Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,190
Nini kinachokuzuia usijifunze hio lugha wakati ndio lugha kuu ya kufundishia kulinganisha na kiswahili.Angeandika lugha gani isiyo ya Kitumwa?
Kichina?ni ya kitumwa
Kiarabu?ni ya kitumwa
Kiswahili?Ni ya kitumwa maana 80% ni Kiarabu
Kizanaki?Nani asome wakati wajua Kizanaki duniani hawazidi watu 50,000
Kifaransa?ni ya kitumwa
Kijapan?ni yakitumwa
Kihindi?ni ya kitumwa
egtc
hebu tuletee lugha isiyokua ya "kitumwa"?
Ni hivi,lugha zote duniani ni TOOLS za kufanikisha kitu unachokitaka
Kila mtu ana lugha yake,kujua ya mwingine ni TOOL ya wewe kupata chance ya kumu-influence huyo mtu..
Sisi tunaihitaji dunia zaidi kuliko yenyewe inavyotuhitaji,lazima tuiname!
Sijui hii fear mnaitolea wapi aisee?
Wewe kujua lugha ya mtu mwingine sio eti lugha yako ndio umekufa,unajua lugha zote na unazitumia inavyotakiwa!
Kuacha kabisa mother tongue yako hilo ni tatizo lako binafsi na ni kosa..ila kujua lugha ya mtu mwingine ni ujuzi additional!
Stop this nonsense
Yani mtu huko shule alikuwa analeta mzaha na hio lugha hatimae amemaliza bila kui master anatafuta wa kumlaumu.
Umefundishwa kingereza miaka 7+4+2+2/3+ kwa masters ongeza 2 na Phd ongeza3 .
Umeondoka bilabila halafu unailamu serikali.
Suala ka elimu asilimia kubwa ni juhudi binafsi mwalimu ni 20% tu.