ATM Fraud in Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ATM Fraud in Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ambassador, Jun 25, 2009.

 1. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hi people, mmeisikia hii? See attached kutoka ubalozi wa Marekani wakiadvise staff wao kuacha kutumia ATM kutokana na fraud inayoendelea. Wanasema ATM za Tanzania nzima haziko safe!!
   

  Attached Files:

 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Thanks ambassador kwa tahadhari.....that's one of the bad side of sophiscated technology!

  BWT, tunakukaribisha sana JF mkuu balozi!
   
 3. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Thanx Next Level, tuko pamoja
   
 4. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Je benki zenye ATM zinajua hili. Ni hatua gani watachukua/wamechukua kukomesha wizi huu?
   
 5. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Asante kwa tahadhari. Ila kinachonishangaza imekuwaje onyo hili litolewe na ubalozi wa Marekani badala ya serikali ya Tanzania? Au hawajui tatizo hilo?
   
 6. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2009
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Tusubiri, labda Mkullo bado anaifanyia utafiti taarifa hii!!!
   
 7. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hili tatizo lilisha wahi tokea hasa benki za CRD myaka ya nyuma, watu wengi walilizwa sana!, baadae wakawa wamelicontrol, sijui kwa sasa.

  Ila tunashukuru kwa taarifa, unajua hata wezi nao wanazidi kugundua njia mbadala za kufanikisha uharamia wao. Huko majuu kuna baadhi ya benki, siku hizi internet transaction kila mtu anapewa ki kadi chakekama simu anachotumia siyo computer tena, make wizi ulikuwa umezidi.

  Bongo inabidi wasugue vichwa jinsi ya kuepa hili.
   
 8. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Mama sitashangaa kusikia kuwa wanaunda tume kuchunguza. Hii mikazi ya misuse of resources balaa. Tunapenda mno kupeana ulaji through tume. Anyway, kwa CRDB ni mbaya zaidi pale ambapo teller anakuchapia not ya 10,000 anaingiza 2,000 ndani. Kuna jamaa mmoja karibu alikuwa amkate koromeo teller pale nafikiri alishahamishwa au alifukuzwa kazi kabisa.
   
 9. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Imesemwa kwamba, kwa kuwa hawajagundua wizi umefanywa vipi, it is assumed that all ATMs in Tanzania are potentially compromised.

  Mara nyingi wezi hawa wanakwiba kwenye account zenye foreign currencies. Sina mashaka sana maana nimejijengea tabia ya kuchukua mini bank statements kila baada ya miezi mitatu. I can easily print them from the ATM.

  Ambassador, thank you for the info.
   
 10. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2009
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Mbona habari imekaa kimtindo?
  Pesa zimeibiwa Nairobi.
  Kwa nini wanaasuume wizi umefanywa kwa ATM za Tanzania? Hao walioibiwa walitumia ATM za Tanzania, USA and Kenya may be na kwingine pia. Hii conclusion kuwa ATM za Tanzania zote ziko potentially compromised imekaaje? Je, watachukulia ATM za USA pia ni potentially compromised?
   
 11. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2009
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  ZeMarcopolo
  Mimi naona habari inajitosholeza..... Watu walioibiwa fedha wametumia ATM za Tanzania lakini mwizi ametumia ATM za Kenya kutolea fedha. Ina maana unapotumia ATM ya Tanzania kuna "mechanism" fulani ya kuweza kupata details za credit/debit card yako halafu hizo details zinatumika kutolea fedha Nairobi. Wana uhakika gani tatizo liko kwenye ATM za Tanzania tu? Kwa sababu wakazi wa nchi nyingine ambao hawajatumia ATM za Tanzania hawajapata tatizo hili. Mwisho kwa sababu tatizo limewakumba watu wengi... hawana uhakika ni ATM gani ipo safe na ipi ni bomu... hivyo ni busara kutahadharisha watu wao wasizitumie kabisa... mpaka ufumbuzi upatikane.
   
 12. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  U.S. Embassy
  Dar es Salaam, Tanzania
  Warden Message - ATM Fraud
  June 24, 2009

  Several American citizens have reported to the U.S. Embassy in Dar es Salaam that money has been taken from their bank accounts by an unidentified person in Nairobi, Kenya. All of the complainants stated they used ATMs in Dar es Salaam. The Embassy is unsure of the method the perpetrators are using and must assume that all ATMs in Tanzania are potentially compromised.

  The Embassy strongly recommends that American citizens check their accounts and determine if any unusual withdrawals have occurred. If so, the Embassy suggests American citizens contact their bank immediately.
  The bank is in the best position to take measures to prevent further losses. The Embassy is working closely with the Tanzanian police on this matter.

  Updated information on travel and security in Tanzania may be obtained from the Department of State by calling 1-888-407-4747 toll free in the United States and Canada, or for callers outside the United States and Canada, a regular toll line at 1-202-501-4444. For further information please consult the Country Specific Information for Tanzania, the East Africa Travel Alert, and the Worldwide Caution Travel Alert, which are available on the Bureau of Consular Affairs Internet website at Welcome to Travel.State.Gov

  The Consular Section of the U.S. Embassy in Tanzania can be contacted by telephone [255](22) 266-8001 x 4122 and fax [255](22) 266-8238. You may also contact the U.S. Embassy in Tanzania via email at
  drsacs@state.gov.

  After hours American Citizen emergencies should call [255] (22) 266-8001.
   
 13. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,716
  Likes Received: 3,124
  Trophy Points: 280
  Wake up call kwa serikali iliyolala usingizi mpaka muamshwe na watu baki
   
 14. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2009
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  My Gawd! People's money at risk of being siphoned away.
  Are the ATMs becoming a nightmare?
   
 15. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  serikali zinazojali raia wake zikiwa kazini
   
 16. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  GT serikali zinazojali watu wake, wanajua kuwa wasipofanya hivyo next election out!. Ila nchi zetu hizi zisizo kuwa na wasiwasi wa kutolewa nje kwa kura wamjali nani?. Maana kura si kigezo cha wao kuwajibishwa mkiwanyima wanachukua kwa nguvu.

  Huu ni mchezo wa wafanyakazi wasio waaminifu wa mambank hasa vitengo vya IT, wenye tamaa ya kupaa kimaisha kwa muda mfupi.
   
 17. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Selikali imelela fofofooooo, hao kina kuro na wenzao kazi zao ni nini? tanzania washika rungu wamelala fofofooooo. wasomi nao ndo hivyohivyo, fofofoooo, bado wamelala na zindiko la nyerere la kufanya wabongo wawe wapole na wajinga.hili pepo na laana aliyoacha nyerere ikiunganishwa na ma atheists wa urusi watu ambao Mungu amewaita "wapumbavu wanaosema hakuna mungu", tulifukuze kabisa na wabongo tuamke kuwawajibisha viongozi wetu. mfano, hao wa central bank wanaotakiwa kucontrol bank zingine zote. najua watu ambao wanaweza kupata hasara hapa sio hawa wenye accounts za hapa ndani, hatari zaidi ni watu wenye accounts nje wanaotumia mastercard, maestro, interact, viza na zingine kwasababu pengine ndo wenye pesa nyingi zaidi, na mwizi akikaiiba analeta hasara kubwa kweli. sijui tutaishia wapi.
   
 18. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #18
  Jul 2, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  The number of ATM fraud cases has increased dramatically in the last two days. Beware and avoid using ATMs anywhere in Tanzania.

  Dollar denominated accounts held here in Tanzania have been targeted. Check of your credit card, checking and savings accounts, whether based overseas or in Tanzania, for unauthorized transactions. If you have used any card connected to those accounts here in Tanzania to withdraw money, that account is theoretically vulnerable.

  I will keep you on the loop!
   
 19. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #19
  Jul 2, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu, unaweza kutueleza ki-layman ni nini hasa kinafanyika au kinaendelea?
   
 20. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #20
  Jul 2, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mkuu hii habari ni ya kweli??????
   
Loading...