John Mnyika CHADEMA ametangazwa kuwa Mbunge wa jimbo la Ubungo kwa kura 96742 akifuatiwa na Hawa Mngulubi kwa kura 50544 wa CCM
Cheki hiyo difference kati ya CHADEMA (Mnyika) na ccm (Hawa) almost yuko halfway lakini utashangaa matokeo ya urahisi katika hilo jimbo ambako DARUSO tu kikwete ana kura 71 na DR Slaa ana kura 454, kwa haraka haraka unaweza kupata picha halisi Kikwete atakuwa ameanguka kwa kiasi gani lakini utashangaa matokeo ya NEC. Jamani tukomae na NEC maana ndio wachakachuaji wakati ule ule kura za awali kutoka vituo tulivyopigia kura tuzitunze na kama wakitangaza kinyume basi inabidi tuwape facts, otherwise tutatawaliwa na viongozi wasiokuwa chaguo letu!