Athari za kiuchumi kwa line za simu kufungiwa

The Iron

JF-Expert Member
Apr 7, 2017
1,393
1,453
Je, kuna uwezekano wowote kukawa na athari za kiuchumi kwa taifa kiujumla pale endapo line za simu zitafungiwa?
 
Mpaka sasa laini Milioni 21 na zaidi bado.
Tuchukulie wastani laini moja inatumia gharama ya Shilingi 10 kwa siku, hapo jumla ni zaidi ya Milion 210 . Sasa weka kodi 18% kwenye hiyo Milioni 210 maana ake ni zaidi ya milion 37 zitapotea kwa siku.

Ikumbukwe nimepigia kiwango kidogo sana cha matumizi ya laini moja kwa siku yaan shilingi kumi.

Ndo unaeza pata jibu kuwa mpango wakufungia laini upo ila bado sana
 
Ni hasara kubwa sana....hapo bado hujaingiza hesabu za interruption ya shughuli za uzalishaji katika jamii
 
Back
Top Bottom