kazi kweli kweliMmmmh hiyo ndo bongo mzee!!! I think BoT have to intervene to ensure customers get quality services.
Ukiona ATM za NMb ndo utazimia kabisa, foleni kubwa kiasi balaa, zamu yako ikifika unakuta hela zimeisha kwenye ATM, unaenda sehemu nyingine kupanga foleni tena!!