ATCL yarejesha safari kati ya Dar es Salaam na Visiwa vya Commorro

mkiluvya

JF-Expert Member
May 23, 2019
802
725
Shirika la Ndege Tanzania AirTanzania limerejesha rasmi safari zake kuelekea nchini Comorro kuanzia leo Septemba 8 kutokea jijini Dar es Salaam.

Safari hizo kuelekea visiwani humo zitakuwa mara mbili kwa wiki, Jumanne na Jumapili.

20200908_222526.jpg
 
Shirika la Ndege Tanzania AirTanzania limerejesha rasmi safari zake kuelekea nchini Comoro kuanzia leo Septemba 8 kutokea jijini Dar es Salaam.

Safari hizo kuelekea visiwani humo zitakuwa mara mbili kwa wiki, Jumanne na Jumapili.
Tumenunua ndege 11 lakini mbona tunaziona tano tu, zingine zimepark wapi?
 
hi
Una uhakika nimeshafika zote nchini hama ndio hasira za wajumbe unazileta hapa mkuu
Nimeuliza tu, mine naona bombardier mbili, airbus 220 mbili na dreamliner moja, zingine ziko wapi?
 
Back
Top Bottom