Umeandika sana kaka lakini chadema wamedhihirisha na kujinasibu kuwa ni chama kristo...hata ukiangalia nyadhifa za viongozi wake mf. kina mchungaj,maeneo ambayo chadema inakubalika na hata michango ya wana jf hapa..angalia matukio wakati wa uchaguz mkuu 2010,matamko mbalimbali ya viongoz wa makanisa yalidhihirisha hilo.waislam wanalalamika wana mashiko.ni vyema chadema warekebishe dosari hii.si nzuri.watabisha but ukweli unaonekana.niko tayari kukosolewa.
Hivi waliotoa msimamo wa waislamu kule Igunga walikuwa mashehe au mashehena?