Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,272
- 105,471
Hujajibu swali langu.Wewe aliyekwambia hizi ni hadithi za watu ni nani? Hivyo vitabu vya wanasayansi unavyotumia kupinga uwepo wa Mungu ni nini kama si hadithi zao pia?
Kama Mungu hayupo hilo neno Mungu umelitoa wapi?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo, na si hadithi za watu tu?