Athuman A.Mchabwa (China) na Mpango wa Kuendeleza soka la TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Athuman A.Mchabwa (China) na Mpango wa Kuendeleza soka la TZ

Discussion in 'Sports' started by Domo Kaya, Mar 11, 2010.

 1. Domo Kaya

  Domo Kaya JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2010
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mimi sio mpenzi sana wa michezo ila napenda mara chache chache kuangalia mpira wa miguu (football),kila mara huwa nahisi kunakitu kina miss kwenye soka letu ukilinganisha na mipira ya ulaya.
  Sasa jana kwa bahati nikiwa nasoma gazeti lile la Dimba nikakuta na habari huyo bwana hapo juu Athumani China,anampango wa kuendeleza soka letu.
  kiukweli kabisa,ukianagalia Historia ya kisoka ya huyo bwn. China (kwa mujibu wa Muhandishi wa Makala hiyi Ndg.Mahmoud). some how nikawa amuse kwamba at last kunamtu anafikiri juu ya kuendeleza tasnia hii ya soka.
  Mwenye kufahamu zaidi juu ya huu mpango hapa Jf atuwekee tuujue na kama kuna maoni pia tutoe,nafahamu hapa JF ndio kila kitu haman kisicho julikana
   
 2. Domo Kaya

  Domo Kaya JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2010
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Dah!inawezekana huyu jamaa kasahaulika hapa nchini au watu hawakuiona ile makara kwenye Dimba.wanamichezo mko wapi?kina Masanilo na wengine'je hamja ipata hii mpango hata kwa kidogo
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nadhani China anataka jiwekea kamlija naye awe ananyonya taratibu! Soka letu bado liko kwenye ridhaa zaidi, mambo yatabadilika tukiingia kwenye soka la kulipwa na ufadhili wa kueleweka kwenye vilabu vyetu.
   
 4. Domo Kaya

  Domo Kaya JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2010
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  You think so...!
  Basi jamaa nae Fisadi kama habari ndio hiyo.
  Na je bado hajaweka wazi huo mpango wake wa kuendeleza soka?
  Nionavyo mimi,anaweza kuwa nia ya ukwli kabisa juu soka la nchi hii,mabadilko yoyote huwa mara nyingi yanatokana na mtu mmoja.Tulitegemea mengi kutoka kwa viongozi wetu hasa mwenyekti wa Tff lakini hamna mabadiloiko yoyote ingawa yeye mwenyewe alikua mchezaji.
  Sasa labda tumpe nafasi tuone huyu China yeye ana lipi jipya
   
Loading...