Athumani Kazi, jitathmini katika uchambuzi wako wa soka

Kalolelo

Senior Member
Oct 17, 2018
164
244
Nimeshangaa sana anadai penati ya Simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penati. Kama una unazi achana na unazi binafsi, nakukuheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/ makosa ya huyo mama Jenesia, acha kabisa. Picha zipo clear no penalty.
 
Yanga siku zote hawataki kupigiwa penalti na wakipigiwa penalti basi refa kapendelea,ila wao wakipewa penalti ni vifijo na nderemo.Yanga acheni kuingia Uwanjani na matokeo ya kushinda mambo yakigeuka lawama kwa refa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwenye match ya leo kati ya Yanga na Simba ni timu gani iliingia na matokeo mfukoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakukuwa na penati pale, hata mwamuzi wa pembeni alikataa hakuna penati pale ila wa kati akang'ang'ana ni penati.

Athumani anataka tufanya wajingaaaaaa! mpira tumeona vzr hakuna penati pale
 
hakukuwa na penati pale, hata mwamuzi wa pembeni alikataa hakuna penati pale ila wa kati akang'ang'ana ni penati.

Athumani anataka tufanya wajingaaaaaa! mpira tumeona vzr hakuna penati pale
Weka video clip
 
Weka video clip
Ingia youtube

Kawaambie TFF wenzetu wanatumia V.A.R sisi huku VAR yetu ni lines men iweje refa akatae mawazo ya msaidizi wake aliye ona tukio.

Halafu yule Kagere kuvaa cheni, kikuku, sijui shanga ile sio makosa.
 
Ingia YouTube

Kawaambie TFF wenzetu wanatumia V.A.R sisi huku VAR yetu ni lines men iweje refa akatae mawazo ya msaidizi wake aliye ona tukio

Halafu yule kagere kuvaa cheni, kikuku, sijui shanga ile sio makosa
Mwamuzi uwanja ni mmoja tu, wengine wanamsaidia.
Msaada sio lazima uwe satisfactory
 
Nimeshangaa sana anadai penati ya simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penart kama una unazi achana na unazi binafsi nakiheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/makosa ya huyo mama Jenesia acha kabisa picha zipo clear no penalty
Vipi aliyeotea kabla ya kufunga?
 
Nimeshangaa sana anadai penati ya simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penart kama una unazi achana na unazi binafsi nakiheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/makosa ya huyo mama Jenesia acha kabisa picha zipo clear no penalty

Huyo Othman Kazi mwache kama alivyo...Baadhi yetu tunamfahamu sana na kwa kutunza heshima yake hatuwezi kuyaweka mambo yake humu...Ila ni Simba wa kutupwa...Na ni bahati mbaya mno soka ya Tanzania kuwahi kuwa na refa kama yule na ambaye sasa inaelekea amejipachika kuwa eti ni mchambuzi wa soka...what a shame...Halafu kuna mchambuzi mwingine anaitwa Dauda dah hebu niishie hapa kwani ni aibu...
 
Mwamuzi uwanja ni mmoja tu, wengine wanamsaidia.
Msaada sio lazima uwe satisfactory
Mwenye kuamua offside ni assistant refaree. Mwamuzi wa kati jukumu lake ni kutimiza uamuzi huo.
 
Yanga siku zote hawataki kupigiwa Penalti na wakipigiwa Penalti basi Refa kapendelea,ila wao wakipewa Penalti ni vifijo na nderemo.Yanga acheni kuingia Uwanjani na matokeo ya kushinda mambo yakigeuka lawama kwa Refa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya leo refa kawabeba Yanga, maana Yondani ilibidi apewe umeme na adhabu ndogo itolewe kwa Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom