geniusbaraka
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 795
- 155
WEWE UNAWEZA THIBITISHA TANZANIA ILIPATA UHURU MWAKA 1961???????Sometimes wafia dini tubakosa hoja za msingi katika kutetea uwepo wa mungu, sasa kama ww unazungumzia yesu alikuwepo mara alipaa ilihali hakuna ushahidi wowote wa hilo ukambiwa uthibitishe. Hebu tuwe tunayasoma vizuri hayo maandiko mkuu halafu tuhoji akilini mwetu si kila andiko unalibeba tu. Eti watu 500 walishuhudia as if uliwaona wakishuhudia kupaa kwa yesu