Ati Magufuli Anajigamba kuagiza Wabunge Wafukuzwe Bungeni ili wakiwa Nje adeal nao Vizuri!

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,627
2,000
Naomba Mods Mfute uzi huu umekuwa Dubblicated, lakini Replica ya pili iko more expanded hiyo iachwe nawaomba
 
Rohombaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
12,429
2,000
Dah... Ajabu sana... Wakati wengine wanapigania nchi isinyonywe na isonge mbele.... wengine wanapinga....akili za ajabu sana hizi
 
TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,627
2,000
Wateteeni sana hao wanafiki na watopokaji wenu.

Sisi wapiga kura wao tutawashugulikia kabla hata ya Magufuli.
Mimi nakuheshimu mawazo yako ila siasa sio Ushabiki kama wa michezo its a real life! Wewe beza kebehi singizia, Ila Muda ndio Majibu! Magufuli ameua Uchumi hawezi kukusanya Kodi hivyo anatafuta kila jinsi ya kujiongeza, simlaumu ila anaposema Wapinzani Wanapinga bila Mantiki, moyoni anajua sio kweli na ni dhambi. Hakuna Mpinzani anayetaka Tanzania Waibiwe, The hell waliotaka Tanzania waibiwe ni Magufuli na Maccm wenzake waliowapa hao Wazungu Madini Bure Tangu 1997. Leo analia Machozi ya Mamba ili aonekane hero! Mbona analilia Mchanga na Asililie Dhahabu halisi asilimia 95%? Please! Magufuli namjua kuliko ajijuavyo hapo ni kuwa Amejizindulia Kampeni 2020 kabla ya Muda hakuna lingine, Hapo anawa enjoy kinoma noma! Magufuli aliyesema Mtu akisema kuna Njaa ashikwe awekwe ndani leo anawaambia, Ati analia kwa Uchungu wananchi Wananjaa Mnamwamini? Magufuli aliyetimulia Watoto 7900 Mitaani bila ya kufikiri mara mbili na Kuwatukanilia mbali, leo anawaambia anawaonea wanafunzi huruma mnaamini? Please!
 
niachiemimi

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
3,044
2,000
Napenda Kumwambia Magufuli iwe ni Bungeni au Ni Nje ya Bunge, Mtanzania yeyote, Licha ya Mbunge! Anao Uwezo wa Kupinga au Kutofautiana au kukosoa sera yoyote ya serikali. Na sio tu hivyo mbunge au Mtanzania yeyote anaweza kupingana au kutofautiana na Kiongozi Yeyote wa Serikali ukiwepo wewe Magufuli (rais)

The hell wewe ni Mtumishi wa Uma, Mtumishi wa Wananchi, hujawekwa hapo kuwa Terrorist wa kuwatisha wananchi wasiwe na Uhuru wa Mawazo. Nawalaumu sana! Vyama vya Upinzani, Maana naapa kama Mungu aishivyo uhuni unaofanyika Tanzania, Uonevu wa Kisiasa Unaowafanyia Wapinzani kinyume na Katiba Nd. Magufuli, Niape, na Nasema hasa hasa! Niape ningepewa Uwenyekiti wa Chadema miezi miwili Tu! Mawili Ningeumailiza,aidha kwa mimi kuuwawa hadharani! Au Kwa mnaosukuma kupima Udhaifu na kisha kusukuma zaidi kujua you cant push anymore!

Wapinzani Tanzania ni Waoga sana, au Wanasikiliza Ndoto za alinacha za Kiongozi Mtu mzima Mwoga anayewapa matumaini kuwa every thing will be Okay, The hell everything is Not Okay!
Ripot nzima wewe umeona hilo tu ndio linamanufaa. Nyumbu hata kwa nguvu tutawavusha tu mto mara.
 
chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
7,860
2,000
Wajinga kama wewe ni wachache sana
Mjinga ni wewe unayejifanya msemaji wa kila mtanzania. Serikali ilipotanua magoli na kuwa inawaswaga kama ng'ombe ilifanya mchezo mbaya sana wa kutengeneza wajinga wengi, wewe ukiwemo!
 
chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
7,860
2,000
Wewe umelewa madawa ya baba wema sepe2 .Your thinking capacity is almost zero
Endelea kujitukana. Uzuri ni kwamba wanao judge ni wale wanaokusoma, mwenye akili hawezi kudai kuwa ameshikilia akili za watanzania zaidi ya milioni 20 wanaoweza kupiga kura. Sio Bashite kweli wewe?
 
chengbi

Senior Member
May 5, 2017
110
250
Mimi nakuheshimu mawazo yako ila siasa sio Ushabiki kama wa michezo its a real life! Wewe beza kebehi singizia, Ila Muda ndio Majibu! Magufuli ameua Uchumi hawezi kukusanya Kodi hivyo anatafuta kila jinsi ya kujiongeza, simlaumu ila anaposema Wapinzani Wanapinga bila Mantiki, moyoni anajua sio kweli na ni dhambi. Hakuna Mpinzani anayetaka Tanzania Waibiwe, The hell waliotaka Tanzania waibiwe ni Magufuli na Maccm wenzake waliowapa hao Wazungu Madini Bure Tangu 1997. Leo analia Machozi ya Mamba ili aonekane hero! Mbona analilia Mchanga na Asililie Dhahabu halisi asilimia 95%? Please! Magufuli namjua kuliko ajijuavyo hapo ni kuwa Amejizindulia Kampeni 2020 kabla ya Muda hakuna lingine, Hapo anawa enjoy kinoma noma! Magufuli aliyesema Mtu akisema kuna Njaa ashikwe awekwe ndani leo anawaambia, Ati analia kwa Uchungu wananchi Wananjaa Mnamwamini? Magufuli aliyetimulia Watoto 7900 Mitaani bila ya kufikiri mara mbili na Kuwatukanilia mbali, leo anawaambia anawaonea wanafunzi huruma mnaamini? Please!

Magufuli aliyetimulia Watoto 7900 Mitaani bila ya kufikiri mara mbili na Kuwatukanilia mbali, leo anawaambia anawaonea wanafunzi huruma mnaamini? IPO kazi
 
TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,627
2,000
Wajinga kama wewe ni wachache sana
Unajishawishi kabisa kumwita Mwenzio Mjinga kwa kuwa ana mawazo tofauti! Ndio Tanzania anayotujengea Huyu mtu! Ya nyufa na mafarakano, si muwaite tu Wapinzani ni Cocroche muwafanyie kama Rwanda ya 1994 eh! Kwa sababu gani? Mtabaki wenyewe Wazalendo Watupu! Ni Mshenzi tu anaita raia wake ni Wasaliti kwa kuwa hawakubaliani na Mawazo yake!
nyi
 
ezma

JF-Expert Member
Dec 6, 2014
1,464
1,500
Kuiamini serikali ya ccm ni kujitoa ufahamu kwani maovu yote ya nchi hii wamefanya wao na hata hii issue ya mchanga ni mbwembwe tu lkn lazima wenye mchanga wao watabeba
 
TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,627
2,000
Wapumbavu na washenzi wote ni wale wanaotetea mafisadi
Na Wale Waliowapa Wazungu dhahabu bure kwa miaka 20 huku Wakiimba Mtaisoma Namba, Nambari wani eee nambari wani ni ccm! Na wavimbe wapasuke! Ni kina nani, Magufuli 1997-2015 alikuwa Wapi? Akitoka Captain Komba! Kwa Nyimbo za Kejeli alifuatia Magufuli tena yeye alikandamiza na Ngoma, Bam bam bam bambam chukueni dhahabu zetu, Hao CHADEMA vidomodomo bambam hawatishitishi

Ni yaleyale ya Nape na Kinana walikuwa Wakizunguka Nchi nzima Kuisema Serikali as If ilikuwa ni ya Nccr Mageuzi. Na Waliwapata wengi kweli. Ni Njinga tu asiyejua hizi ni Kampeni za 2020. Magufuli ni Mtindo wake wa Tangu zamani, anajifanya Kukoromea Watu mbele ya Makamera ili aonekane ni Mkombozi, Mkombozi hana Hila, Husuda, Kiburi wala Wonevu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom