kwa hiyo kwa mfano inawezekana mapping kufanyika carina TI ikawa na speed up to let say 270 km per hour? kama ndiyo speedometer itabidi ichange? kwa lugha nyingine inawezekana hiyo TI ikafanyiwa mapping ikaibeat volkswagen polo GT, au subaru GBV! au hata ikakaribia hizo?Mapping si gharama inategemea na wewe unahitaji nini zaidi.
Millioni moja kwa engine ya 5A unafanya mapping vizuri.