Kihiyo alitoa Vyeti fake kugombea Ubunge akajiita Technician. Aliumbuliwa makamani akavuliwa Ubunge kwa aibu ya cheti fake. As a result wenye Elimu fake huitwa "Kihiyo".Kumbe na ww ni wa nyumbani?. Tatizo hatutaki kuongozwa na Kilaza kaka
Ni kweli Saleh Jabir aliimba wimbo uliohusiana na Maumba,alichukua wimbo wa Vanila ice na kuutia maneno ya kiswahili,Utakuwa umesahau ile Rap ya kwanza kuwika Tanzania. Kama sijasahau iliimbwa na Mzanzibar kwa jina Jabir. Ilikuwa na kibwagizo *"Sitapenda wengi kama Maumba"* Ilikuwa hit moja kali sana zaidi ya vigogo wa dunia enzi hizo Chaka Demus & Shaba Ranks
aaah enzi za mwalimu zile, kila kona ilikuwa Maumbaaaa!! Maumba aliwika kama Popo Bawa alivyowika kipindi fulani. KIHIYO naye daah, kavunjiwa record na DAUD ALBERT BASHITE.Jamani yule mzee alichafua sana watoto Maumba tulikuwa primary school Enzi zile.
MUNGU ni mwema malipo yapo hapa hapa duniani akishajifunza aombe msamaha, akareseat sisi tutamsamehe maana ni ndugu yetu.Daudi Bashite amekuwa mdogo ana adabu hata kwa mfagiaji akiona mtu ana smart phone tu unajua anamsoma yy
Ni kweli hakuna kuweka kinyongo akishakubali kosa mapenzi yetu kwake yatakua yale yale.MUNGU ni mwema malipo yapo hapa hapa duniani akishajifunza aombe msamaha, akareseat sisi tutamsamehe maana ni ndugu yetu.
Mama chupaki we hatari umenikumbusha mbali sana saidi mihogo ex baharia yule enzi za headteacher chalila mnazi mmoja primary du dunia inakwenda kasi sanaMaumbo hakuwanajisi watoto wa shule ya msingi Jamhuri.
Maumba aliwanajisi watoto wa shule ya mnazi mmoja na mtendeni ndio waliokuwa wanaenda kwa Maumba fundi wa kushona nguo karibu na ofisi ya kata ya mchafukoge.
alikuwa akiwashika wanafunzi wa kike matiti ilikuwa na bei yako,makalio na bei yake.akiduu mbele na bei ya na kulawiti ilikuwa na bei.wanafunzi wakitoka huko wanaenda kununua mihogo wa said mihogo baharia na juisi ya ukwaju kwa kidevu pale shule ya msingi mnazi moja.
Wanafunzi wa kike tulipata shida kwa kutaniwa hasa tuliokuwa tunapanda daladala ukitoa shilingi moja konda akusema kuwa unapesa bwana wenu si maumba.Hii ilikuwa miaka ya 1988/89.
Lakini hakutungiwa nyimbo kiboko ilikuwa kwa yule msichana Jamila wa mtaa wa mwanza ilala alibokolewa na mchagga muuza duka.
Kihiyo ni kama =BashiteHuyo kihiyo alifanyaje yeye na maumba?
Hahaha kumbe wa nyumbani siwezi kuongozwa na Ninja wa cheti cha mtuKweli we ni kiogwe(kiazi-kipare) unamshikaje makalio!?
Jaribu kumuheshimu,ujue ana familia na nikiongozi.
Kosoa pale unapoona pamekosewa ila tambua yule ni kiongozi
.....washabiki wa Maumba waliamua yatumia kama "lubricant"Na mafuta ya Rays ilikuwaje yakapata umaarufu kwa sana katika sifa za ubabu seya.?
Aliyekulipia ada kama akiona jinsi unavyoandika anaweza hata kutoa machozi aisee,hiyo ada aliyokulipia ni bora hata angenunua Kuku wa mayai na kuwafuga! teh! teh!Unanisahihisha wewe ndio ulinilipia ada.Daudi Bashite aliferi feri akaona apige shoti kati akanunua vyeti vya Paulo
Upo sahihi kwa kuongeza hizo shule mbili M/Mmoja na Mtendeni ila usikatae kuhusu shule ya Jamhuri ambayo ndio ipo karibu zaidi na ilipokuwa ofisi ya huyo bazazi na kuna wasischana waliokuwa mtaani kwetu waliosoma Jamhuri walioathirika na ule unyama.Maumbo hakuwanajisi watoto wa shule ya msingi Jamhuri.
Maumba aliwanajisi watoto wa shule ya mnazi mmoja na mtendeni ndio waliokuwa wanaenda kwa Maumba fundi wa kushona nguo karibu na ofisi ya kata ya mchafukoge.
alikuwa akiwashika wanafunzi wa kike matiti ilikuwa na bei yako,makalio na bei yake.akiduu mbele na bei ya na kulawiti ilikuwa na bei.wanafunzi wakitoka huko wanaenda kununua mihogo wa said mihogo baharia na juisi ya ukwaju kwa kidevu pale shule ya msingi mnazi moja.
Wanafunzi wa kike tulipata shida kwa kutaniwa hasa tuliokuwa tunapanda daladala ukitoa shilingi moja konda akusema kuwa unapesa bwana wenu si maumba.Hii ilikuwa miaka ya 1988/89.
Lakini hakutungiwa nyimbo kiboko ilikuwa kwa yule msichana Jamila wa mtaa wa mwanza ilala alibokolewa na mchagga muuza duka.
Kwahiyo Babu Seya aliiga kwa jamaa?Nn kweli aliharibu vitoto vingi sana sana duh jamaa aliharibu sana
Mkuu jitahidi unapotoa mada uwe na data sahihi.huyo bwana maumba hakushinda kesi bali alihukumiwa kifungo na alishamaliza muda tu.bahati yake kwamba wakati ule sheria ya miaka 30 au maisha ilikuwa haijapitishwa badoSamahani wakuu nimesikia story mitaan kua huyu jamaa kwenye miaka ya 1980 alitikisa nchi kwa uhalifu wa kusodomize watoto takribani 100 na alishinda kesi ,wanasema watoto wa kike ilikua ukisikia Maumba unabana miguu,hadi kuna mafuta maarufu yalikua yakiitwa maumba ni mafuta gani hayo? Aliishi wapi huyu jamaa