Athari za chadema kuongozwa na watu less intelligent zaonekana!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Kama chadema ingekuwa inaongozwa na watu smart hili swala Madini yetu lingeweza kuwanufaisha sana lkn wapi, sasa Nchi nzima inawaona ni watetea Muzungu, wameshindwa hata kulitumia swala kama hili kama mtaji wao wa Kisiasa, so sad, really sad angesema Trump!
 
Sawa ila ni bora kuliko kuongozwa na CCM iliyoingia mikataba feki karibu kila idara
 
Kama chadema ingekuwa inaongozwa na watu smart hili swala Madini yetu lingeweza kuwanufaisha sana lkn wapi, sasa Nchi nzima inawaona ni watetea Muzungu, so sad, really sad angesema Trump!
Hao intelligent ndio waliosaini mikataba hiyo unayolialia sasa umuhimu wa intelligent upo wapi??
 
Kama chadema ingekuwa inaongozwa na watu smart hili swala Madini yetu lingeweza kuwanufaisha sana lkn wapi, sasa Nchi nzima inawaona ni watetea Muzungu, wameshindwa hata kulitumia swala kama hili kama mtaji wao wa Kisiasa, so sad, really sad angesema Trump!
Less intelligent kuliko ALBERT BASHITE ?
 
Kama chadema ingekuwa inaongozwa na watu smart hili swala Madini yetu lingeweza kuwanufaisha sana lkn wapi, sasa Nchi nzima inawaona ni watetea Muzungu, wameshindwa hata kulitumia swala kama hili kama mtaji wao wa Kisiasa, so sad, really sad angesema Trump!
moja kati ya THREAD za HOVYO sana siku ya leo
 
Kama chadema ingekuwa inaongozwa na watu smart hili swala Madini yetu lingeweza kuwanufaisha sana lkn wapi, sasa Nchi nzima inawaona ni watetea Muzungu, wameshindwa hata kulitumia swala kama hili kama mtaji wao wa Kisiasa, so sad, really sad angesema Trump!
Lisu kawaharibia sana.
 
Ukiona thresd yako inapigwa mawe sana jua umewagonga kichwani.
 
Kama chadema ingekuwa inaongozwa na watu smart hili swala Madini yetu lingeweza kuwanufaisha sana lkn wapi, sasa Nchi nzima inawaona ni watetea Muzungu, wameshindwa hata kulitumia swala kama hili kama mtaji wao wa Kisiasa, so sad, really sad angesema Trump!

Sasa kama nchi yenyewe 89% ya wananchi ni illiterate unategemea nini

Siasa kila kona ujinga katika kiwango cha hali ya juu
 
Anachokiamini lisu alishakemea before na akafungwa now hana chakutetea maana hata akitetea hamna mafanikio juu ya hilo voice lisu
 
Kama chadema ingekuwa inaongozwa na watu smart hili swala Madini yetu lingeweza kuwanufaisha sana lkn wapi, sasa Nchi nzima inawaona ni watetea Muzungu, wameshindwa hata kulitumia swala kama hili kama mtaji wao wa Kisiasa, so sad, really sad angesema Trump!
Uko kwenye joto?
 
Chadema ni wasanii wapo kwa matumbo yao tu.Wamejichanganya wenyewe hoja ilikuwa yao sasa wanaibeza!
 
Umemsoma tutafikatu alichoandika. Halafu unawezaje kuwaita watu ambao kwa miaka yote walikuwa wanasema kwamba kwenye sekta ya madini tunaibiwa kwamba "wapo kwa matumbo yao" halafu ukawasifu watu ambao ndiyo waliosaini mikataba ambayo leo ndiyo imepoteza matrilioni ya shilingi ambayo yangetumika kuleta maendeleo nchini mwetu?

Barbarosa ana hoja ila tatizo hoja yenyewe ina ukakasi. Kama gazeti kuandika tu kwamba Mkapa na kikwete wanahusika kwenye kutufikisha kwenye hali hii linafungiwa, alitaka wapinzani waseme nini? Lissu kasema siku moja tu lakini wiki zaidi ya mbili CCM jasho linawatoka kukanusha na kuupindisha ukweli. Yeye alitaka wapinzani wafanye nini?
 
Watu wengine hamwonagi hata aibu?? yaani hii issue ya makinikia ni aibu kubwa kwa chama fulani lakn nao bado wanakuja hapa kujaribu kulaumu watu wengine!!! Dunia hii haitawahi kuisha maajabu...
 
Back
Top Bottom