Athari za kuridhia muafaka....CUF wanavuna walichopanda ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Athari za kuridhia muafaka....CUF wanavuna walichopanda ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mag3, Aug 10, 2009.

 1. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  • CUF walilaghaiwa wakaingia kwenye mazungumzo ya muafaka na CCM, sasa wanaonja machungu yake.
  • Walilikoroga kwa kushiriki katika mazungumzo feki eti ya muafaka, sasa wawe tayari kulinywa.
  • Waliongozwa na tamaa yao ya kutaka kugawana na mahasimu wao hicho kipande cha keki, sasa yawatoka puani.
  • Je, Walidanganywa na nani ?
   Wakasukumwa na kitu gani ?
   Na sasa watamlaumu nani ?
   
Loading...