nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
Nimecheka sana. SUmu gani tena!
Wee kuna vidume vinatema sumu usiombe ukutane navyo
Wee kuna vidume vinatema sumu usiombe ukutane navyo
Umeona kua sijakosea njia eeh.... huyo dada itabidi nijipendekeze urafiki nimsaidie kumpandisha hiyo self esteem ili tumrekebishe huyo mwanaume, kumuacha hatumuachi lakini umalaya tunaupunguza...
Nimecheka sana. SUmu gani tena!
Nimesha anza mbona kidogo kidogo. Yaani mpaka naogopa mumewe asije nichukia maana wife ana change kweli toka tumekuwa close. Nilimfanya amwakie kimada mmoja. Nilimwambia upole wako watu watakutovoga mpaka macho. we, kuna siku kawasha moto mpaka mwalimu mwenyewe niliogopa maana alinizidi hata teacher.
Anayeua wanawake Dar es Salaam ashitukiwa
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 29th April 2011 @ 23:58 Imesomwa na watu: 1371; Jumla ya maoni: 4
WAKATI hofu ya matukio ya kuuawa kwa wanawake jijini Dar es Salaam ikitanda, jeshi la polisi limepokea taarifa kuhusiana na mtu anayedaiwa kuhusika na matukio hayo yanayofanyika katika nyumba za kulala wageni.
Hayo yamethibitishwa na Kamanda wa Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.
Kamanda Kova alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa polisi imepata taarifa kuhusiana na mwanaume mweupe anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 30, anayependelea kuvaa suruali aina ya Jeans, fulana nyeupe, raba na kofia kwamba ndiye mhusika wa matukio hayo ya mauaji.
Inasemekana mtu huyu anapendelea kufuata wanawake weupe na hasa walioolewa na kisha huwapeleka katika nyumba tofauti za kulala hapa jijini na akishamaliza nia yake, huwaua, alisema.
Kwa mujibu wa Kamanda Kova, matukio hayo ya mauaji yametokea katika maeneo ya Tandika, Mtoni kwa Aziz Ally, Buguruni kwa Mnyamani na Keko Machungwa.
Wanawake wameuawa baada ya kufanyiwa mchezo mchafu wa kuingiliwa kinyume cha maumbile na kisha kunyongwa mpaka kufa.
Kutokana na matukio hayo, Kamanda Kova ametoa onyo kwa wanawake kutokubali kuingia katika mahusiano ya kimapenzi na wanaume wasiowafahamu.
Kamanda Kova amewakumbusha pia wahudumu wa mapokezi katika nyumba za kulala wageni kuhakikisha wanaandika majina na anuani kamili za mwanaume na mwanamke kabla ya kuingia katika chumba.
Amesema, Polisi kwa kushirikiana na jamii imeanza msako mkali kuwasaka watuhumiwa wote wanaojihusisha na matukio hayo na kuomba mtu yoyote mweye taarifa za watuhumiwa hao kutoa taarifa katika vituo vya polisi vilivyopo karibu au kutuma ujumbe mfupi katika namba 0783034224.
Hivi karibuni yaliripotiwa matukio ya mauaji ya wanawake watatu katika nyumba tatu tofauti za kulala wageni katika Manispaa ya Kinondoni na Temeke.
Polisi ilibaini kuwa wanawake hao wote waliouawa, walikuwa wamekwenda katika maeneo hayo kwa ajili ya kustarehe na wenza wao.
hivi mume wa mtu kuenda kuuza/cheating ilihalalishwagwa eeh?mnijuze plz,mie mgeni hapa:frusty:
That is why only fools may trust their partners, though it is a wise attitude....!Hakuna cha ndoa siku hizi. Kila mtu msanii. Uaminifu na kuaminiana ni vitu vya kufikirika tu na siku zote huwaga ni siri ya mtu moyoni mwake mwenyewe. Kubali/ kataa huo ndo ukweli wenyewe.
Nisamehe kwa nitakachosema; huyo jamaa acha awafundishe adabu hao mashetani wanaoenda kuaibiisha waume zao. hivi wewe una ndoa na mume wako mzuri, unaendaje kulala na wanaume wengine? I think huyo jamaa wamwache afanye kazi yake. Apatiikane na mwanamke ili awatie adabu waume za watu.
Mwenyezi Mungu tunusuru.
Hakuna cha ndoa siku hizi. Kila mtu msanii. Uaminifu na kuaminiana ni vitu vya kufikirika tu na siku zote huwaga ni siri ya mtu moyoni mwake mwenyewe. Kubali/ kataa huo ndo ukweli wenyewe.
Usi-generalize ndugu, tupo waaminifu. Kama wewe si mwaminifu ni wewe tu ndugu.
kwani mkuu ulikuwa wapi leo mpaka ikakupita? au ulikuwa busy na weekend unaishughulikia nyumba?hivi hii thread ilinipita pita vipi???????dah.......
kwani mkuu ulikuwa wapi leo mpaka ikakupita? au ulikuwa busy na weekend unaishughulikia nyumba?
lakini kweli unafanya vp mapenz na mtu humjui? Hawaogop gonjwa?Mbona badala ya kuonea huruma victims mmekazana kuwalaumu wanawake wanaotoka nje, mbona wanaume ndo zaidi?
mie bado siamini kuwa kuna mtu ataweza kuingia guest na mtu aliyekutana naye siku ya kwanza tu,huyo mtu anajulikana kwa hao victims pengine anaishi local,na ana mazoea nao......