Athumani Ally Maumba aliyetikisa miaka ya 1980s kwa kulawiti wanafunzi yupo wapi?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,216
113,510
Hivi huyu bwana bado ananyea debe? Aliviharibu sana visichana vya shule za msingi huyu.

Kwa wale wenzangu na mie mliokuwa mjini kabla chipsi hazijafika lazima mtakuwa mmelisikia hili jina.

---
mama chupaki said,

Maumbo hakuwanajisi watoto wa shule ya msingi Jamhuri.

Maumba aliwanajisi watoto wa shule ya mnazi mmoja na mtendeni ndio waliokuwa wanaenda kwa Maumba fundi wa kushona nguo karibu na ofisi ya kata ya mchafukoge.

alikuwa akiwashika wanafunzi wa kike matiti ilikuwa na bei yako,makalio na bei yake.akiduu mbele na bei ya na kulawiti ilikuwa na bei.wanafunzi wakitoka huko wanaenda kununua mihogo wa said mihogo baharia na juisi ya ukwaju kwa kidevu pale shule ya msingi mnazi moja.

Wanafunzi wa kike tulipata shida kwa kutaniwa hasa tuliokuwa tunapanda daladala ukitoa shilingi moja konda akusema kuwa unapesa bwana wenu si maumba.Hii ilikuwa miaka ya 1988/89.

Lakini hakutungiwa nyimbo kiboko ilikuwa kwa yule msichana Jamila wa mtaa wa mwanza ilala alibokolewa na mchagga muuza duka.

---
neba said, Mzee Maumba alifungua duka jingine la ushonaji mtaa wa Idrisa Magomeni mapipa.Akamrejea Mola wake. Ametangulia mbele ya haki.
 
Uliwahi kumsikia au ulikuwa bado uko chekechea kipindi hicho...kama sikosei hii ilikuwa '86 au '87.

Sijawahi msikio yaani hapa ndio "bismillah" ila tu post yako na hio ya pili imejieleza va kutosha
hivo mpaka woote wamjuao watoe hoja zao hapa naona itakua ni insight ya Maumba ya Kutosha....
 
Uliwahi kumsikia au ulikuwa bado uko chekechea kipindi hicho...kama sikosei hii ilikuwa '86 au '87.

Miaka hiyo ndio nilikuwa naingia mjini nikitokea pande za A Town nikaikuta hii stori iko mtaani........... Pia nakumbuka kuna kesi nyingine nadhani ilivuma sana miaka hiyo ya 80's ya Bi Asha Mkwizu........... huyu alihukumiwa Kunyongwa, hata sijui ile hukumu ilitekelezwa...............
 
FF lazima atakuwa anamjua maumba maana jamaa lili reign supreme mitaa yao-naadhani alikuwa na mke anaitwa alma ambaye kwa sasa yuko england
 
Miaka hiyo ndio nilikuwa naingia mjini nikitokea pande za A Town nikaikuta hii stori iko mtaani........... Pia nakumbuka kuna kesi nyingine nadhani ilivuma sana miaka hiyo ya 80's ya Bi Asha Mkwizu........... huyu alihukumiwa Kunyongwa, hata sijui ile hukumu ilitekelezwa...............

Asha Mkwizu huyu si alimuua mtu...nadhani mumewe. Naikumbuka sana hii stori...maza alikuwaga ananisimulia.
 
Back
Top Bottom