Attention CCM: NEC wametoa formula ya ushindi ni wajibu wetu kuizingatia

2kimo

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,029
2,071
Huu ni wakati wa CCM kukaza msuli kuhakikisha ushindi.
Kwanza lazima tukubali kuwa CCM imepoteza umaarufu wake kwa kiasi kikubwa. hatutakiwi kulikataa hilo tutakuwa tunapoteza dira.
lakini kitu kizuri ni kuwa tumepoteza umaarufu lakini sio dominance bado maeneo mengi ya nchi ccm ni majority, hilo ni la msingi sana. CHADEMA wanahangaika kutaka kuwakatisha tamaa wana ccm hasa kwa kujimobilize wajae ktk mikutano, lkn mkumbuke kuwa ukiwaona ukawa barabarani ujue hao ndio wote hakuna aliyeachwa nyumbani. wana ccm angalieni kati yenu ni wangapi wameshaenda ktk mikutano ya magufuli? mtagundua ni wachache sana, lkn nahakika hakuna mwana ukawa aliyemiss mkutano wa lowasa kama upo ktk wilaya yake. cha kunote hapa ni kuwa ccm wapo wengi sana ambao hawajakaa barabarani na kudeki au kuosha gari! bado chama kina dominate... huu ni mtaji mkubwa sana.
kuna tatizo ndani ya ccm, ya wale wachumia tumbo ambao wanaegemea pande zote mbili kwa kuwa wao siasa huwa ni maslahi tu na sio itikadi. kwa sasa ni kuwatambua na kuwaweka pembeni taratibu, dakika zimeisha sana, kuanza kulumbana kutaleta instability ambayo ni very unnecessary. ukimtambua adui basi hana shida, MAGUFULI PLEASE, UTADILI NA MAMLUKI UKISHAKUWA RAISI, ukianza kuleta ubabe wakati wa kampeni wanaweza kuuza team, hapa unataka vote, na hata kama adui hakupi vote basi asinyang'anye na jirani yake. mwache mnafiki awe kwako angalau kwa sasa ina maana. mfano wa mtu kama kingunge au sumaye, hawakuwa na impact yeyote ccm, lkn ni sehemu ya kampeni za ukawa leo, hawatishi lakini bado wanaweza kushake undecided voters. so mamluki tuwahifadhi kwanza, discipline iwe maintained baada ya uchaguzi.
KAMPENI kwa miaka mingi tumekuwa tukiwashinda hawa jamaa kwa kuwa wao hawajui vijembe vya kampeni. naomba turejee ktk matumizi ya vijembe vya kampeni lakini sio matusi au dhihaka kwa afya ya mgombea wao. tukikosa utu na nidhamu kuna watu watatukataa either kwa kuwapigia wapinzani au kutopiga kabisa. So please maneno ya kiufundi kama yale ya mzee mwinyi ni nguzo. kuwa sisi ni mafundi na hao waliowachukua ni vibarua wetu kwa hiyo wasitegemee kupata nyumba imara kama itakayojengwa na fundi mkuu. etc
MUELEKEO WA USHINDI NI HUU.

Takwimu za tume zilielekeza kuwa kuna wapiga kura kama Mil 22 (makadirio)

1. Kanda ya ziwa ndio ina idadi kubwa lkn ni eneo kubwa na mikoa mingi 8 jumla.
idadi ya voters (rough estimates) ni kama 7.3 million
Bado CCM ina dominate eneo hili, lkn popularity imeshuka sana mikoa ya Mwanza na Mara ambapo jumla ya voters kwa mikoa hiyo 2 ni karibu 2 million (1.3 Mwanza na 0.7 Mara). kuna mikoa ambayo ni stronghold ya ccm (tabora 1mil na kagera 1.1) lkn bado tuna dominate (geita, kigoma, simiyu, shy). kwa hiyo Magufuli ukishaingia huku tunaomba CHOPA MOJA ISIHAMISHWE, hii mikoa nane inapaswa iwe na kampeni kila siku asubuhi mchana na jioni! pamoja na kudominate bado watu wengi wanayumbishwa na factors nyingine ktk uchaguzi huu ambazo ni beyond politics. nadhani watu mnajua kampeni nyingine zinazofanyika nje ya ulingo wa siasa. hili halipaswi kupuuziwa so weka chopa moja kanda ya ziwa na isihamishwe. Mzee Warioba, Makongoro na Sitta wawe sehemu ya kazi.

2. Eneo nyeti la pili ni kanda ya Mashariki ambapo kuna approx. 5.5 mil kwa mikoa 4 tu.
hili ni eneo zuri sana kwanza kwa udogo wake na urahisi ktk kulizunguka. ni mikoa ya pwani, DSM, Morogoro na Tanga.
Hii ni ngome yetu kongwe. zaidi ya 2/3 ya kura hizi ni zetu. ila hatutozipata kwa kujibweteka, inabidi ifanyike kazi ya ziada. Eneo hili linmfaa sana mzee Mwinyi, January Makamba na Baba yake. eneo hili halihitaji chopa sana na kwa level ya watu hawa nadhani watafanya safari chache na fupi za mikoani na zile wilaya kubwa ambapo wakipachimba vema, inaweza kupandisha hata 3/4 ya kura zote. eneo lenye ubishi ktk hapo ni dogo sana la wilaya ya kinondoni ambapo kuna kugawana kama kura laki 7 labda wanaweza kupata nusu yake.

3. Nyanda za juu kusini kuna appr. 3.6 mil
ambapo Mbeya na Njombe zinasumbua sana na zinatengeneza karibu 1.7. CCM inapategemea zaidi Katavi, Rukwa na Ruvuma ambapo kwa pamoja zinatengeneza 1.4. Eneo hili yapaswa tujitahidi kugawana nusu kwa nusu. kwa kuwa ni eneo gumu, sura ngumu pia inabidi ziamke. Mzee Mwandosya tukuombe kuokoa jahazi maana nguvu yako ni muhimu sana, pia mwakyembe naye asaidie hulo na kinana none stop. Mh, Pinda kamata Katavi na Rukwa wakati Nchimbi uendelee kupiga debe Ruvuma. kama kuanzia kesho jumapili tutapiga kambi huko, tunaweza kusawazisha bao kwa kanda hii ngumu. Iringa yetu lakini hizi team zitapaswa kurejea na kupitia mikoa yote kuhakikisha no stone left unturned. ila kampeni ya kitanda kwa kitanda, shuka kwa shuka na ianze sasa.

4. Kusini kuna 1.2
Mikoa hii ilikuwa ni ccm na cuf. kwa kuwa cuf haipo na muungano wa ukawa umeleta shida zaidi sidhani kama ccm itasumbuliwa sana eneo hili. Najua Che-Ben anazipigania kwa nguvu kura hizi kwa sasa, najua Membe naye anatakiwa kuongeza kasi na juhudi maana amekuwa kimya sana. Mama Salma atakuwa na manufaa mno pamoja n. Nape mpe support Boss lakini this time usitukane mtu yeyote. ongea vijembe vya kikawaida ktk siasa, lakini usimkosee mtu adabu. hata kumdhalilisha mtu mzima kama Lowasa watu huwa wanachukia, kuna watu wazima watasema chama kimepotoka na kukosa maadili, wanaweza wasivote kokote na si wakati wa kuloose hata kura moja huu. kila kura inabadili matokeo

5. Kaskazini kuna kama 2.5 kwa mikoa ya manyara, k'njaro na Arusha.
hili ni eneo jingine tata, lkn bado kunahitaji uwekezaji mkubwa. ole sendeka anasaidia, hapa msuya na mkapa watatakiwa kutembelea. kwa kuwa ni karibu na kanda ya kati Mwigulu ombwe kurejea tena. kufikia hata 40% ya kura eneo hili ni muhimu ktk kupunguza gap kwa sasa. kwa kuwa pana kazi chopa ikae kanda ya kati na kaskazini na kufanyia ziara ya mara kwa mara. Mwigulu amilikishwe tu ile chopa yake na awe anapambana kati na kaskazini muda mwingi. kuondoka kwa Slaa kidogo kunatupa faraja hasa kwa manyara ingawa bado siioni 50%

6. Kanda ya kati Dodoma na Singida. huku ni 1.66 dodoma ikiwa na 1.01 mil
Hii pia ni ngome yetu, tunaweza kupata 80%. tukiwekeza nguvu zaidi hasa kwa kuendelea kumsapoti Mwigulu na Nyarandu. Mzee Malecela atatakiwa kutoa support kwa madogo, ili kazi iende vema.

7. Zanzibar 0.5 ni eneo huru. saa zote kura ni 50-50. tunatakiwa kuongeza uwekezaji kwa kuomba support za mzee Mwinyi, karume na Salim kuhakikisha cuf tunamega kura zao pia. Uwepo wa Samia na Amina unaweza kutupa nguvu sana huku.

Pamoja na yote, Magufuli unapaswa kuiweka vema ratiba yako. kabla ya tarehe 25 lazima urudi tena Dar kuaga na lile convoy la mwanzo, hapo kanda ya ziwa pita kila wilaya, usijali nyomi, uwepo wako unahamasa zaidi. V8 litimulie vumbi sana uswahili maana ujue watu wa uswazi tukiongea au hata kumuona karibu raisi huwa tunamuona ni mtu mwema na tunajisikia kumpigia. kwa kuwa wanakuamini na bado wanaimani na ccm utawateka kirahisi.
wengine wote tuendeleze kampeni za shuka kwa shuka, kochi kwa kochi, kijiwe kwa kijiwe.
kazi yetu iwe kupiga kura sio kulinda maana unaweza kulinda lkn hukupiga kura!

USHINDI LAZIMA
Tukichanga vema karata ktk juma hili la mwisho, nadhani hawatohitaji kulinda kura, wakiusoma upepo tu watakimbia.
all in all CCM kushindwa uchaguzi huu labda tujichanganye wenyewe tu, kuna kila dalili kuwa maeneo ambayo ni ngome zetu bado tutaendelea kuyashikilia, so tuongeze juhudi kwa hawa undecided voters!
 
CCM hata mkoa mmoja tu kushinda haupo, Magufuli hawezi ongoza... nakili haya maneno then on 28 Oct. uje nikwambie kitu...!!!

CCM hata mkoa mmoja kushinda ni kazi...!!!

CCM out...!!!
 
umejiunga jf tarehe 10-10-15.
jina la kitengo maalum!
kwanza wewe ni mtu au robbot/machine za automatic reply?
maana kwa sasa wenye ID hizi za vitengo maalum huwa wanajibu msg instantly inanipa mashaka kama ni binadamu mnaweza kuscan msg haraka hivi!
kama ni binadamu mtakuwa mnalipwa na ni fulltime job!
 
mwandosya yupi huyu alielalamika mlivyo mkata hana hamu nanyi na nchimbi yule aliyesusia kikao kule dodoma
 
Unafanya tathimini ukiwa umekaa nyuma ya keyboard Mkuu? Hutakuja uamini macho na masikio yako! Eti Shinyanga, Simiyu na Geita mna-dominate? Shame on you guy! Hiyo ilikuwa zamani, sasa hivi watu wameshabadilika sana kwenye huyo mikoa lazima mpigwe 3-0!! Mara ndo kabisaaaaaa!!
 
Kikwete alishinda kwa kura mil 5. Unadhani magufuli ataongezea ngapi? Na je hasira za wananchi kwa ccm zimeongezeka ama zimepungua Ukishapata jibu basi utajua ushindi uko kwa lowassa
 
Unafanya tathimini ukiwa umekaa nyuma ya keyboard Mkuu? Hutakuja uamini macho na masikio yako! Eti Shinyanga, Simiyu na Geita mna-dominate? Shame on you guy! Hiyo ilikuwa zamani, sasa hivi watu wameshabadilika sana kwenye huyo mikoa lazima mpigwe 3-0!! Mara ndo kabisaaaaaa!!

Sidhani kama tathmini yangu ina tofautiana sana na ile ya CCM (january makamba), Synovate na Twaweza. wote nadhani wameona sawa na mimi, lkn hata hapa jf tukiangalia matukio utaona tu hiki ninachokisema ni sahihi!
Anyway hata hapa nyuma ya keyboard ccm wanaweza kuanzia na bado ikaleta tija!
wewe hali unaipamaje labda? unafanya survey ktk field?
 
mwandosya yupi huyu alielalamika mlivyo mkata hana hamu nanyi na nchimbi yule aliyesusia kikao kule dodoma

Hii siasa kuna maslahi mapana zaidi ya taasisi kuliko mtu mmoja!
Mbona nyinyi mmeside na mliyekuwa mnamshtaki kuwa fisadi?
jifunzeni scassa basi kwanza kabla ya ushabiki! haya mahaba yatawaumiza sana mwaka huu!
ushindi wa uchaguzi ni strategies na sio mahaba!
Magufuli pekee ni strategy ya ushindi!
 
HATA kama angejiuga na JF leo ,na hata kama ni robot shida ipo wapi?kukujibu utumbo wako uliopost?
umejiunga jf tarehe 10-10-15.
jina la kitengo maalum!
kwanza wewe ni mtu au robbot/machine za automatic reply?
maana kwa sasa wenye ID hizi za vitengo maalum huwa wanajibu msg instantly inanipa mashaka kama ni binadamu mnaweza kuscan msg haraka hivi!
kama ni binadamu mtakuwa mnalipwa na ni fulltime job!
 
Huu ni wakati wa CCM kukaza msuli kuhakikisha ushindi.
Kwanza lazima tukubali kuwa CCM imepoteza umaarufu wake kwa kiasi kikubwa. hatutakiwi kulikataa hilo tutakuwa tunapoteza dira.
lakini kitu kizuri ni kuwa tumepoteza umaarufu lakini sio dominance bado maeneo mengi ya nchi ccm ni majority, hilo ni la msingi sana. CHADEMA wanahangaika kutaka kuwakatisha tamaa wana ccm hasa kwa kujimobilize wajae ktk mikutano, lkn mkumbuke kuwa ukiwaona ukawa barabarani ujue hao ndio wote hakuna aliyeachwa nyumbani. wana ccm angalieni kati yenu ni wangapi wameshaenda ktk mikutano ya magufuli? mtagundua ni wachache sana, lkn nahakika hakuna mwana ukawa aliyemiss mkutano wa lowasa kama upo ktk wilaya yake. cha kunote hapa ni kuwa ccm wapo wengi sana ambao hawajakaa barabarani na kudeki au kuosha gari! bado chama kina dominate... huu ni mtaji mkubwa sana.
kuna tatizo ndani ya ccm, ya wale wachumia tumbo ambao wanaegemea pande zote mbili kwa kuwa wao siasa huwa ni maslahi tu na sio itikadi. kwa sasa ni kuwatambua na kuwaweka pembeni taratibu, dakika zimeisha sana, kuanza kulumbana kutaleta instability ambayo ni very unnecessary. ukimtambua adui basi hana shida, MAGUFULI PLEASE, UTADILI NA MAMLUKI UKISHAKUWA RAISI, ukianza kuleta ubabe wakati wa kampeni wanaweza kuuza team, hapa unataka vote, na hata kama adui hakupi vote basi asinyang'anye na jirani yake. mwache mnafiki awe kwako angalau kwa sasa ina maana. mfano wa mtu kama kingunge au sumaye, hawakuwa na impact yeyote ccm, lkn ni sehemu ya kampeni za ukawa leo, hawatishi lakini bado wanaweza kushake undecided voters. so mamluki tuwahifadhi kwanza, discipline iwe maintained baada ya uchaguzi.
KAMPENI kwa miaka mingi tumekuwa tukiwashinda hawa jamaa kwa kuwa wao hawajui vijembe vya kampeni. naomba turejee ktk matumizi ya vijembe vya kampeni lakini sio matusi au dhihaka kwa afya ya mgombea wao. tukikosa utu na nidhamu kuna watu watatukataa either kwa kuwapigia wapinzani au kutopiga kabisa. So please maneno ya kiufundi kama yale ya mzee mwinyi ni nguzo. kuwa sisi ni mafundi na hao waliowachukua ni vibarua wetu kwa hiyo wasitegemee kupata nyumba imara kama itakayojengwa na fundi mkuu. etc
MUELEKEO WA USHINDI NI HUU.

Takwimu za tume zilielekeza kuwa kuna wapiga kura kama Mil 22 (makadirio)

1. Kanda ya ziwa ndio ina idadi kubwa lkn ni eneo kubwa na mikoa mingi 8 jumla.
idadi ya voters (rough estimates) ni kama 7.3 million
Bado CCM ina dominate eneo hili, lkn popularity imeshuka sana mikoa ya Mwanza na Mara ambapo jumla ya voters kwa mikoa hiyo 2 ni karibu 2 million (1.3 Mwanza na 0.7 Mara). kuna mikoa ambayo ni stronghold ya ccm (tabora 1mil na kagera 1.1) lkn bado tuna dominate (geita, kigoma, simiyu, shy). kwa hiyo Magufuli ukishaingia huku tunaomba CHOPA MOJA ISIHAMISHWE, hii mikoa nane inapaswa iwe na kampeni kila siku asubuhi mchana na jioni! pamoja na kudominate bado watu wengi wanayumbishwa na factors nyingine ktk uchaguzi huu ambazo ni beyond politics. nadhani watu mnajua kampeni nyingine zinazofanyika nje ya ulingo wa siasa. hili halipaswi kupuuziwa so weka chopa moja kanda ya ziwa na isihamishwe. Mzee Warioba, Makongoro na Sitta wawe sehemu ya kazi.

2. Eneo nyeti la pili ni kanda ya Mashariki ambapo kuna approx. 5.5 mil kwa mikoa 4 tu.
hili ni eneo zuri sana kwanza kwa udogo wake na urahisi ktk kulizunguka. ni mikoa ya pwani, DSM, Morogoro na Tanga.
Hii ni ngome yetu kongwe. zaidi ya 2/3 ya kura hizi ni zetu. ila hatutozipata kwa kujibweteka, inabidi ifanyike kazi ya ziada. Eneo hili linmfaa sana mzee Mwinyi, January Makamba na Baba yake. eneo hili halihitaji chopa sana na kwa level ya watu hawa nadhani watafanya safari chache na fupi za mikoani na zile wilaya kubwa ambapo wakipachimba vema, inaweza kupandisha hata 3/4 ya kura zote. eneo lenye ubishi ktk hapo ni dogo sana la wilaya ya kinondoni ambapo kuna kugawana kama kura laki 7 labda wanaweza kupata nusu yake.

3. Nyanda za juu kusini kuna appr. 3.6 mil
ambapo Mbeya na Njombe zinasumbua sana na zinatengeneza karibu 1.7. CCM inapategemea zaidi Katavi, Rukwa na Ruvuma ambapo kwa pamoja zinatengeneza 1.4. Eneo hili yapaswa tujitahidi kugawana nusu kwa nusu. kwa kuwa ni eneo gumu, sura ngumu pia inabidi ziamke. Mzee Mwandosya tukuombe kuokoa jahazi maana nguvu yako ni muhimu sana, pia mwakyembe naye asaidie hulo na kinana none stop. Mh, Pinda kamata Katavi na Rukwa wakati Nchimbi uendelee kupiga debe Ruvuma. kama kuanzia kesho jumapili tutapiga kambi huko, tunaweza kusawazisha bao kwa kanda hii ngumu. Iringa yetu lakini hizi team zitapaswa kurejea na kupitia mikoa yote kuhakikisha no stone left unturned. ila kampeni ya kitanda kwa kitanda, shuka kwa shuka na ianze sasa.

4. Kusini kuna 1.2
Mikoa hii ilikuwa ni ccm na cuf. kwa kuwa cuf haipo na muungano wa ukawa umeleta shida zaidi sidhani kama ccm itasumbuliwa sana eneo hili. Najua Che-Ben anazipigania kwa nguvu kura hizi kwa sasa, najua Membe naye anatakiwa kuongeza kasi na juhudi maana amekuwa kimya sana. Mama Salma atakuwa na manufaa mno pamoja n. Nape mpe support Boss lakini this time usitukane mtu yeyote. ongea vijembe vya kikawaida ktk siasa, lakini usimkosee mtu adabu. hata kumdhalilisha mtu mzima kama Lowasa watu huwa wanachukia, kuna watu wazima watasema chama kimepotoka na kukosa maadili, wanaweza wasivote kokote na si wakati wa kuloose hata kura moja huu. kila kura inabadili matokeo

5. Kaskazini kuna kama 2.5 kwa mikoa ya manyara, k'njaro na Arusha.
hili ni eneo jingine tata, lkn bado kunahitaji uwekezaji mkubwa. ole sendeka anasaidia, hapa msuya na mkapa watatakiwa kutembelea. kwa kuwa ni karibu na kanda ya kati Mwigulu ombwe kurejea tena. kufikia hata 40% ya kura eneo hili ni muhimu ktk kupunguza gap kwa sasa. kwa kuwa pana kazi chopa ikae kanda ya kati na kaskazini na kufanyia ziara ya mara kwa mara. Mwigulu amilikishwe tu ile chopa yake na awe anapambana kati na kaskazini muda mwingi. kuondoka kwa Slaa kidogo kunatupa faraja hasa kwa manyara ingawa bado siioni 50%

6. Kanda ya kati Dodoma na Singida. huku ni 1.66 dodoma ikiwa na 1.01 mil
Hii pia ni ngome yetu, tunaweza kupata 80%. tukiwekeza nguvu zaidi hasa kwa kuendelea kumsapoti Mwigulu na Nyarandu. Mzee Malecela atatakiwa kutoa support kwa madogo, ili kazi iende vema.

7. Zanzibar 0.5 ni eneo huru. saa zote kura ni 50-50. tunatakiwa kuongeza uwekezaji kwa kuomba support za mzee Mwinyi, karume na Salim kuhakikisha cuf tunamega kura zao pia. Uwepo wa Samia na Amina unaweza kutupa nguvu sana huku.

Pamoja na yote, Magufuli unapaswa kuiweka vema ratiba yako. kabla ya tarehe 25 lazima urudi tena Dar kuaga na lile convoy la mwanzo, hapo kanda ya ziwa pita kila wilaya, usijali nyomi, uwepo wako unahamasa zaidi. V8 litimulie vumbi sana uswahili maana ujue watu wa uswazi tukiongea au hata kumuona karibu raisi huwa tunamuona ni mtu mwema na tunajisikia kumpigia. kwa kuwa wanakuamini na bado wanaimani na ccm utawateka kirahisi.
wengine wote tuendeleze kampeni za shuka kwa shuka, kochi kwa kochi, kijiwe kwa kijiwe.
kazi yetu iwe kupiga kura sio kulinda maana unaweza kulinda lkn hukupiga kura!

USHINDI LAZIMA
Tukichanga vema karata ktk juma hili la mwisho, nadhani hawatohitaji kulinda kura, wakiusoma upepo tu watakimbia.
all in all CCM kushindwa uchaguzi huu labda tujichanganye wenyewe tu, kuna kila dalili kuwa maeneo ambayo ni ngome zetu bado tutaendelea kuyashikilia, so tuongeze juhudi kwa hawa undecided voters!

Last kicks of the dying horse...time will tell.
 
Sidhani kama tathmini yangu ina tofautiana sana na ile ya CCM (january makamba), Synovate na Twaweza. wote nadhani wameona sawa na mimi, lkn hata hapa jf tukiangalia matukio utaona tu hiki ninachokisema ni sahihi!
Anyway hata hapa nyuma ya keyboard ccm wanaweza kuanzia na bado ikaleta tija!
wewe hali unaipamaje labda? unafanya survey ktk field?

Makamba yupi unam refer:-
kama ni yule mbwa mdogo aliyekanusha kuanguka kwa helikopta ilisababisha kifo cha Deo Filikunjombe! basi tunachukulia unafanya comedy.
kwa maana dunia imethibitisha kuwa January Makamba ni Muongo kupindukia.
 
Hii siasa kuna maslahi mapana zaidi ya taasisi kuliko mtu mmoja!
Mbona nyinyi mmeside na mliyekuwa mnamshtaki kuwa fisadi?
jifunzeni scassa basi kwanza kabla ya ushabiki! haya mahaba yatawaumiza sana mwaka huu!
ushindi wa uchaguzi ni strategies na sio mahaba!
Magufuli pekee ni strategy ya ushindi!

Mkuu nimependa sana analysation yako! (Kama sio copy and paste )

Ila nikwambie ukweli, hali ya Kisiasa mliyoijua sio hii ya sasa,
Nina watu kadhaa wanagombea sehemu mbali mbali na wengi ni ccm, (mkuu hali ni mbayaaaaaaa )
Nasikitika kuwa kuna baadhi ya wana ccm wanakipeleka chama ndiko siko makusudi narudia tena MAKUSUDI ndo maana wenye mapenzi ya kweli mnapata shida sanaaaaa! !

Zunguka mkuu, acha kupokea taarifa na maneno ya simu na magroup acha nayo,
Ondoka kwenye keyboard Zunguka ujionee,

Niseme kila la kheri kwa wote lakn this 2015 anything can happen
 
Mleta mada amejitanabaisha bayana kwamba yeye ni CCM lakini hata hivyo hoja zake zipo fair kabisa
Amejaribu kugusia kila sehemu na ugumu wake na kupendekeza nini kifanyike ili ushindi wa uhakika upatikane na pia akaeleza yasipo fanyika maarifa basi ccm inaweza kupoteza pia

Sikutegemea kebehi na majibu mepesi, nilitarajia watu wajibu hoja zake kwa hoja na kwa mgawanyo wa idadi ya wapiga kura kwa mujibu wa tume
 
Huu ni wakati wa CCM kukaza msuli kuhakikisha ushindi.
Kwanza lazima tukubali kuwa CCM imepoteza umaarufu wake kwa kiasi kikubwa. hatutakiwi kulikataa hilo tutakuwa tunapoteza dira.
lakini kitu kizuri ni kuwa tumepoteza umaarufu lakini sio dominance bado maeneo mengi ya nchi ccm ni majority, hilo ni la msingi sana. CHADEMA wanahangaika kutaka kuwakatisha tamaa wana ccm hasa kwa kujimobilize wajae ktk mikutano, lkn mkumbuke kuwa ukiwaona ukawa barabarani ujue hao ndio wote hakuna aliyeachwa nyumbani. wana ccm angalieni kati yenu ni wangapi wameshaenda ktk mikutano ya magufuli? mtagundua ni wachache sana, lkn nahakika hakuna mwana ukawa aliyemiss mkutano wa lowasa kama upo ktk wilaya yake. cha kunote hapa ni kuwa ccm wapo wengi sana ambao hawajakaa barabarani na kudeki au kuosha gari! bado chama kina dominate... huu ni mtaji mkubwa sana.
kuna tatizo ndani ya ccm, ya wale wachumia tumbo ambao wanaegemea pande zote mbili kwa kuwa wao siasa huwa ni maslahi tu na sio itikadi. kwa sasa ni kuwatambua na kuwaweka pembeni taratibu, dakika zimeisha sana, kuanza kulumbana kutaleta instability ambayo ni very unnecessary. ukimtambua adui basi hana shida, MAGUFULI PLEASE, UTADILI NA MAMLUKI UKISHAKUWA RAISI, ukianza kuleta ubabe wakati wa kampeni wanaweza kuuza team, hapa unataka vote, na hata kama adui hakupi vote basi asinyang'anye na jirani yake. mwache mnafiki awe kwako angalau kwa sasa ina maana. mfano wa mtu kama kingunge au sumaye, hawakuwa na impact yeyote ccm, lkn ni sehemu ya kampeni za ukawa leo, hawatishi lakini bado wanaweza kushake undecided voters. so mamluki tuwahifadhi kwanza, discipline iwe maintained baada ya uchaguzi.
KAMPENI kwa miaka mingi tumekuwa tukiwashinda hawa jamaa kwa kuwa wao hawajui vijembe vya kampeni. naomba turejee ktk matumizi ya vijembe vya kampeni lakini sio matusi au dhihaka kwa afya ya mgombea wao. tukikosa utu na nidhamu kuna watu watatukataa either kwa kuwapigia wapinzani au kutopiga kabisa. So please maneno ya kiufundi kama yale ya mzee mwinyi ni nguzo. kuwa sisi ni mafundi na hao waliowachukua ni vibarua wetu kwa hiyo wasitegemee kupata nyumba imara kama itakayojengwa na fundi mkuu. etc
MUELEKEO WA USHINDI NI HUU.

Takwimu za tume zilielekeza kuwa kuna wapiga kura kama Mil 22 (makadirio)

1. Kanda ya ziwa ndio ina idadi kubwa lkn ni eneo kubwa na mikoa mingi 8 jumla.
idadi ya voters (rough estimates) ni kama 7.3 million
Bado CCM ina dominate eneo hili, lkn popularity imeshuka sana mikoa ya Mwanza na Mara ambapo jumla ya voters kwa mikoa hiyo 2 ni karibu 2 million (1.3 Mwanza na 0.7 Mara). kuna mikoa ambayo ni stronghold ya ccm (tabora 1mil na kagera 1.1) lkn bado tuna dominate (geita, kigoma, simiyu, shy). kwa hiyo Magufuli ukishaingia huku tunaomba CHOPA MOJA ISIHAMISHWE, hii mikoa nane inapaswa iwe na kampeni kila siku asubuhi mchana na jioni! pamoja na kudominate bado watu wengi wanayumbishwa na factors nyingine ktk uchaguzi huu ambazo ni beyond politics. nadhani watu mnajua kampeni nyingine zinazofanyika nje ya ulingo wa siasa. hili halipaswi kupuuziwa so weka chopa moja kanda ya ziwa na isihamishwe. Mzee Warioba, Makongoro na Sitta wawe sehemu ya kazi.

2. Eneo nyeti la pili ni kanda ya Mashariki ambapo kuna approx. 5.5 mil kwa mikoa 4 tu.
hili ni eneo zuri sana kwanza kwa udogo wake na urahisi ktk kulizunguka. ni mikoa ya pwani, DSM, Morogoro na Tanga.
Hii ni ngome yetu kongwe. zaidi ya 2/3 ya kura hizi ni zetu. ila hatutozipata kwa kujibweteka, inabidi ifanyike kazi ya ziada. Eneo hili linmfaa sana mzee Mwinyi, January Makamba na Baba yake. eneo hili halihitaji chopa sana na kwa level ya watu hawa nadhani watafanya safari chache na fupi za mikoani na zile wilaya kubwa ambapo wakipachimba vema, inaweza kupandisha hata 3/4 ya kura zote. eneo lenye ubishi ktk hapo ni dogo sana la wilaya ya kinondoni ambapo kuna kugawana kama kura laki 7 labda wanaweza kupata nusu yake.

3. Nyanda za juu kusini kuna appr. 3.6 mil
ambapo Mbeya na Njombe zinasumbua sana na zinatengeneza karibu 1.7. CCM inapategemea zaidi Katavi, Rukwa na Ruvuma ambapo kwa pamoja zinatengeneza 1.4. Eneo hili yapaswa tujitahidi kugawana nusu kwa nusu. kwa kuwa ni eneo gumu, sura ngumu pia inabidi ziamke. Mzee Mwandosya tukuombe kuokoa jahazi maana nguvu yako ni muhimu sana, pia mwakyembe naye asaidie hulo na kinana none stop. Mh, Pinda kamata Katavi na Rukwa wakati Nchimbi uendelee kupiga debe Ruvuma. kama kuanzia kesho jumapili tutapiga kambi huko, tunaweza kusawazisha bao kwa kanda hii ngumu. Iringa yetu lakini hizi team zitapaswa kurejea na kupitia mikoa yote kuhakikisha no stone left unturned. ila kampeni ya kitanda kwa kitanda, shuka kwa shuka na ianze sasa.

4. Kusini kuna 1.2
Mikoa hii ilikuwa ni ccm na cuf. kwa kuwa cuf haipo na muungano wa ukawa umeleta shida zaidi sidhani kama ccm itasumbuliwa sana eneo hili. Najua Che-Ben anazipigania kwa nguvu kura hizi kwa sasa, najua Membe naye anatakiwa kuongeza kasi na juhudi maana amekuwa kimya sana. Mama Salma atakuwa na manufaa mno pamoja n. Nape mpe support Boss lakini this time usitukane mtu yeyote. ongea vijembe vya kikawaida ktk siasa, lakini usimkosee mtu adabu. hata kumdhalilisha mtu mzima kama Lowasa watu huwa wanachukia, kuna watu wazima watasema chama kimepotoka na kukosa maadili, wanaweza wasivote kokote na si wakati wa kuloose hata kura moja huu. kila kura inabadili matokeo

5. Kaskazini kuna kama 2.5 kwa mikoa ya manyara, k'njaro na Arusha.
hili ni eneo jingine tata, lkn bado kunahitaji uwekezaji mkubwa. ole sendeka anasaidia, hapa msuya na mkapa watatakiwa kutembelea. kwa kuwa ni karibu na kanda ya kati Mwigulu ombwe kurejea tena. kufikia hata 40% ya kura eneo hili ni muhimu ktk kupunguza gap kwa sasa. kwa kuwa pana kazi chopa ikae kanda ya kati na kaskazini na kufanyia ziara ya mara kwa mara. Mwigulu amilikishwe tu ile chopa yake na awe anapambana kati na kaskazini muda mwingi. kuondoka kwa Slaa kidogo kunatupa faraja hasa kwa manyara ingawa bado siioni 50%

6. Kanda ya kati Dodoma na Singida. huku ni 1.66 dodoma ikiwa na 1.01 mil
Hii pia ni ngome yetu, tunaweza kupata 80%. tukiwekeza nguvu zaidi hasa kwa kuendelea kumsapoti Mwigulu na Nyarandu. Mzee Malecela atatakiwa kutoa support kwa madogo, ili kazi iende vema.

7. Zanzibar 0.5 ni eneo huru. saa zote kura ni 50-50. tunatakiwa kuongeza uwekezaji kwa kuomba support za mzee Mwinyi, karume na Salim kuhakikisha cuf tunamega kura zao pia. Uwepo wa Samia na Amina unaweza kutupa nguvu sana huku.

Pamoja na yote, Magufuli unapaswa kuiweka vema ratiba yako. kabla ya tarehe 25 lazima urudi tena Dar kuaga na lile convoy la mwanzo, hapo kanda ya ziwa pita kila wilaya, usijali nyomi, uwepo wako unahamasa zaidi. V8 litimulie vumbi sana uswahili maana ujue watu wa uswazi tukiongea au hata kumuona karibu raisi huwa tunamuona ni mtu mwema na tunajisikia kumpigia. kwa kuwa wanakuamini na bado wanaimani na ccm utawateka kirahisi.
wengine wote tuendeleze kampeni za shuka kwa shuka, kochi kwa kochi, kijiwe kwa kijiwe.
kazi yetu iwe kupiga kura sio kulinda maana unaweza kulinda lkn hukupiga kura!

USHINDI LAZIMA
Tukichanga vema karata ktk juma hili la mwisho, nadhani hawatohitaji kulinda kura, wakiusoma upepo tu watakimbia.
all in all CCM kushindwa uchaguzi huu labda tujichanganye wenyewe tu, kuna kila dalili kuwa maeneo ambayo ni ngome zetu bado tutaendelea kuyashikilia, so tuongeze juhudi kwa hawa undecided voters!

Ulichoandika ni uongo kusema ukiwaona ukawa barabarani ndo wote mm ni ukawa na cjawahi kuhudhulia ata mkutano mmoja na ata maandamano ila kura yangu ni chadema tu kwaiyo hacha kujipa moyo
 
Ni ushauri nafikiri wahusika wote wasiupuuze ccm kuutekeleza na cdm kujizatiti kwenye mapungufu mungu ibariki Tz
 
Back
Top Bottom