Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Nilikuuliza hivi:
"Hayo mengine unayosema yapo automatic we unayaona ni ya kawaida tu na hayakufikirishi chochote,sasa hata kama tungekuwa tunamuona kabisa Mungu(achia kumjua tu automatically) ndio ingekuwa nini sasa?"

Unaacha kujibu halafu unakimbilia kuuliza maswali wakati umeacha kujibu swali muhimu katika tunachojadili.
1.Yanachonifikirisha ndicho nilichokuuliza,sijui kwa nini unauliza swali ambalo jibu lake limo humohumo.

Yamenifikirisha na ndipo nikakuhoji hivi,kwa nini Mungu wenu (iwapo kweli kaumba watu) kawawekea suala la kwenda haja kubwa liwe la automatic (pasina kuhitaji hadi padri ama shehe akwambie umebanwa nenda chooni) ila suala la uumbaji na uwepo wake lihitaji padri au shehe?

Je,kwake Mungu wenu suala la haja kubwa ndiyo la msingi zaidi, akatufunulia automatically ila la uwepo wake halina thamani sana akaacha kutupa u automatic wa kumjua?

2.Unaposena kumuona ingekuwa niñi sasa, hapo hujajibu swali.

Wala mimi sijataka hadi nimuone.

Nachotaka kujua toka kwako ni alishindwa kujidhihirisha ktk njia isiyoacha maswali kama ambavyo ilivyo leo, kiasi cha madhehebu kuwa mengi?

Naomba majibu,kama mjadala ni mzito kwako waweza potezea na kukaa tu pembeni kama alivyofanya Mr parasite (genious baraka ) hapo juu.
 
y

Kwanza kabisa naposema kuwa hayo mambo hayajakufikirisha nina maana ya kwamba hayo mambo huyaoni kuwa kuna aliyeyafanya au kilichofanya hayo mambo,kwako hayajakufikirisha chochote huona ni kawaida tu. Ndiyo maana nikakuuliza hata tungekuwa tunamuona kabisa(achia kumjua tu bali na kumuona kabisa) huyo Mungu(ambaye inadaiwa kuwa ndio mfanyaji wa hayo mambo) ndio ingekuwaje? sijakwambia kwamba unataka kumuona.
 
Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi.

Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.

Taswira ya JamiiForums sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje. Nakaribisha mijadala zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu

Thread ya muda mrefu hii.
Lkn nachotaka kukuambia ni kuwa usitumie uelewa wako kuwashawishi wengine waamini hakuna Mungu, bali jielekeze kushawishi na kuvuta watu jinsi vitu vyote vya ulimwengu kutia ndani na ulimwengu wenyewe vilitokea kwa nasibu. Jitahidi kupanga hoja za ushawishi kuonesha jinsi usiku na mchana, majira ya mwaka, kutokea kwa binadamu, mzunguko wa maji, umbile la dunia na ukubwa wake, n.k, n.k. VILITOKEA KWA NASIBU AU KWA MILIPUKO AU MAGEUZI NA VITU KAMA HIVYO.
 
Kwa kuwa wewe ni ngumbaru nilijua tu huwezi kuelewa chochote hapo.

Acha nikurahisishie,lete uthibitisho wenye logical consistencies na usiokuwa na contradictions kuhusu Mungu wako.

Unaweza kufanya hivyo?
BRO NIMEKUAMBIA UCHAGUE .

. HAYO MAWSALA YA NGUMBARU NI WW MWENYEWE

..UNATAKA USHAHIDI WA PICHA ,MAANDISHI .VIDEO.DOCUMENTS AU WA MACHO.. UKISEMA LOGICAL CONSINSTENCY UTAJICHANGANYA KUNA WATU WANA VANYA MAZINGAOMBWE AMBAYO SIO LOGICAL KABISA.. WEWE SEMA NIKULETEE NINI ILI HUAMIN IN YOUR LOGIC.... YAAN NIKULETEE NN AMBACHO UTAAMINI LOGOCALYY
 
Kwanza kabisa naposema kuwa hayo mambo hayajakufikirisha nina maana ya kwamba hayo mambo huyaoni kuwa kuna aliyeyafanya au kilichofanya hayo mambo,kwako hayajakufikirisha chochote huona ni kawaida tu. Ndiyo maana nikakuuliza hata tungekuwa tunamuona kabisa(achia kumjua tu bali na kumuona kabisa) huyo Mungu(ambaye inadaiwa kuwa ndio mfanyaji wa hayo mambo) ndio ingekuwaje? sijakwambia kwamba unataka kumuona.
1.Hata kama yakinifikirisha kuwa yupo aliyeyaweka, mwekaji huyo si lazima awe ni Mungu mjuzi wa yote,mwenye uwezo wote na upendo wote.

Inawezekana mwekaji huyo akawa ni mwingine tu ambae hatujamjua bado.

Kama ambavyo mwanzoni hatukujua tiba ya Malaria (quinine na nyinginezo), kutokujua tiba ile haikuwafanya watu walazimishe kuwa tiba hiyo ya Malaria lazima iwe mahindi.

Kilichofanyika ni kuweka pembeni pande zinazogoma na kujibidisha kusaka upande wenye uwezekano wa tiba.

Kitendo cha binadamu kutoa haja kubwa (uchafu) ni kuonesha system yake ni imperfection, kwa mujibu wa second law of thermodynamic s.
Muumbaji mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote hawezi kutengeneza kitu chenye mapungufu (imperfection).

Kwa msingi huo muumbaji mwenye sifa hizi lazima awekwe pembeni kwenye kusaka jibu (we shade un required region-in maths),tunasaka upande wa asiyekuwa na sifa hizo zote at the same time.

Otherwise utupe maelezo kwa nini Mungu huyo aliumba vitu vyenye mapungufu wakati alikuwa na uwezo wa kuumba visivyo na mapungufu!.

2.Kitendo cha kumuona Mungu muumbaji (japo mimi sijataka mpaka nimuone ndiyo nijue yupo) kingesaidia kuondoa maswali ya kwamba hayupo na hivyo kutokuwa na utata.

Mfano tu kitendo cha Rais Magufuli kuonekana mara kwa mara kunasaidia sisi kujua uwepo wa Rais wetu.

Hii inatufanya tupokee kwa urahisi utenguzi na uteuzi wa mawaziri na wengineo,maana anapowaapisha tunamuona na tunakiri wazi ni maamuzi ya rais.

Hebu fikiria ingekuwaje iwapo tu baada ya kuapa tar 05/11/2015 angepotea tusimsikie hadi sasa tukawa tunaambiwa tu Rais kamteua yule na kamtengua huyu?

Hapo lazima tungejiuliza yupo kweli au nae alidondoka na ndege ya Malaysia ila tumefichwa tu?

Na kama kweli atakuwepo Ila tu anaongoza kwa rimoti toka alikojificha tangia 2015, na mwakani akaja kuomba ridhaa tena, piga picha ataambulia kura ngapi!

Mpaka hapo nadhani umeshaona faida ya kumuona "live" kiongozi wako.

Sijui nimeeleweka?
 
BRO NIMEKUAMBIA UCHAGUE .

. HAYO MAWSALA YA NGUMBARU NI WW MWENYEWE

..UNATAKA USHAHIDI WA PICHA ,MAANDISHI .VIDEO.DOCUMENTS AU WA MACHO.. UKISEMA LOGICAL CONSINSTENCY UTAJICHANGANYA KUNA WATU WANA VANYA MAZINGAOMBWE AMBAYO SIO LOGICAL KABISA.. WEWE SEMA NIKULETEE NINI ILI HUAMIN IN YOUR LOGIC.... YAAN NIKULETEE NN AMBACHO UTAAMINI LOGOCALYY
Umetaka nikupe aina ya ushahidi ninaoutaka,nimekwambia nataka ushahidi wenye logical consistencies na usio na contradictions.

Badala yake unani guide tena kwenye mambo ya picha,documents, video, sijui na nini,kitu ambacho ni kuninyang'anya uhuru wa uchaguzi ulionipa!.

Unaelewa kwamba unaweza ukaleta ushahidi wa kuona,picha,video,sauti au wa kuañdikwa kama usemavyo, na bado ushahidi huo ukawa hauna logical consistences na ukawa na contradictions na hivyo ukawa hakuna ulichokifanya?

Unaelewa hata logical consistency ni nini na contradiction ni nini!?
 
haya BROTHER BAS TUFANYE IVI NIPE MFANO HIYO LOGIC CONSINSTENCY INAKUAJE ... NIPE MFANO WAKE UKOJE ILI TUENDE SAWA....
 
Thread ya muda mrefu hii.
Lkn nachotaka kukuambia ni kuwa usitumie uelewa wako kuwashawishi wengine waamini hakuna Mungu, bali jielekeze kushawishi na kuvuta watu jinsi vitu vyote vya ulimwengu kutia ndani na ulimwengu wenyewe vilitokea kwa nasibu. Jitahidi kupanga hoja za ushawishi kuonesha jinsi usiku na mchana, majira ya mwaka, kutokea kwa binadamu, mzunguko wa maji, umbile la dunia na ukubwa wake, n.k, n.k. VILITOKEA KWA NASIBU AU KWA MILIPUKO AU MAGEUZI NA VITU KAMA HIVYO.
Na wewe walewale waliokunywa maji ya bendera za dini.

Ukiambiwa na wewe ujikite kuelezea namna Mungu alivyotokea utaweza!?
 
Tatizo mtu katoka huko kwao bush kaja mjini kasoma kidgo kadegree kapata elimu....anajiita atheist...acha roho mtakatifu asikie wivu,maana hujitambui,hujui upendo wa MUNGU kwako
 
Ahaaa haaa haaa
Swali halijibiwi kwa swali.
Kwa sababu ya uelewa wako mfinyu ndiyo maana unasema swali haliwezi kujibiwa kwa swali,kitu ambacho si kweli.

Unaijua Socratic method ni kitu gani?

Au hujui kuwa hata manabii wenu sehemu nyingi tu walipoulizwa maswali nao walijibu kwa maswali!.

Mfano Yesu (wengine wanamuita nabii Issa bin Maryam) alipoulizwa hayo mamlaka ameyatoa wapi,unakumbuka alijibuje?

Si alijibu kuwa nami ntawauliza swali,mamlaka ya Yohana mbatizaji yalitoka kwa Mungu ama kwa wanadamu?

Jamaa waliposema hatujui nae Yesu akasema nami sitawaambieni yalikotoka.

Kwa hiyo manabii wenu walikuwa wapumbavu kujibu swali kwa swali siyo?

Sasa kwa trend yako hiyohiyo uliyomshauri mtoa mada nami nakujibu hivi,badala ya kuwaacha watu waeñdelee kuamini uzushi na uongo wa uwepo wa Mungu hebu jikite kwanza hapa kuelezea huyo Mungu alikotoka!.
 
Tatizo mtu katoka huko kwao bush kaja mjini kasoma kidgo kadegree kapata elimu....anajiita atheist...acha roho mtakatifu asikie wivu,maana hujitambui,hujui upendo wa MUNGU kwako
Hata wakati Benjamin Franklin anafanya ugunduzi wa kifaa cha kuzuia radi wapo watu wenye fikira finyu walianza kumjadili yeye badala ya hoja zake.

Wapo waliomwambia katoka bush huko atawezaje kupambana na radi?

Na mbumbumbu kabisa wakasema aache tu kufanya ugunduzi huo maana kwanza radi inapopiga na kuua watu pamoja na kuharibu mali duniani inaonesha ukuu na utukufu wa Mungu.

Hakujali mijadala ile na akasonga mbele na kutuletea Lighting conductor, kifaa kilichopunguza ajali za radi kwa kiasi kikubwa.

Mfano mwingine ni Mwl Nyerere wakati anapigania uhuru wa nchi.

Wapo watu badala ya kujadili hoja za kwa nini anadai uhuru, walijikita kumshambulia yeye kwa maneno binafsi.

Kwamba kwanza katoka kijijini Butiama na bukta hadi jijini,kasomeshwa na haohao wakoloni,leo anajiona mjanja kwa kuwapinga?

Mara ni mchonga meno, na mengine kadha wa kadha.

Alichokifanya Nyerere ni kuwapuuza na kusonga mbele kukamilisha misheni.

Kwa hiyo watu kama nyinyi ambao kazi yenu ni kujadili watu badala ya hoja zao dawa yenu huwa ni kuwapuuza tu na kuwaacha.

Ila mimi siwaachi hivi hivi ninawaacha na homework ili kuwapunguzia muda wa kujadili watu, kama ulivyofanya kwa aliyetuletea mada hii.

Na homework hiyo kwa muda huu ni hii,kwa kuwa Mungu wenu ni muweza yote,kwa nini aliumba dunia ambayo inawezekana mtu mwenye ka degree kamoja kufika mjini na kuhoji maswali kama haya wakati alikuwa na uwezo wa kuumba dunia isiyokuwa na uwezekano wa mtu huyo kufika mjini toka bush na kuuliza hivyo?

Je,alitoa uhuru? Kama ni hivyo kwa nini atoe uhuru ambao wewe unaona ni wa mambo ya kipuuzi?

Ndiyo kusema nae ni mpuuzi kwa kuruhusu upuuzi wakati alikuwa na uwezo wa kuuzuia?

Karibu utoe majibu!.
 
Kwa sababu ya uelewa wako mfinyu ndiyo maana unasema swali haliwezi kujibiwa kwa swali,kitu ambacho si kweli.

Unaijua Socratic method ni kitu gani?

Au hujui kuwa hata manabii wenu sehemu nyingi tu walipoulizwa maswali nao walijibu kwa maswali!.

Mfano Yesu (wengine wanamuita nabii Issa bin Maryam) alipoulizwa hayo mamlaka ameyatoa wapi,unakumbuka alijibuje?

Si alijibu kuwa nami ntawauliza swali,mamlaka ya Yohana mbatizaji yalitoka kwa Mungu ama kwa wanadamu?

Jamaa waliposema hatujui nae Yesu akasema nami sitawaambieni yalikotoka.

Kwa hiyo manabii wenu walikuwa wapumbavu kujibu swali kwa swali siyo?

Sasa kwa trend yako hiyohiyo uliyomshauri mtoa mada nami nakujibu hivi,badala ya kuwaacha watu waeñdelee kuamini uzushi na uongo wa uwepo wa Mungu hebu jikite kwanza hapa kuelezea huyo Mungu alikotoka!.

Wewe mwenye uelewa mkubwa nilitegemea uanze na kwa kufafanua nilicho kuuliza. Sasa badala yake unaenda kwenye ajenda nyingine.
Tafadhali, rejea kile nilichokuuliza.
 
Uliuliza swali ama ulitoa ushauri wa kwamba mleta mada aache kuwaambia watu wasiamini uwepo wa Mungu na badala yake ajikite kwenye kuelezea chanzo cha Ulimwengu na vilivyomo?

Hilo ni swali ama ushauri?

Au hujui hata tofauti ya swali na ushauri!.

Vipi akisema hataki kujikita huko, yeye anakomaa huku huku?

Hata tukisema twende na akili yako,nami ntakuuliza kama Yesu na mitume wako walivyokuwa wakijibu,
umejuaje kama Ulimwengu na vilivyomo vina chanzo?

Una uthibitisho wa hilo?
 
Wewe una uwezo wa juu SANA wa kujenga hoja.
Ngoja nitoke ndukii....
 
1.Hata kama yakinifikirisha kuwa yupo aliyeyaweka, mwekaji huyo si lazima awe ni Mungu mjuzi wa yote,mwenye uwezo wote na upendo wote.

Inawezekana mwekaji huyo akawa ni mwingine tu ambae hatujamjua bado.

Kama ambavyo mwanzoni hatukujua tiba ya Malaria (quinine na nyinginezo), kutokujua tiba ile haikuwafanya watu walazimishe kuwa tiba hiyo ya Malaria lazima iwe mahindi.

Kilichofanyika ni kuweka pembeni pande zinazogoma na kujibidisha kusaka upande wenye uwezekano wa tiba.

Kitendo cha binadamu kutoa haja kubwa (uchafu) ni kuonesha system yake ni imperfection, kwa mujibu wa second law of thermodynamic s.
Muumbaji mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote hawezi kutengeneza kitu chenye mapungufu (imperfection).

Kwa msingi huo muumbaji mwenye sifa hizi lazima awekwe pembeni kwenye kusaka jibu (we shade un required region-in maths),tunasaka upande wa asiyekuwa na sifa hizo zote at the same time.

Otherwise utupe maelezo kwa nini Mungu huyo aliumba vitu vyenye mapungufu wakati alikuwa na uwezo wa kuumba visivyo na mapungufu!.

2.Kitendo cha kumuona Mungu muumbaji (japo mimi sijataka mpaka nimuone ndiyo nijue yupo) kingesaidia kuondoa maswali ya kwamba hayupo na hivyo kutokuwa na utata.

Mfano tu kitendo cha Rais Magufuli kuonekana mara kwa mara kunasaidia sisi kujua uwepo wa Rais wetu.

Hii inatufanya tupokee kwa urahisi utenguzi na uteuzi wa mawaziri na wengineo,maana anapowaapisha tunamuona na tunakiri wazi ni maamuzi ya rais.

Hebu fikiria ingekuwaje iwapo tu baada ya kuapa tar 05/11/2015 angepotea tusimsikie hadi sasa tukawa tunaambiwa tu Rais kamteua yule na kamtengua huyu?

Hapo lazima tungejiuliza yupo kweli au nae alidondoka na ndege ya Malaysia ila tumefichwa tu?

Na kama kweli atakuwepo Ila tu anaongoza kwa rimoti toka alikojificha tangia 2015, na mwakani akaja kuomba ridhaa tena, piga picha ataambulia kura ngapi!

Mpaka hapo nadhani umeshaona faida ya kumuona "live" kiongozi wako.

Sijui nimeeleweka?
Sijakwambia lazima awe nani wala nani ,hatua ya kwanza ni kufikirishwa na hayo hayo mambo ndipo tutaweza kujadili ni nani na si nani,kwanini iwe hivi na si vile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom