JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,327
- 9,326
Bila Catalytic Converter kuna sumu zinazotoka kwenye moshi ambazo zitakuwa zinaingia kwenye hewa.
Sumu hizo hazifanani kulingana na aina ya engine,
Engine za petrol hutoa Hydrocarbons, Carbon monoxide pamoja na Oxygen gas.
Engine za Diesel hutoa NOX, Oxygen gas pamoja na Carbon dioxide kidogo.
Kazi CAT converter huwa ni kuconvert sumu hizi ili kuwa gases ambazo hazina madhara sana.
CAT converter huwa inakuwa na material aina ya Palladium, Platnum au Rhodium.
Kwenye CAT converter huwa zinafanyika reactions za Aina mbili
1. Oxidation
Hapa Hydrocarbons na Carbon monoxide hugeuzwa kuwa Carbon dioxide na maji.
2. Reduction
Hapa Nitrogen Oxide na Nitrogen dioxide hugeuzwa kuwa Nitrogen gas na Oxygen gas.
ATHARI ZA CAT CONVERTER KUTOLEWA.
Athari za kutoa CAT converter kwenye gari zimegawika katika makundi mawili.
1. Athari kwa mazingira
2. Athari kwenye gari
ATHARI KWA MAZINGIRA
Kwenye gari yoyote ambayo ina CAT converter, kazi yake huwa ni kuchuja hewa chafu ambazo zikiingia kwenye anga zinakuwa na athari kwenye ongezeko la joto duniani hewa hizo ni
1. Carbon monoxide
2. HydroCarbons
3. NOX (Nitrogen monoxide na Nitrogen Dioxide)
Lakini pia zina athari zingine kwa viumbe wanaoishi duniani.
ATHARI UPANDE WA GARI
Kwa gari za petrol, athari hizi zitaonekana kwenye gari ambayo imefungwa Oxygen sensor kwenye CAT converter au baada ya CAT converter.
Uwepo wa Oxygen sensor baada ya catalytic converter inaweza kusense kwamba kiasi kikubwa cha Oxygen gas kinapita iwapo tu catalytic converter itaondolewa (rejea emission inayotoka bila catalytic converter).
Kitendo cha Oxygen gas nyingi kuwa detected kinatafsiriwa na Control Box (ECU) kwamba mafuta mengi yanaingia kwenye engine hivyo ECU itaforce mafuta yanayokuja kwenye engine yapungue (kwa kupunguza muda wa nozzle kuwa wazi).
Ndio maana gari zingine ukitoa masega lazima iwe na misfire.
Kwa gari za Diesel Athari zitaonekana kwenye gari ambayo ina NOX sensor. Mathalani gari zenye mfumo wa Adblue na huo mfumo ukileta shida gari huwa haiwaki.
Karibu tukufanyie Computer diagnosis na tukurekebishie matatizo ya gari lako. Hata kama tatizo umedumu nalo kwa muda mrefu. Gari yoyote ndogo kampuni yoyote.
Instagram: @Car_diagnostic_solutions_tz
Facebook: @Cardiagosticstz
Tupo Dar, Magomeni Mwembechai.
Tupigie 0621 221 606.