joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Wakati mashirika mengine ya ndege yakiendelea kupata hasara, ATCL imeripotiwa kutengeneza faida ya $14M tangu kufufuliwa kwake, hii ni kwa mujibu wa taarifa ya rais Magufuli.
ATCL pia imeongeza umiliki wa soko la ndani (Domestic market share) toka 3% kabla ya kupata ndege mpya, hadi 80% sasa hivi, hii inatokana na kufungua "routes" mpya ambazo awali hazikuwepo kutokana na kutokuwepo kwa viwanja vya ndege katika mikoa hiyo.
Taarifa toka uongozi wa ATCL zinasema kwamba, kuanzia mwezi June, 2020, safari za Nairobi zitaanzishwa.
Gooooo Tanzania