Ati wewe ungepanga vipi?

Kwenye wizara ya maendeleo ya Jamii ningeanzisha idara mbalimbali za kijamii na ningeteua wakurugenzi wa idara kutokana na sifa za makabila yao kama ifuatavyo; 1.Idara ya Harusi za gharama kubwa -Mchaga. 2.Idara ya Urembo- Mrangi 3.Idara ya mafunzo ya mahusiano ya ndoa-Mzigua. 4.Idara ya huduma ya chapchap ya kuduu - Mhaya.5.Idara ya Wafanyakazi wa Nyumbani(Housegirls) -Mhehe
 
Ningeanzisha Wizara ya Dini,Madhehebu na Imani,..af ningewapa Wanyakyusa
 
Jamani nauliza si kwa nia ya kuendekeza ukabila ila kwa ku-consider tabia na experience za makabila, laiti ungepewa kupanga wizara kuendana na makabila ili kuongeza ufanisi wewe ungezipanga vipi?

mimi naanza mfano;
  1. wakurya- wizara ya ulinzi
  2. wazaramo- wizara ya habari
  3. wapare- benki kuu
  4. wachaga- wizara ya fedha
  5. wasukuma- wizara ya ustawi wa jamii
  6. maasai- wizara ya utalii
  7. wahaya- wizara ya mambo ya nje [wangeisifia vizuri sana nchi yetu hawa]


ongeza na ya kwako....
sasa hapo wizara ndo zingekufa kabsa,yaani wizara ya fedha umkabidh nani??
 
Wajita wangepewa wizara ya elimu. Mf.utamkuta mjita amepenga kalamu zaidi ya saba ktk mfuko wa shati lakini hajui kuandika jina lake.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom