Elections 2010 Atoweka na daftari la wapigakura

kasyabone tall

JF-Expert Member
Sep 13, 2009
254
59
Sunday, 31 October 2010 19:21 0diggsdigg

Zephania Ubwani, Arusha
MSIMAMIZI Mwandamizi wa kituo cha Shule ya msingi Sombetini mkoani Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi, baada ya daftari la wapiga kura lenye karatasi 400 kupotea katika kituo anachokisimamia.

Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Basilio Matei alisema kuwa msimamizi anashikiliwa na polisi akihojiwa kuhusiana na upotevu huo.

Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo Estomih Chang'a alisema kuwa atatoa tamko baadaye, ingawa msimamizi huyo aliendelea kuwekwa rumande kihojiwa.
 
Hapo ndipo unaona ni malofa gani waliamua kumpa mtu kituo bila kuwa na check and balances kwa karibu - NEC wamekula mpunga kazi hawakuifanya jinsi walivyotegemewa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom