Athari za kuporomoka kwa uchumi kwenye mahusiano na ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Athari za kuporomoka kwa uchumi kwenye mahusiano na ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tuko, Mar 2, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ukiacha mabo ya mboga na matumizi mengine

  - Nyumba ndogo hazitembelewi na zimezidi kubipu

  - Waliotongozwa siku za nyuma wakachomoa sasa wanajilengesha na mijibaba haiwataki

  - Baadhi ya mahusiano yamevunjika kwa kukosekana uaminifu

  - 'Pump' zimeishiwa nguvu, kwani watu hawali vizuri, hali inayotishia heshima ya 'wababa'

  - Baadhi ya wafanyabiashara wadogodo wadogo wanawake wanaonekana sehemu za starehe wakiwa wamejiremba wakijitahidi kuongeza kipato

  Mi nadhani tuzidi kukazana kuibana serikali iboreshe mambo...
   
 2. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  We lalamaika hali ya uchumi tu wengine wanaendelea kupeta kama haiwahusu vile, kwa kweli hali ni mbaya sana
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kuna ukweli kwenye hayo uliosema.....ila sitashiriki kuibana serikali kwa ajili ya huo upuuzi!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...