mie after graduation niliondoka dsm ingawa ni ka home huko kwani tuna kibanda huko, nikaenda kaskazini, nikaanza kutafuta makampuni yanayodil na fani niliyosomea,nikawapa cv na kuwaeleza kuwa nina sifa na nataka kazi, nikawapa conditions kuwa wanipe 3 months trial bila salary ila wanipe allowance ya meals na transport then wakiridhika na utendaji wangu watanihire na nikiwadissapoint wanitpotezee, wakakubali coz hata performanc yangu skul ilikuwa mwake, then after a month wakaniajiri.so wewe ka kijana u have to know what you want and how to get it,tupambane kibishi tu pamoja na kuwa smart kwenye area yako ya expertise.ni kweli vijana wengi hawana ajira wala means za kujiajiri na inaumiza wengi but kuandamana hakuwezi izindua hii serikali inafanya mabo kwa kuzima moto tu..............
wewe na mawazo ya aliyeshiba
1)ulipewa mchongo
2)pili kuna mtu anamaslahi na wewe
3)ujatuhadithi yote yaliyotokea
4)hakuna kitu kama hicho katika TANGANYIKA hii
5)ya ngoswe muachie ngoswe
 
Nikiunga mkono maandamano sidhani kama ndo solution,nikizidi kumaliza soli za viatu kwenda maofisini kwa watu ipo siku nitatembea peku.Sasa acha kwanza nitulize akili,nafanya maamuzi maagumu kabla ya 2016
 
Maandamano ni muhimu kwa maana ujumbe utafika kwa kila mtu ila ninashauri vijana tusikae kusubiri kazi zinazoendana na mambo tuliyosomea tu. Kama huna kazi uwe tayari kufanya kazi yoyote halali na kuweka usomi pembeni. Hili ni tatizo kubwa, kijana hayuko tayari kufuga kwa kuwa alisomea kilimo. Nenda Uganda na Kenya utaona. Kwa kuwa wenzetu vyuo vikuu vilianza kutoa wanafunzi wengi kitambo hivyo mtu anasoma chuo kikuu siyo kwa lengo la kupata ajira baadae bali kuwa na ujuzi wa kufanya mambo yake. Hutashangaa kukuta mwendesha boda boda au muuza mitumba wana degree kule ni jambo la kawaida.
 
Back
Top Bottom