Athari za tamthilia za kigeni (kizungu) kwa mahusiano ya vijana tanzania

mwathu

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
403
210
Habari zenu wana Jamii forum,

Kwa kipindi kirefu sasa tumekuwa tukifuatilia tamthilia mbalimbali toka nje ya Tanzania yetu kupitia vituo mbalimbali vya Television. Hebu jaribu kukumbuka Lamuja de Lavida, Lamuja de Lorenzo, Long wait, Promise nakadhalika lakini unadhani nini mchango na athari za tamthilia za kigeni katika maisha ya kimapenzi ya vijana wetu maana kwa upande wangu naona zimetufanya tumekuwa fake, wasaliti na players zaidi kuliko ilivyokuwa hapo kabla. Nomba mawazo yenu wadau.
 
Tatizo people practise what others do for getting their pay. Wale wanalipwa na wanaigiza ila sisi.tunaiga na kuapply maishani mwetu we are real fake na hata future yetu nayo itakuwa fake
 
inasikitisha kuona tumekuwa fake sana, people wanasahau kuwa hisia siku zote hazijifichi na zinaongea ukweli kuliko maneno mwisho wa siku tunaishia kucheat au mahusiano ya muda mfupi fupi. Nadhani imefika wakati tukawa true kwa hisia zetu na tuache kuigiza.
:A S 465:
 
Mi naomba niongelee postive effects, tamthilia full kahamasisha game! Wenyewe mmkimaliza kutazama saa tano ile mnakuwa kama wapyaaa! Nawahi kumtafuta rolenzo wangu wa bongo kwa raha zangu!
 
Mi naomba niongelee postive effects, tamthilia full kahamasisha game! Wenyewe mmkimaliza kutazama saa tano ile mnakuwa kama wapyaaa! Nawahi kumtafuta rolenzo wangu wa bongo kwa raha zangu!

Unao wangapi hao akina rolenzo?
 
Unao wangapi hao akina rolenzo?

Aaaah! Mi mstaarabu usualy 1 at a time! 2 is a number, 3 is a crowd. Sema time ndo kivile zinaweza kuwa short short, ukiboronga no! tume ya kuchunguza!, substitution ya fasta!, game la life lina songa. Fainali uzeeni
 
how old are u?
 
she is just pretending to be that young and crazy
but she is mature enough...

The boss hate the game not the player!!!!! LMAO!!! Ujue umri hauoneshi akili ya mtu, mazingira yanachangia sana, mtu mwenye 18yrs mwananyamala ni mature kuliko mtu mwenye 28 wa Masaki!
 
The boss hate the game not the player!!!!! LMAO!!! Ujue umri hauoneshi akili ya mtu, mazingira yanachangia sana, mtu mwenye 18yrs mwananyamala ni mature kuliko mtu mwenye 28 wa Masaki!

who is the player here?you?
 
Hizo tamthilia za kina lorenzo zimenipita kushoto! Toka enzi za ujana wangu. Haziko real hata kidogo. Zimefanya watoto wa watu wanaota wanaume wenye mahela na majumba ya uhakika.

Halafu it seems wanawake ndo wanaongoza kwa kupenda hizi eh?
 
Back
Top Bottom