Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,524
Naomba kuuliza, hivi vijana wote tusio na ajira na serikali inatuangalia kwa furaha tu mwaonaje tutafute njia mbadala ya kuieleza jamii kuwa tuna shida?Nayaandika haya kwa sababu tupo hatarini kuangamia maana inafika mda unakuta huna kazi ya kufanya hivyo unakuta unaingia katika vishawishi vya ngono na hatma yake inafahamika tu, maana tupo loose sana.
Ushauri:
Tuandamane maandamano ya amani kuonesha hisia zetu kwa serikali ya ccm na jamii kwa ujumla. Najua wengine mtakuja na kujiajili, Ni kwamba hatuna initial capital na Financial Institutions zenyewe masharti kwa vijana kama siye ni vigumu kukidhi.