Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

Bora Atheists hawajui wanachokitafuta kuliko nyinyi huyo mungu wenu hana msimamo haeleweki Kila siku anabadilisha sheria mpk watu hawajui washike lipi
Kitu Cha kuchekesha zaidi kuhusu hii mijadala ni kwamba watu wa dini zote tena zinazokinzana huungana na kumshambulia Atheist kwa Hoja zilezile za kizamani zisizokua na Mashiko yoyote Wala facts

Wanasahau kuwa hata wao wenyewe wanapingana

Assume Sasa Atheist kaamua kukubali Sasa kuwa Mungu yupo na anataka awe muumini mzuri wa huyo Mungu ili aurithi huo uzima wa Milele

Bro guess what?...."World war 3" itatokea
Kutazuka mjadala mwingine mkali kuwa yupi yupo sahihi Kati yao

Mwengine watamwambia akabidhi Maisha yake kwa Yesu,mwana pekee wa Mungu

Hapa wenzake watambishia,"Sio Yesu,ni Issa bin Mariam na Ni nabii tu,Njoo kwenye Uisalam dini ya haki"

Akikubali kuwa Ukristo ndio dini ya haki hivyo atampa Yesu Maisha yake....hapa pia watagawanyika Kuna watakao taka awe Roman Catholic,wasabato watakuja jua pia na kuanza kupingana na Roma

Nyie ni waabudu shetani....mnaabudu sanamu hamfai

Wakati hao wanaendelea kubishana Jehovah witnesses watamshika mkono na kumpeleka pembeni

Bwana Eeh,fata njia yetu ila yesu Sio Mungu,ni malaika Aliyeumbwa na Mungu

Hapa waislam watadakia,"Sasa we kafiri ulikataa nini, si tulikwambia yesu sio Mungu,Njoo kwetu

Hapa Sasa itazuka Vita nyingine Kati ya Shia na suni

Kwanini Kuna Mkanganyiko mkubwa ivyo
Soma Hoja inaitwa "Argument from inconsistent beliefs"
Na nyingine "Argument from Locality"

Utagundua kwanini Wasomi na wenye hekima wengi ni Atheist

NB:Mwenye Uzi Eeh?...unaweza ibandika hii comment hapo Juu...ili watu pia waone maoni ya Atheist Juu ya swali lako

Atheist hajui anachotafuta, kwasababu Hakuna Cha kutafuta
Asante

Edition:Iblis Bin Shetan amekuwa wa Kwanza ku like hii comment
Mpaka shetani kapenda
No sorry...Hakuna shetani
Kwa waumini wenye mioyo migumu tu,na wanaopenda kuchallenge imani Yao
SOMA HIOOO
"Argument From Inconsistent Revelation/Avoid the wrong Hell problem"
Source: Wikipedia

Tahadhari:Atheists hatutahusika na upotevu wowote wa Imani yako
READ AT YOUR OWN RISK
 
Kitu Cha kuchekesha zaidi kuhusu hii mijadala ni kwamba watu wa dini zote tena zinazokinzana huungana na kumshambulia Atheist kwa Hoja zilezile za kizamani zisizokua na Machiko yoyote Wala facts

Wanasahau kuwa hata wao wenyewe wanapingana

Assume Sasa Atheist kaamua kukubali Sasa kuwa Mungu yupo na anataka awe muumini mzuri wa huyo Mungu ili aurithi huo uzima wa Milele

Bro guess what?...."World war 3" itatokea
Kutazuka mjadala mwingine mkali kuwa yupi yupo sahihi Kati yao

Mwengine watamwambia akabidhi Maisha yake kwa Yesu,mwana pekee wa Mungu

Hapa wenzake watambishia,"Sio Yesu,ni Issa bin Mariam na Ni nabii tu,Njoo kwenye Uisalam dini ya haki"

Akikubali kuwa Ukristo ndio dini ya haki hivyo atampa Yesu Maisha yake....hapa pia watagawanyika Kuna watakao taka awe Roman Catholic,wasabato watakuja jua pia na kuanza kupingana na Roma

Nyie ni waabudu shetani....mnaabudu sanamu hamfai

Wakati hao wanaendelea kubishana Jehovah witnesses watamshika mkono na kumpeleka pembeni

Bwana Eeh,fata njia yetu ila yesu Sio Mungu,ni malaika Aliyeumbwa na Mungu

Hapa waislam watadakia,"Sasa we kafiri ulikataa nini, si tulikwambia yesu sio Mungu,Njoo kwetu

Hapa Sasa itazuka Vita nyingine Kati ya Shia na suni

Kwanini Kuna Mkanganyiko mkubwa ivyo
Soma Hoja inaitwa "Argument from inconsistent beliefs"
Na nyingine "Argument from Locality"

Utagundua kwanini Wasomi na wenye hekima wengi ni Atheist

NB:Mwenye Uzi Eeh?...unaweza ibandika hii comment hapo Juu...ili watu pia waone maoni ya Atheist Juu ya swali lako

Atheist hajui anachotafuta, kwasababu Hakuna Cha kutafuta
Asante
Umeongea facts kabisa yaan Kila kundi linajiona bora kuliko lingine
 
Matendo mema sio tafsiri ya uwepo wa Mungu.
Ipo hivi, uwepo wa Mungu ni project kama ilivyo project ya kuweka mipaka na kugawa majina yaa nchi.
Au kama ilivyokua project ya kuunda herufi na kuzipa majina
Au kama ilivyokua project ya kuunda namba na mengi kadharika.
Ukiangalia lengo la hayo yote, ilikua ni kuifanya dunia iishi kwa utamaduni mmoja.
Nitaendelea....
Suala la uwepo wa Mungu si jambo lenye kuhusu tu mpangilio wetu wa maisha kama hiyo mifano uliyotoa,maana kama ingekuwa hivyo basi huyo Mungu angefanywa wa kuonekana na sio kama sasa kwamba haonekani.
 
Kiukweli wanaojiita hawaamini uwepo wa Mungu hawajui wanachokitafuta.Na shida ni kwamba wanaowajibu pia hawajui wanachokijibu.
.
Uwepo wa Mungu upo ndani ya Mtu. Na ili Mungu awepo kwako ni lazima utimize mapenzi yake.

Sasa inashangaza anatokea kiumbe anasema " Mungu hayupo" na kwa wakati huo hatimizi mapenzi ya Mungu na wala hajishughulishi kuyajua mapenzi ya Mungu Bali anafuata mapenzi yake mwenyewe.

Halafu wanatokea watu wanaowajibu kuwa Mungu yupo,huku watu hao wakiwa hawayatimizi mapenzi ya Mungu yaani na wenyewe wanafuata mapenzi yao tu!

Mungu anadhihirishwa kwa matendo mema na kuishi vyema. Wote tunaoamini uwepo wa Mungu tungeishi kwa mapenzi ya Mungu hawa wanaojiita Atheists wala hata tusingewasikia.

Tujitahidi jamani kuwasaidie wenzetu kwa matendo yetu mema na upendo ili tuwajibu kwa tunayoyafanya.

Na kizuri zaidi tunajua Cha kufanya yaani tumpende Mungu,tujipende na kuwapenda wote Kama tujipendavyo
Atheist wote hawaendi mbinguni
 
Bora Atheists hawajui wanachokitafuta kuliko nyinyi huyo mungu wenu hana msimamo haeleweki Kila siku anabadilisha sheria mpk watu hawajui washike lipi
Wakati wewe unasema Mungu anabadilisha badilisha sheria wenzio wanaona hizo sheria ni za kizamani haziwezi kutumika tena zama hizi,inaonesha kweli hamjui mnachokitafuta.
 
Kitu Cha kuchekesha zaidi kuhusu hii mijadala ni kwamba watu wa dini zote tena zinazokinzana huungana na kumshambulia Atheist kwa Hoja zilezile za kizamani zisizokua na Mashiko yoyote Wala facts

Wanasahau kuwa hata wao wenyewe wanapingana

Assume Sasa Atheist kaamua kukubali Sasa kuwa Mungu yupo na anataka awe muumini mzuri wa huyo Mungu ili aurithi huo uzima wa Milele

Bro guess what?...."World war 3" itatokea
Kutazuka mjadala mwingine mkali kuwa yupi yupo sahihi Kati yao

Mwengine watamwambia akabidhi Maisha yake kwa Yesu,mwana pekee wa Mungu

Hapa wenzake watambishia,"Sio Yesu,ni Issa bin Mariam na Ni nabii tu,Njoo kwenye Uisalam dini ya haki"

Akikubali kuwa Ukristo ndio dini ya haki hivyo atampa Yesu Maisha yake....hapa pia watagawanyika Kuna watakao taka awe Roman Catholic,wasabato watakuja jua pia na kuanza kupingana na Roma

Nyie ni waabudu shetani....mnaabudu sanamu hamfai

Wakati hao wanaendelea kubishana Jehovah witnesses watamshika mkono na kumpeleka pembeni

Bwana Eeh,fata njia yetu ila yesu Sio Mungu,ni malaika Aliyeumbwa na Mungu

Hapa waislam watadakia,"Sasa we kafiri ulikataa nini, si tulikwambia yesu sio Mungu,Njoo kwetu

Hapa Sasa itazuka Vita nyingine Kati ya Shia na suni

Kwanini Kuna Mkanganyiko mkubwa ivyo
Soma Hoja inaitwa "Argument from inconsistent beliefs"
Na nyingine "Argument from Locality"

Utagundua kwanini Wasomi na wenye hekima wengi ni Atheist

NB:Mwenye Uzi Eeh?...unaweza ibandika hii comment hapo Juu...ili watu pia waone maoni ya Atheist Juu ya swali lako

Atheist hajui anachotafuta, kwasababu Hakuna Cha kutafuta
Asante

Edition:Iblis Bin Shetan amekuwa wa Kwanza ku like hii comment
Mpaka shetani kapenda
No sorry...Hakuna shetani
Kwa waumini wenye mioyo migumu tu,na wanaopenda kuchallenge imani Yao
SOMA HIOOO
"Argument From Inconsistent Revelation/Avoid the wrong Hell problem"
Source: Wikipedia

Tahadhari:Atheists hatutahusika na upotevu wowote wa Imani yako
READ AT YOUR OWN RISK
Hii theory uliyoandika nliifikiriaga nkiwa na umri mdogo sana

Ingawa am not atheist ... But i potrayed that idea to my fellow classmate kuondoa mikanganya ya kidini

Am free thinker ... Siendeshwi na dini ingawa personally naamini Mungu Yupo na pia siwezi mlazimisha mtu mwingine aamini Mungu yupo maana hiyo sio kazi yangu ni kazi yake mwenyewe

Yaani nianze kumtetea Mungu aisee ameniomba kwani !!
 
Kitu Cha kuchekesha zaidi kuhusu hii mijadala ni kwamba watu wa dini zote tena zinazokinzana huungana na kumshambulia Atheist kwa Hoja zilezile za kizamani zisizokua na Mashiko yoyote Wala facts

Wanasahau kuwa hata wao wenyewe wanapingana

Assume Sasa Atheist kaamua kukubali Sasa kuwa Mungu yupo na anataka awe muumini mzuri wa huyo Mungu ili aurithi huo uzima wa Milele

Bro guess what?...."World war 3" itatokea
Kutazuka mjadala mwingine mkali kuwa yupi yupo sahihi Kati yao

Mwengine watamwambia akabidhi Maisha yake kwa Yesu,mwana pekee wa Mungu

Hapa wenzake watambishia,"Sio Yesu,ni Issa bin Mariam na Ni nabii tu,Njoo kwenye Uisalam dini ya haki"

Akikubali kuwa Ukristo ndio dini ya haki hivyo atampa Yesu Maisha yake....hapa pia watagawanyika Kuna watakao taka awe Roman Catholic,wasabato watakuja jua pia na kuanza kupingana na Roma

Nyie ni waabudu shetani....mnaabudu sanamu hamfai

Wakati hao wanaendelea kubishana Jehovah witnesses watamshika mkono na kumpeleka pembeni

Bwana Eeh,fata njia yetu ila yesu Sio Mungu,ni malaika Aliyeumbwa na Mungu

Hapa waislam watadakia,"Sasa we kafiri ulikataa nini, si tulikwambia yesu sio Mungu,Njoo kwetu

Hapa Sasa itazuka Vita nyingine Kati ya Shia na suni

Kwanini Kuna Mkanganyiko mkubwa ivyo
Soma Hoja inaitwa "Argument from inconsistent beliefs"
Na nyingine "Argument from Locality"

Utagundua kwanini Wasomi na wenye hekima wengi ni Atheist

NB:Mwenye Uzi Eeh?...unaweza ibandika hii comment hapo Juu...ili watu pia waone maoni ya Atheist Juu ya swali lako

Atheist hajui anachotafuta, kwasababu Hakuna Cha kutafuta
Asante

Edition:Iblis Bin Shetan amekuwa wa Kwanza ku like hii comment
Mpaka shetani kapenda
No sorry...Hakuna shetani
Kwa waumini wenye mioyo migumu tu,na wanaopenda kuchallenge imani Yao
SOMA HIOOO
"Argument From Inconsistent Revelation/Avoid the wrong Hell problem"
Source: Wikipedia

Tahadhari:Atheists hatutahusika na upotevu wowote wa Imani yako
READ AT YOUR OWN RISK
All in all i believe Mungu yupo lakini siwezi hangaika eti ni prove uwepo wake

Hiyo ni kazi yake ... Bhana !
 
Ndio hujui ila si unajua kua mungu anajua hatma yako??
Ndio anajua,lakini mimi sijui nini hatma yangu.
Sasa kwakua hujui nini hatma yako ukaamua kutosali je utakua umeenda tofauti na alivyoona mungu katika hatma yako???

Kwanza kutokusali ni kwenda kinyume na maamrisho ya Mola muumba,kwahiyo tayari unakuwa umeshajichagulia njia ya upotevu.

Nitakuwa nimeenda vipi tofauti na anacho kiona Mola wakati sikijui mzee ? Ili swali lako liwe la kweli inabidi uniambie hicho anachokiona Mola kwangu mimi n kipi na hakiwezi kuwa zaidi ya kimoja,kinyume chake hapo hakuna swali.
 
hapa utakimbia wewe kijana , Mungu wako anajuaje toka mtu akiwa tumboni kwa mama yake kuwa huyu wa motoni au peponi amejuaje wakati ata mtu kuzaliwa bado ?
Unauliza maswali ya kitoto sana. Mola wetu anajua hata kile ambacho hakipo laiti kingekuwepo anajua vipi kingekuwa.

Yeye ndio anaumba na yeye ndio analea,ujuzi wake ni kamilifu.
 
Mimi siwalaumu Atheists kwa sababu wana hoja za Msingi, imani iliyopo ndani mwako huwezi kumlazimisha Mtu awe nayo!

Binafsi namuamini Mungu kwa sababu hainipi Hasara yoyote Kumuamini!
 
Binadamu ana intelligence ambayo kazi yake kuu ni kujiuliza maswali na kuyatafutia solution
kama ikiwa aidha hujiulizi hayo maswali au ukijiuliza ukiona hupati majibu una turn hicho kitu kuwa imani na kubakia na conclusion fulani zisizo na ushahidi wowote unakuwa huna tofauti na wanyama wengine wanaoishi tu kwa senses bila ya kureason
 
Unajibu kwa kukurupuka hujui hata mantiki ya hilo swali nililokuuliza na sizani kama umelielewa

Mimi sijazungumzia kubadilika kwa maono au lah, na ndio maana nilikua nasisitiza kuuliza kua kama naye anatabia ya kukosea ili niweze kujenga hoja kupitia jibu utalonipa

Nimeuliza kama mungu anajua kila kitu na hakuna kitu utachokifanya leo hii kikawa kigeni machoni mwake kwasababu yeye ni mungu asiyekosea alichokiona ni lazima kiende sawa sawa. Sasa wewe leo hii ukiamua kutoenda kanisani au msikitini utakua umebadilisha chochote katika ujuzi wake kuhusu hatma yako???
Sijabadilisha chochote
 
mfano mkuu ukiulizwa kwanini Mungu ameamua kujificha kabisa na hakuna ambaye amewahi kumuona.

Hilo ni moja ya swali la.kiranga

Hebu tupe wewe jibu sahihi sio tu ujibu swali tupe jibu sahihi na uthibitishe pia mkuu

Note : am not an atheist
Nini maana ya kujificha?
 
Ndio anajua,lakini mimi sijui nini hatma yangu.

Kwanza kutokusali ni kwenda kinyume na maamrisho ya Mola muumba,kwahiyo tayari unakuwa umeshajichagulia njia ya upotevu.

Nitakuwa nimeenda vipi tofauti na anacho kiona Mola wakati sikijui mzee ? Ili swali lako liwe la kweli inabidi uniambie hicho anachokiona Mola kwangu mimi n kipi na hakiwezi kuwa zaidi ya kimoja,kinyume chake hapo hakuna swali.

Hayo maamrisho uliyoenda kinyume na mungu yatakua ni mapya ambayo hakuyajua kabla hayajatokea??
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom