Ati Lowassa na Sumaye nani Zaidi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ati Lowassa na Sumaye nani Zaidi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kithuku, Feb 10, 2008.

 1. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Wakuu nimeukuta huu mjadala kwenye blog ya Mjengwa nikaupenda, nimeona niulete hapa tuutajirishe zaidi. Wapo wanaodai kuwa baada ya kuyaona ya Lowassa sasa wanahisi kumbe Sumaye hakuwa fisadi, vinginevyo angeshaanikwa kama sasa wanavyoanikwa kina Balali, Lowassa na hata Mkapa. Pia wanadai mambo aliyotuhumiwa Sumaye kama kukopa sh mil 50 NSSF (ambazo atalipa) na kuwa na mashamba (ambako watu wanafanya kazi halali ya kulima kwa nguvu zao) ni tuhuma ndogo kulinganisha na hela zilizochotwa BoT ambazo zimepotea na makampuni ya Richmond, IPTL nk ambayo yanakula bila jasho! Yuko aliyedai kuwa Sumaye kumbe alikuwa Premier mzuri sana! Details za mjadala wenyewe hizi hapa: http://mjengwa.blogspot.com/2008/02/fikiri-wangepewa-mtihani-huu-fred-na.html#comments
  Wakuu mnasemaje?
   
 2. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2008
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kama kujilimbikizia mali--- wanakaribiana [Lowassa 65% to Sumaye 35%] ikumbukwe kwamba ulimbikizaji wa Sumaye ulikuwa wa Kimachinga zaidi kulingana na ufahamu wake... wakati wa Lowassa ulikuwa wa hali ya juu kulingana na exposure yake... lakini intension n.k zilikuwa kwenye mgawanyo wa % hizo hapo juu...

  Kama utendaji kazi ---- Lowasssa is 85% against Sumaye 15%


  Lile jina la Sumaye halikuja hivi hivi wakuu... another justification ya ...u... wake ni kwenda kusoma management baada ya mazingira ya ku-apply hiyo management skills kuwa hayapo tena.
   
 3. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Lowassa weakness yake ni corrupt na arrogant, kashawafokea wakuu wa mikoa kama watoto, kasha fire Injinia on the spot and the list goes on.

  Lakini anajulikana kuwa policy wonk kuliko hata rais, which lead some analyst to question our governments direction since neither the president nor PM is a policy wonk.

  Sumaye strength yake, if you can call it that, ni kuwa alikuwa na kifua cha kuzuia maneno (in comparison Lowassa ana mihasira na mori iliyomfanya nkususa kzai ya PM)

  Otherwise wote corrupt, Sumaye yessir man wakati Lowassa alikuwa hyper active to the point of insurbodination.Lowassa mtoto wa mjini zaidi Sumaye bonge la mkulima.

  Kama siyo mambo ya corruption na bullyism, Lowassa was probably a better PM than Sumaye.
   
 4. M

  Mafuchila JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2008
  Joined: Apr 29, 2006
  Messages: 752
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ingawa Sumaye alikuwa anakula, lakini si kiasi cha kufikia kile kitu inaitwa UFISADI. Ikumbukwe kuwa milioni 50 za mkopo kutoka NSSF na mashamba ya Kibaigwa ilikuwa ni mizengwe ya wanamtandao kwa Sumaye kuelekea urais, tusisahau pia Sumaye alituhumiwa kununua nyumba ila ya waziri kitu ambacho hakikuwa kweli, the list of accusation goes on and on, but whatever goes around must come around. Lowassa bado ana safari ndefu ya kulipa yale madhambi aliyowatendea wengi kwenye kampeni kama kina Salim, Sumaye, Malecela, Mwandosya na wengi tu katika list.
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,661
  Trophy Points: 280
  Wote mafisadi tu hakuna aliye na afadhali au zaidi!
   
 6. binjo

  binjo JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2016
  Joined: Feb 22, 2016
  Messages: 2,126
  Likes Received: 1,161
  Trophy Points: 280
  hiivi mkuu bado una msimamo huu
   
 7. binjo

  binjo JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2016
  Joined: Feb 22, 2016
  Messages: 2,126
  Likes Received: 1,161
  Trophy Points: 280
  bado unaamini hilo
   
 8. binjo

  binjo JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2016
  Joined: Feb 22, 2016
  Messages: 2,126
  Likes Received: 1,161
  Trophy Points: 280
  duuuuh
   
 9. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2016
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,444
  Likes Received: 12,704
  Trophy Points: 280
  Wote ni wezi....... Tena sugu
   
Loading...