Emmanuel J. Buyamba
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,167
- 651
Thibitisha kwanza uwepo wa Mungu....naona unazunguka mulu mule tu ngoja kwananza nikupe data za kuonesha yesu alitembea hapa duniani
Au tayari umeshakubali kuwa hayupo?
Thibitisha kwanza uwepo wa Mungu....naona unazunguka mulu mule tu ngoja kwananza nikupe data za kuonesha yesu alitembea hapa duniani
...naona unazunguka mulu mule tu ngoja kwananza nikupe data za kuonesha yesu alitembea hapa duniani
Wewe hata kusoma na kuelewa hujui kwa hiyo napoteza muda wangu bure tu kumfundisha hesabu za logarithms sisimizi.
1.Nimeshakwambia zilianza kutumika kwa sababu ya Hobie's za watu wa kizazi cha around miaka ya 2000 iliyopita.
Nje ya Hobie's hakuna ukweli wowote wa habari za Yesu.
Na taratibu zitaondoka tu kama ambavyo habari za jua kuzunguka dunia zilivyoondoka.
Kama unadhani Yesu alikuwepo kweli na ndiye msingi wa uanzishwaji wa BC na AD weka datà hapa,mbona unambwela?.
2.Hakuna mahala niliposema nakataa uwepo wa Mungu kisa haonekani.
Rudia kusoma mahala hapo,maana nashangaa pamoja na kukesha unasoma comment ile ila hujaielewa.
3.Sijasema dunia inaweza kuwa na chanzo kingine,nimesema "hata kama".
Unaelewa maana ya neno hata kama?.
Na kama kitu hakiwezi kutokea chenyewe, niambie Mungu wako àlitoka wapi!
Sitaki mahubiri ya hakuanza wala hatakwisha ambayo hayathibitishiki.
Hata mimi naweza sema dunia haikuanza na wala haitakwisha bila uthibitisho, kama usemavyo wewe na nikawa sawa tu.
Maana haiwezekani less complex kama dunia useme lazima iwe na chanzo halafu most complex (muumbaji wa hiyo dunia) awe hana chanzo.
Ni mjinga pekee anayeweza kubali huu upuuzi.
4.Ni kweli akili za Mungu hazichunguziki,
Ni kwa sababu hayupo!.
Wewe unaweza ukachunguza akili za kitu kisichokuwepo?.Si utakuwa chizi!
5.Kabla ya kuniuliza habari za Yesu, unaweza ukaweka ushahidi kuwa alikuwepo kweli na siyo hadithi za kutungwa tu?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
labda ki ingilishi au... nikuulize kwa kiswahili wewe una ukali na ufahamu yaan unajitambua...je iyo consciousness umewai kuionaIli mjadala wa jambo lolote uwe na tija terminologies zote (iwapo zipo) sharti kwanza zipatiwe definitions na aliyezitoa.
Umeuliza habari za mimi kuamini nina mind?
Sasa neno mind kwangu ni terminology,
Na ili twende sawa nisaidie definition yake,
Kwako wewe mind ni nini?
he is alive and living ..https://www.josh.org/evidence-jesus-lived/Thibitisha kwanza uwepo wa Mungu.
Au tayari umeshakubali kuwa hayupo?
Thibitisha kwanza uwepo wa Mungu.
Au tayari umeshakubali kuwa hayupo?
Thibitisha kwanza uwepo wa Mungu.
Au tayari umeshakubali kuwa hayupo?
The source of your information is from the bible,Does Historical Evidence Prove that Jesus Lived? - Josh.org
Historical evidence shows that Jesus lived. Both Christian and secular scholars have concluded that we can have this confidence.www.josh.org
The source of your information is from the bible,
and the bible have a lot of contradictions such that can not provide a reliable informations,
Do you realize that!?
am giving you sources utside the bible...to conrfirm that jesus lived on the earthThe source of your information is from the bible,
and the bible have a lot of contradictions such that can not provide a reliable informations,
Do you realize that!?
The source of your information is from the bible,
and the bible have a lot of contradictions such that can not provide a reliable informations,
Do you realize that!?
Ndiyo umeandika nini sasa hapa.labda ki ingilishi au... nikuulize kwa kiswahili wewe una ukali na ufahamu yaan unajitambua...je iyo consciousness umewai kuiona
The name plz of that source.am giving you sources utside the bible...to conrfirm that jesus lived on the earth
1.okay twende taratibu tu.... unataka nikuthibitishie ... je unataka ushahidi wa aina gan ili uamini?????????? wa video ,picha..kumuona live??/? au maandishi au niniNdiyo umeandika nini sasa hapa.
Kama vipi baki hukohuko kwenye mind,
kwako wewe mind ni nini?
Na aliyekwambia kila kilichopo lazima kionekane?
Au ndiyo ile tabia yenu ya kuunga unga maneno yasiyoshabihiana ili muonekane nanyi mmechangia?
Unaelewa kuwa nakubali uwepo wa vitu kama Valence na conduction bands pamoja na fobbiden gape ktk semiconductor japo hazionekani kwa macho?
Je, unajua pia kwamba si kila kionekanacho kipo?
Maana kuna vitu vinaonekana kwa macho ila havipo!
Unalijua hilo?
Ndugu yangu, ukweli kuhusu Mungu kutokuwepo umejengwa kwenye misingi mizito sana ya zaidi ya kuona.
Ndiyo maana huwezi kuthibitisha uwepo wake.
Kwa sababu hayupo.
Kama unadhani yupo thibitisha hapa uwepo wake.
the infos given is from grounded sourcess.. kwan wewe unaambiwa tanzania ilipata uhuru mwaka 61 .. how sure you are aobut sat?////The name plz of that source.
How sure are you that the source gives true informations? How!?
Mojawapo ya kanuni za uhakiki (uthibitisho na ukweli wa habari) ni kuangalia iwapo habari hiyo haina contradictions na ina logical consistency.the infos given is from grounded sources us.. kwan wewe unaambiwa tanzania ilipata uhuru mwaka 61 .. how sure you are aobut sat?////
1.ebu wewe nithibitishie kwamba tanzania ilipata uhuru mwaka 1961 ..nipe ushahidMojawapo ya kanuni za uhakiki (uthibitisho na ukweli wa habari) ni kuangalia iwapo habari hiyo haina contradictions na ina logical consistency.
Habari yoyote inapokuwa na contradiction na ikakosa logical consistency ktk logic inakuwa invalid and nullified.
Habari za Tz(I mean Tanganyika) kupata uhuru 1961 walau inaelezeka kimantiki (haina contradictions na ina logical consistence ) japo uhakika zaidi linakuwa ni jambo jingine.
Habari za Yesu ziñakwama mwanzo tu mwa mzani wa mantiki na kuwa invalid.
Ni kama ile habari yangu ya mshikaji mwenye kichwa kikubwa kuzidi dunia ila eti anaishi ndani ya uwanja wa taifa.
Hii nayo inakwama mwanzoni tu wa mizania ya logic, kiasi kwamba hata kama hujawahi fika uwanja ule, una haki ya kukataa kuwa ni habari ya kutunga.
Why?
Due to contradictions and lack of logical consistence provided by such story.
Kadhalika mnaweza badilisha website za habari za Yesu (kama ulivyofanya wewe hapo juu) lakini maudhui yake ukiyatazama yanatoka mlemle kwenye biblia iliyojaa contradictions na isiyokuwa na logical consistence!.
Mara eti alitembea juu ya maji,so what!?
Sijui akafufua wagonjwa,
viwete wakasikia,vipofu wakatembea na vilema wakaona.
Hakuna kipya hapo!.
Unasahau kwamba hata leo hii mambo haya yanafanywa kimaigizo ya makubaliano baina ya wachungaji na hao wanaojifanya vilema,wafu na viwete.
Si majuzi tu hapa Afrika kusini tumeshuhudia Mchungaji akiomba radhi kwa usanii wa kumfufua mfu?
Ni ajabu sana kuona watu bado mnakubali huu usanii wa maandiko uchwara!!.
Hatutaki habari za kututoa kwenye mjadala.1.ebu wewe nithibitishie kwamba tanzania ilipata uhuru mwaka 1961 ..nipe ushahid
2.soma tena izo evidence sio biblical ni extrabiblical..
3. yesu alifufua mtu aliekufa siku nne... acahana na hayo maigizo
.. anyway nipe kwanza ushahid tanzania ilipata uhuru mwaka 1961 tuanzie hapa..
hahahahaaha ndio mnavokimbiaga eehhh,... koo huwez kuthibitisha tanzania ilipata uhuru mwaka 1961..ahahahha whenever complex questions are presented always there is a very simpleeee answer..Hatutaki habari za kututoa kwenye mjadala.
Mwanzilishi wa post hii amelenga habari za Atheist na uwepo ama kutokuwepo kwa Mungu na si uhuru wa Tz.
Kama unataka hilo anzisha post nami nitakujako.
Kwa sasa unatakiwa uthibitishe uwepo wa Mungu full stop!.
Thibitisha Mungu yupo.
Suala la uwepo wa Mungu ni imani sasa huko kuthibitisha unakotaka wewe ni kuthibitisha hiyo imani ama vp?Hatutaki habari za kututoa kwenye mjadala.
Mwanzilishi wa post hii amelenga habari za Atheist na uwepo ama kutokuwepo kwa Mungu na si uhuru wa Tz.
Kama unataka hilo anzisha post nami nitakujako.
Kwa sasa unatakiwa uthibitishe uwepo wa Mungu full stop!.
Thibitisha Mungu yupo.