Athari za Kiuchumi za Apple kuishinda Samsung Mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Athari za Kiuchumi za Apple kuishinda Samsung Mahakamani

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Michael Paul, Aug 27, 2012.

 1. Michael Paul

  Michael Paul Verified User

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 60
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  yah its true kaka watu washacalculate world wide share zimeshuka 7%. Na apple wamesema wamewashtaki kwa old mobile phones kabla ya samsung galaxy sIII, so now wana taka warudishe kesi mahakamani kwa simu hio ili hela ziongezeke.

  kwa uzoefu wangu wa biashara nimecalculate hasara yao. Samsung market ina thaman kama 219 billions za dola ya marekani so asilimia 7 ni kama dola billion 15.

  Wakati juzi walitangaza faida ya dola billion 5 kutoka q2 ina maana wamepata hasara ya dola billion 10, so kutoka rekodi ya faida waliovunja hadi rekodi ya hasara (my opinion tu hii).

  Kama kweli samsung itaanguka android itaelekea pabaya hasa kwa hizi simu za kichina nyingi zinazotumia android
   
 3. Michael Paul

  Michael Paul Verified User

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 60
  Dah kwel kaka...
  inabidi Samsung wajipange upya legally! Koz kuna patents wanadai kuwa Apple wamewaibia pia.. Sema i dont think hata kama wakishinda case haitafika 1Bil USD..
   
 4. A

  Abdson Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona Samsung alikuwa anachezea sharubu za simba mwenye njaa,Waswahili wanasema mvua ya manyunyu,sasa ile ya masika bado,Kubali kataa Apple imeleta revolutionary katika smartphones,Faini ya 1billion US dollars si mchezo,eti wanaita SIII iphone killer,Ngoja ije iphone 5S,hii itaitwa Smartphones killer.
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Kaka iphone 5 si ndo hii ilokua anounced au ipo nyengine? Kama ni hii basi hamna jipya bado ni dual core na 1gb ram

  Apple iPhone 5 - Full phone specifications
   
 6. A

  Abdson Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo subiri waongeze kale ka 'S' yaani kanamaanisha speed kwa mujibu wa Steve Jobs.ipo iphone3G na iphone 3GS halafu 4 na 4S,sasa na kwenye hii 5 wakiongeza S nadhani itakuwa untouchable.Wale ndio Apple wakali wa kubuni.
   
 7. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Mkwawa umepasoma vzur? Hapo

  CPU Quad-core 1.2
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Wamebadilisha zaman walieka 1.7 double core. Lakin hata kama ni quad na ram 1 gb simu zitaburst sana tu maana ram ndogo processor itaipelekesha ram.
   
 9. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Owkay! Ila tatzo hawa wasiri mno! Naona hata bei bado haijawekwa... Tusubiri mpaka ikiwa released... May b kuna vtu vkal zaid. Ila 4quad core it means hapo betri ndo ztakua vmeo...,...
   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Haha wataanza kutoa vibetri kama vya pikipiki vespa :d
   
 11. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
 12. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  haha hii nimeipenda samsung uingereza wametoa offer kwa watu wote walonunua samsung galaxy sIII kupeleka simu zao za zamani then watapewa galaxy tab 2 bureeeeee

  Simu zenyewe za zamani zilizotajwa ni aple iphone 4, iphone 4s na samsung galaxy sII
  [​IMG]
   
 13. A

  Abdson Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Behind the Scene)Ile galaxy SII walicopy hadi ile symbol ya Apple nadhani baadaye ndo wakashtuka wakaitoa,Wamejitahidi sana usiku na mchana kubuni ile sauti ya 4S inaitwa siri,ila wameshindwa,Yao ni ya kipuuzi sana bora tu wangeitoa.Wakatengeneze viyoyozi kwanza.
   
 14. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Teh teh teh teh!!!! Kaaazi kweli kweli, kwanini na Nokia wasifanye hivi??
   
 15. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  May itakua kama michina! Coz skuiz wanauzaga mchina m1 na betri mbili
   
 16. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #16
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  samsung nmeona sehemu flan et wanataka ku creat music hub ku compete na itunes, huku sio ku coppy jaman?

  Na hii pcha imenfurahsha teh teh
  [​IMG]
   
 17. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #17
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Samsung wameshawalipa Apple, 1 billion bags na wamewapelekea kwa gari sarafu, kwa hiyo sahivi wanahesabu tu hawafanyi kazi
   
 18. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #18
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
 19. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #19
  Sep 1, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Yah nimeona hio nimecheka kweli eti lori limebeba visarafu vingiiiii. Hawa jamaa wanaenda pabaya sio siri.

  Na kitu chengine samsung now kaamua kuachana na android anazakaza buti kwenye wp8 threat ya nokia si ya kitoto. Device aloitoa samsung juzi tarehe 29 imemshtua kila mtu manake yeye alikua akichukulia wp8 kama os ndogo tu.

  [​IMG]

  Lakini wachambuzi wa simu wanasema apple pia anaweza akaishtaki hii simu ina rounded corner. Hio simu ndo nyembamba zaidi kuliko hata sg3 ina 1.5 ghz dual core na ram 1gb ina allumininium kama cover zitakua za 16gb na 32gb
   
 20. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #20
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kama kawaida wazee wa kutangiza
   
Loading...