ATCL walizuiwa kufanya sherehe za uzinduzi kwenye uwanja wa OT

Hii ni pamoja na kwenda na keki toka Tanzania.

"Kutokana na ukweli kwamba hakukuwa na mawasiliano mazuri, ilikuwa ni sahihi kwa maafisa uhamiaji wa Afrika Kusini kufanya vile, hatuwalaumu kwa sababu tunajua ni kwa sababu za kiusalama" - Ladislaus Matindi, AirTanzania akifafanua kuhusu ruti ya Afrika Kusini.
Hii nchi ni ya kishamba sana !
 
Mkuu kwa taarifa yako hata baada ya ile siku ya kwanza ndege inajaza abiria.

Najiuliza hao kada au serikali au CCM wanapesa kiasi gani cha kulipia watu 200 na kitu kila siku kadhaa kwenda SA kwa juma moja?

Watakosaje pesa ya kujaza ndege wakati bado wanazo chenji za kununulia wabunge zoezi baada ya kusitishwa si kuna mabaki ya ile 1.5 trillion kwani wewe mwenzetu unaishi nchi gani bwana
 
Tatizo ni kujaza ndege au kujaza ndege kwa abiria waliolipa nauli? Kwani ile ndege iliyokwenda Chato haikujaa?
Mkuu bado mimi najiuliza kuhusu wale wanao enda au kutoka SA huwa wanalipiwa na nani kila safari?

Hawa CCM wana pesa nyingi sana kuweza kuwalipia watu.

Ile ya Chato ni habari kubwa inabidi niwaachie nyie wakubwa.
 
Mfululizo wa kuangukia pua umepambamoto kwa kila jambo la nchi. Jee hizi ndio dalili za dying horse?
Ni za dead horse watu wanajaribu ku justify
Mfululizo wa kuangukia pua umepambamoto kwa kila jambo la nchi. Jee hizi ndio dalili za dying horse?
Walifikiri wanaenda Chato kufungua ruti mpya baada ya uwanja wa Chato International Airport kukamilika na Airbus iliyomleta mwenyeji wao wa kuwapokea ikiwa ime park pembeni. Chato hakuna haja ya keki nyamachoma tosha.
 
ATCL explains hitch in SA maiden flight

TUESDAY JULY 2 2019

Dar es Salaam.
Air Tanzania Company Limited (ATCL) managing director Ladislaus Matindi yesterday explained why a delegation from the national carrier was turned away at Oliver Tambo International Airport after its inaugural flight to South Africa last Friday.

Mr Matindi blamed “miscommunication” between the airport and immigration officials for the hitch that saw him, Works, Transport and Communication deputy minister Elias Kwandikwa, other ATCL officials and journalists denied entry into the airport for a welcome ceremony.

He told The Citizen in a telephone interview that their hosts, Airports Company South Africa (ACSA), and immigration officials were not aligned over their arrival.

“I think ACSA took it for granted that the immigration people were already informed by Swissport, the ground handling company which provided us services.

“But truth be told, the ground handling company is an agent not mandated to inform the immigration department,” said Mr Matindi.

He said that due to the mix-up, upon arriving at immigration control, the delegation for the ceremony was not allowed to enter the arrivals hall.

“It was right for the South African immigration to act in that manner. I will not blame them because we understand it was for security reasons,” Mr Matindi noted, adding the problem was later resolved.

The ATCL boss, however, said by the time a solution was found, it was late to attend the ceremony as the delegation had been booked to fly back on the same plane.

In order to avoid letting down customers, he said, they opted not to entertain flight delay as an excuse to attend the inaugural ceremony. “We did not go to South Africa to eat cake but launch our new route, which is a very important market for tourism.”

He said before leaving, he phoned the acting Tanzanian ambassador in South Africa to apologise for the miss. He said ACSA chief executive officer and other senior officials were at the venue.

The hitch was first revealed on social media on Sunday morning, sparking a huge debate on the embarrassing development.

The social media reports claimed the ATCL boss had cried foul over supposed “trade war” following the incident. The reports further alleged that journalists on the trip were asked in Dar es Salaam not to publicise what transpired.

But Mr Matindi yesterday dismissed most of the allegations in the social media reports as untrue.

ATCL flew its newly acquired Airbus 220-300 aircraft on the route which will run to Johannesburg four times a week. The airline was charging $299 (Sh687,700) for a return ticket on a promotion running to July 15. It will thereafter cost $347 (Sh798, 100) for the same ticket on the route operated on Monday, Wednesday, Friday and Sunday.

Mr Matindi noted the inaugural flight had 91 passengers of the 130 capacity.
 
Haya mengine sio ya muhimu sana.
Jambo la msingi na la kufurahisha ndege inajaza abiria ingawa ruti ni kama mpya.

Ndege inanunua vyakula na vinnywaji vyote hapa nchini vya abiria 200 na kitu kwenda kurudi. Hii inaongeza ajira na kipato nchini.
Vyakula gani mkuu,mchele,maharage,vitunguu nyanya au
 
Kukuelekeza wewe ni kupoteza muda.

Sababu mtazamo wako ni kama vyakula vinavyo uzwa local restaurants.
[/QUOTE
Mkuu jamiiforums ni sehem ya kuelimishana kwani kwenye ndege Hamna ubwabwa,Hamna maharage,vitunguu wala nyanya sasa mbona unakimbia wajibu?Local umesema na chakula cha kwenye ndege kinaitwaje
 
Hahahaa....... Meya wa Chadema Isaya Mwita anapenda sana sherehe ndio aliyebeba keki toka Dsm.

Maendeleo hayana vyama!

That was the order from above(President), no celebrations whether is due to promotions, presidential appointments/achievement. Ndiyo msimamo wa kiongozi wa nchi na ameshatoa onyo kuwa hataki kuona mambo kama hayo hata kama umeteuliwa kuwa waziri. Tatizo bado kuna viongozi wengi hawajamuelewa Rais Dr Magufuli!
 
That was the order from above(President), no celebrations whether is due to promotions, presidential appointments/achievement. Ndiyo msimamo wa kiongozi wa nchi na ameshatoa onyo kuwa hataki kuona mambo kama hayo hata kama umeteuliwa kuwa waziri. Tatizo bado kuna viongozi wengi hawajamuelewa Rais Dr Magufuli!
Sherehe ya uzinduzi wa route ya ndege is different from what you think, it's something like this.

IMG_20190703_093026.jpg
 
Back
Top Bottom