Atimaye Mnyika atakanzwa rasmi kuwa mbunge mteule

Chona

Chona

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Messages
516
Likes
103
Points
60
Chona

Chona

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2010
516 103 60
John Mnyika CHADEMA ametangazwa kuwa Mbunge wa jimbo la Ubungo kwa kura 96742 akifuatiwa na Hawa Mngulubi kwa kura 50544 wa CCM
 
P

Paul J

Senior Member
Joined
Oct 25, 2010
Messages
193
Likes
1
Points
0
P

Paul J

Senior Member
Joined Oct 25, 2010
193 1 0
Saafi sana!

Jamani inaonekana CCM wana mkakati mzito wa kuiba kura kwa viti vya ubunge na urahisi. Sehemu ambazo wananchi hawawi makini kura zinaibiwa.

Katika Jimbo la Bukoba Mjini pamoja na Kigoma kwa kiti cha uraisi ilikuwa ni aibu kwa JK maana alikuwa amepata kura chache mno labda za Mkurugenzi na wasaidizi wake. Vivyo hivyo jijini Mwanza. Ukizingatia wasimamizi wa uchaguzi ni wakurugenzi wa wilaya na Mikoa, wamekuwa wakifanya kila liwezekanalo kumuokoa JK maana ni aibu kutangaza matokeo kama yalivyo na mojawapo ya mikakati ni hawa jamaa kuhakikisha anashinda ukizingatia wanateuliwa na yeye. Sehemu zote ambazo Wapinzani wameshinda kwa kishindo matokeo lazima yachakachuliwe ili kubalnce kati ya Dr. Kikwete kwa mfano Kikwete hakupata hata asilimia 10 mjini Bukoba hizo 46 ni baada ya mchakachuo wa hali ya juu. Jamani tufanyeje ili kuzuia hii hali?
We are feed up! Hatuwezi tawaliwa na watu tusiowapenda!
 
P

Paul J

Senior Member
Joined
Oct 25, 2010
Messages
193
Likes
1
Points
0
P

Paul J

Senior Member
Joined Oct 25, 2010
193 1 0
Cheki hiyo difference kati ya CHADEMA (Mnyika) na ccm (Hawa) almost yuko halfway lakini utashangaa matokeo ya urahisi katika hilo jimbo ambako DARUSO tu kikwete ana kura 71 na DR Slaa ana kura 454, kwa haraka haraka unaweza kupata picha halisi Kikwete atakuwa ameanguka kwa kiasi gani lakini utashangaa matokeo ya NEC. Jamani tukomae na NEC maana ndio wachakachuaji wakati ule ule kura za awali kutoka vituo tulivyopigia kura tuzitunze na kama wakitangaza kinyume basi inabidi tuwape facts, otherwise tutatawaliwa na viongozi wasiokuwa chaguo letu!
 
D

Domo Zege

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Messages
686
Likes
38
Points
45
D

Domo Zege

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2010
686 38 45
John Mnyika CHADEMA ametangazwa kuwa Mbunge wa jimbo la Ubungo kwa kura 96742 akifuatiwa na Hawa Mngulubi kwa kura 50544 wa CCM
Kura sahihi ni
Mnyika (CHADEMA) 66, 742 HAWA (CCM) 50, 500 MTATIRO (CUF) 12, 900
 
K

Kana Amuchi

Member
Joined
Jul 21, 2009
Messages
70
Likes
0
Points
0
K

Kana Amuchi

Member
Joined Jul 21, 2009
70 0 0
Kuna tofauti ya kura zaidi ya elfu 10! sasa huo mchuano mkali waliokuwa wanausema uko wapi? Mambo ya ajabu sana haya. Halafu hii ni coincidence au vipi kwamba majimbo yote ambayo matokeo yanatangazwa kwa mbinde ni wapinzani ndio wanaibuka kidedea. Inaashiria nini?
 
B

bagumhe

New Member
Joined
Oct 22, 2010
Messages
3
Likes
0
Points
0
B

bagumhe

New Member
Joined Oct 22, 2010
3 0 0
Cheki hiyo difference kati ya CHADEMA (Mnyika) na ccm (Hawa) almost yuko halfway lakini utashangaa matokeo ya urahisi katika hilo jimbo ambako DARUSO tu kikwete ana kura 71 na DR Slaa ana kura 454, kwa haraka haraka unaweza kupata picha halisi Kikwete atakuwa ameanguka kwa kiasi gani lakini utashangaa matokeo ya NEC. Jamani tukomae na NEC maana ndio wachakachuaji wakati ule ule kura za awali kutoka vituo tulivyopigia kura tuzitunze na kama wakitangaza kinyume basi inabidi tuwape facts, otherwise tutatawaliwa na viongozi wasiokuwa chaguo letu!
ni wakati wa kukaa chini na kutofakali ni kwa kiasi gani watanzania wameamua kuchanganya na za kwao inaonekana somo lilieleweka vizuri
 
Forum statistics

Threads 1,250,747
Members 481,468
Posts 29,743,797