jchofachogenda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2012
- 537
- 123
Wamasai wangepewa wizara ya ulinzi
Wamasai wapewe wizara ya usalama wa raia, wizara ya ulinzi hapo Mkurya hakwepeki.. Wahaya wapewe wizara ya Elimu.
Wamasai wangepewa wizara ya ulinzi
Wamasai wangepewa wizara ya ulinzi
sasa hapo wizara ndo zingekufa kabsa,yaani wizara ya fedha umkabidh nani??Jamani nauliza si kwa nia ya kuendekeza ukabila ila kwa ku-consider tabia na experience za makabila, laiti ungepewa kupanga wizara kuendana na makabila ili kuongeza ufanisi wewe ungezipanga vipi?
mimi naanza mfano;
- wakurya- wizara ya ulinzi
- wazaramo- wizara ya habari
- wapare- benki kuu
- wachaga- wizara ya fedha
- wasukuma- wizara ya ustawi wa jamii
- maasai- wizara ya utalii
- wahaya- wizara ya mambo ya nje [wangeisifia vizuri sana nchi yetu hawa]
ongeza na ya kwako....
teh....kwiih,2peni tutajirikeWagogo Wizara ya Mambo ya Nje maana tungewatumia katika kuombaomba