Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,782
Ukiacha yale makabila yanayofanya jando na unyago kwa ajili ya kutimiza mila na desturi, yapo ambayo unyagoni mabinti hufundishwa kwa ufasaha kabisa namna ya kuzungurusha nyonga yake ili amridhishe mwanaume.
Wapo mabinti wanaishi maisha mazuri sana kisa kiuno, Lakini cha kushangaza siku hizi wapo vijana wa kiume nao wamefanya viuno vyao mtaji, si wacheza shoo, bali ni wazinzi.
Wanafanya ngono na akina mama wenye uhitaji kwa malipo maalum ni machangu wa kiume ila hawajulikani sana na wanafanya kwa siri sana.