Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ATCL wajipongeza Kigamboni Beach wakisubiri mshahara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Oct 14, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,223
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  Habari zilizotufikia punde kundi kubwa la wafanyakazi wa ATCL
  limeamua kwenda kujipongeza kwa kutumbua pesa za kampuni
  huku baadhi ya watu wakisubiri mishahara.....
  Akiongea na mmoja wa mwanadada aliekutwa akielekea beach aliuliza nani kakwambia?tukamwambia mbona mnajulikana wote kabla ya kujifanya mim ni mtumiaji mwenzao liposema yaaah tumeamu kuja kutumbua kidogo maisha ya mafupi..we si unasikia punguzo la wafanyaakazi
  sasa kwa nini tusijifuturishe....nanukuu

  Tulipoomba simu ya mkuu wa msafara alipigiwa bila mafanikio baada ya kutopokea kabisa simu...baadae tuliwauliza mbona watu waanalalamika amjalipwa mshahara iweje mnakuja kutumbua uku wachache akajibu kauulize uongozi .....katika dododsa yetu tulipata taarifa aikuwa party ya wafanyakazi wote bali ni kitengo cha biashara ambacho kimekuwa kikilaumiwa kwa matumizi machafu na mabovu wakati huu wa matatizo ya ATCL.....
  Nafikiri CEO anaitaji kukaa na hawa watu waelekezwe tofauti kati ya halingumu na hali nyepesi..hata kama pesa zinapatikana kirahisi kuna baadhi ya sehemu na majukumu ya kuangalia..je ni sh ngapi zimetumika pale ,ni wafanyakazi wangapi wa mshahara wa kawaida wangeweza kulipwa.......

  Tuliwahi kusema tatizo la ATCL ni la wafanyakazi wenyewe na uongozi wao..uwezi kutoa pesa za kampuni kwa matumizi ya kujipongeza wakati wengne hawana matarajio ya kupata mshahara....labda popote mlipo wafanyakazi mnatakiwa kujua shirika lenu likifa ni ninyi wenyewe mnallimaliza msikimbilie lawama kwa serikali.....

  Nawatakia matumbuzi mema wafanyakazi wote
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,239
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  acha wajiparty bwana nchi yenyewe iko wapi hapa
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,223
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  acha wajiparty bwana nchi yenyewe iko wapi hapa

  __________________
  kwa raha zao wajichanilie haya maisha sio ukisubiri kupewa utapewa na HAKIMU MWANJELWA...UJUTE
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,239
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hahaaaaaa umeona eeeh
   
 5. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Miafrika ndivyo ilivyo kuna nini cha kushangaa juu ya mambo haya
   
 6. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Sawa wanajipa raha but nadhani pengine tatizo ni kwamba haikutumika busara. Kwavile sasa hivi mambo yanakuwa magumu sidhani kama ni busara kwenda kutafuna pesa pasina sababu. But si tatizo nadhani auditor yupo ikiwa hizo pesa zilitumika kwa njia ya ufisadi tutajua tu na wahusika wanganganiwe wazirudishe.
   
 7. D

  Dalilah Member

  #7
  Oct 15, 2009
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Habari hii uongo mtupu! Walioshiriki hawakutumia senti tano ya ATCL! Wemejichangisha wenyewe! JF ina habari za uhakika msiiharibu kwa mambo ya chuki na uzushi!
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,587
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  umekata tamaa na nchi yako kiasi hiki? si ujinyonge basi!!
   
 9. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,222
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamani ebu tuchambue pumba ba mchele. Hii habari ya wafanyakazi kutumbua beach ni pumba kabisa! ATCL iko ICU na haiwezi kufanya kitu cha nmna hii. Hizi ni habari za uzushi ( kama za popo bawa) zenye lengo ya kuamsha jazba bila sababu. JF sio kijiweni jamani.
   
 10. M

  MtazamoWangu JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2009
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tatizo tulilonalo waTanzania ni uadilifu, mtu anapokabiziwa madaraka au usimamizi wa shughuli, mradi au hata cheo kazini katika shirika...anataka ajue atanufaika vipi binafsi kwanza? kuliko kuangalia anachotakiwa kufanya...huu ni uozo uliokuwepo mpaka kwa viongozi wetu....wanajilimbikia mali tu wanapopata nafasi....
  fanya uchunguzi wa maCEO, maMD, ma Director, maWaziri wote katika kampuni/mashirika/Taasisi za serikali wote wanahli tatizo...na hat mfumo wetu wa uchumi/siasa/jamii unaachia mianya hii sana....
  nchi utazani sio yetu na hatuna viongozi au hatuna SHERIA, iweje sisi ni wa kulalamikia kile tulichofanyia uamuzi wenyewe...je maamuzi yetu yanakuwaga kwa faida ya nani...angalia mikataba ya;
  ATCL, TRL, TTCL, RICHMOND/DOWANS.....kama tuna sheria na uongozi wa kisheria na kuthamini
   
 11. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,222
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hii ni response ya mfanyakazi wa ATCL katika commercial Dept.

  Thanks for this, kumbe watu wanafuatilia kwa karibu mambo ndani ya ATCL.
  Wafanyakazi wa Commercial walichanga hela yao wakaamua kujipongeza, bahati mbaya I missed out.
   
Loading...