Athari za ulevi wa pombe je,jamii inazitambua?

Anza huo mjadala wa pombe! Navyojua mimi walevi wengi wakiume hawana nguvu za kiume
 
walevi wengi familia zao hazina amani kwani wengi wao wakisha pombeka huishia kupiga wake zao na watoto!
 
Swali lingine: mabwana shamba kushindwa kutembelea wakulima je, wanatimiza wajibu wao? Haya ndo maswali ya kipimajoto.
 
Tunaingia kwenye mjadala,asilimia 99.9 ya jamii nzima,athari ya ulevi wa pombe tuna zijua. Wapo wanao wa walala mama zao,watoto zao na hata wengine kuwa kero kwa familia zao.
 
Tunaingia kwenye mjadala,asilimia 99.9 ya jamii nzima,athari ya ulevi wa pombe tuna zijua. Wapo wanao wa walala mama zao,watoto zao na hata wengine kuwa kero kwa familia zao.
<br />
<br />
thank u!
 
Back
Top Bottom