Ati mwezi wa 8 & 9 ntumie MONDOC?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Jamani wifi yenu/shemeji yenu mashallah mungu anawez jalalia kupata member mwingine wa JF,Sasa alivyo ana miezi 7

Nimekutana na mwenzangu ambae tulipishana kidogo kuwatunngia mimba hawa wake zetu yeye mkewe kaenda jana zahanati ya kimara mwisho akaulizwa una miezi mingapi akasema 8 akaambiwa kuanzia sasa mumeo avae kile che kuvalishia uume..sijuii nii vileee.

....aaahhh mondoc hapana conda,..anyway hiyo hiyo watoto wanapita hapa,..sasa mi ndio wiki ijayo kumekucha mwezi wa nane nkasema niulize kwanza jamani ni kweli tutumie kificha uume mwezi wa 8 na 9 ati kisa tu mtoto atazaliwa na maniniii usoni kama awatatumia,binafi sina tatizo nikataka kupata uzoefu kidogo kwa wenye uwezo zaidi,......

Hakika uzazi kazi nzito
 
Mwanahalisi hiyo njia na mahali mtoto alipo havina muingiliano kwa sasa...!as far as my biology teaches me:Haijalishi!
Endelea mwana..
but kaming to think of it, nahisi hii misconception ndo sababu ya wazee wetu kuoa wake wengi. Huyu akijaa unaendeleza libeneke kwa mwingine..teh teh teh!
 
Piga mpaka siku ya mwisho kujifungua kwani hiyo itakuwa kama KY yake ya kurahisisha mtoto kutoka usipofanya hivyo uke unatabia ya kuwa mkavu.
 
wengi hasa akina mama utawasikia wakisema mtoto kazaliwa usoni ana mananihii kibao AIBUU yaani mpaka mwisho mlikuwa mnafanya. hiyo sasa sijui ndo nini, wakati Dr anahimiza njia iongezwe/panuliwe na baba sasa utafanyaje hapo?
 
wengi hasa akina mama utawasikia wakisema mtoto kazaliwa usoni ana mananihii kibao AIBUU yaani mpaka mwisho mlikuwa mnafanya. hiyo sasa sijui ndo nini, wakati Dr anahimiza njia iongezwe/panuliwe na baba sasa utafanyaje hapo?


Chimunguru naanza kupatwa na wasiwasi na elimu yako mkuu! Usinifanye nifikie huko Mtani!

havina uhusiano as long as mko kwenye comfortable position! Na pia hii inampa mazoezi Mama Mjamzito!

Tengeneza njia mkuu!
 
wengi hasa akina mama utawasikia wakisema mtoto kazaliwa usoni ana mananihii kibao aibuu yaani mpaka mwisho mlikuwa mnafanya. Hiyo sasa sijui ndo nini, wakati dr anahimiza njia iongezwe/panuliwe na baba sasa utafanyaje hapo?

sijui wanataka kuipanua wenyewe!! Hawa wamama nao wakisaidiwa na waume zao shida
tupeni sie wakina daudi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom