Athari za matumizi ya neno "mliberali"

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,071
27,008
Tangu kutokea kwa sakata la wenje na cuf bungeni kuhusu ishu ya uliberali, matumizi ya neno USHOGA/USENGE ( Ashakum si matusi ) yanaonekana kuwa substituted kwa neno " Mliberali". Najua watu wengi wanatumia neno "Mliberali" kama tafsida ili kupunguza ukali wa maneno. But kwa mtazamo, matumizi ya neno mliberali yanaweza kuongeza kasi ya vijana wadogo wa kiume kujiingiza katika ubaradhuli. Y? kwa sababu neno " uliberali " halibebi unyanyapaa wa kutosha dhidi ya vitendo nvya kishoga. Neno hili linaonekana kuwa na mantiki chanya ama ya isiofuingamana na upande wowote ( neutral ) dhidi ya vitendo vya kishoga.

Watu wenye hekima wanasema, "IF YOU WANT TO KILL A CAT, GIVE IT A BAD NAME FIRST". Mwalimu Nyerere alilitambua hili ndo maana pamoja na kupeleka vifaruy Uganda, still alimpa General Amin jina baya " NDULI" and all that. Kitu kibaya lazima kipewe jina baya.
Sisi kama jamii ili tuweze kupambana na vitendo vya kishoga ni lazima tuanzie kwenye matumizi ya maneno yanayo maanisha vitendo hivyo, maneno hayo ni lazima yabebe maana kali na yenye unyanyapaa wa hali ya juu dhidi ya vitendo hivyo. Mfano mzuri katika hili ni namna matumizi ya maneno kama " Ngoma, miwaya, mgeni "nakadhalika yalivyo changia katika kasi ya maambukizi ya v.v.u. Watu hawauchukulii ukimwi serious kivile pindi unapo tajwa kwa maneno ya mzaha kama ' ngoma, miwaya, ngwengwe' nakadhalika.

RAI YANGU KWA WATANZANIA, TUACHE KUTUMIA NENO "MLIBERALI" KUMAANISHA WANAWAUME MABARADHULI. TUENDELEE KUTUMIA MANENO YETU YALE YALE YA SIKU ZOTE.
 
naona mliberali (mwanachama wa CUF) yupo kazini kukisafisha chama
 
Hakuna ubishi ,kama walitoka mapovu bungeni kukanusha uliberali na wakati ni kweli...basi hakuna jinsi ya kukwepa,mleta mada pia ni mlibero unataka kufuta mapovu..
 
Back
Top Bottom