Buti la mkoloni
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 310
- 834
Gari ya kuongelewa inatakiwa iwe na sifa zipi?! Kwa hizo sababu ulizotoa hakuna ata yenye mashiko, '' ubora wake wa mashaka'' tupe technical reasons ili tusadiki hayo unayo yaeleza.''Not friendly in all weather road" Sasa ndugu unanunua Sedan car ili ukalimie viazi huko Mabengo😂 Lete sababu zenye mashiko. Gari kuwa chini ama juu inategemea unanunua gari kwa matumiz gani. Huna sababu za msingi wewe ni mpiga porojo😂Yani mi na akili zangu timamu kabisa naenda kuhesabu pesa ninunue Crown kweli? Gari iko chini, haiko friendly kwa all weather roads, tatu ubora wake ni wa mashaka. Tatizo nimegundua wengi tunanunua magari kwa kufuata mkumbo, lakini Crown ukiacha comfortability kiasi, haina qualities za kuwa gari ya kuongelewa...