ATCL tunakwama wapi katika azma yetu ya kuwahudumia wanyonge wa nchi hii?

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,203
23,020
Hapa chini ni bookings za ATCL & Precision zilizofanywa na vijana fulani wanaotarajia kusafiri miezi kadhaa ijayo.

Tarehe, destinations na madaraja - vyote vinafanana kwa bookings zote mbili.

Tumekuwa tukiaminishwa kuwa ATCL, pamoja na malengo mengine, ipo kwa ajili ya kuwahudumia Watanzania wenye kipato cha chini wenye uhitaji wa kutumia huduma ya usafiri wa anga. Sasa inakuwaje nauli inayotozwa na public airline iwe ya juu kuliko ile ya private airline? ATCL tunakwama wapi enyi wanyonge wenzangu?

1631193045570.png
 
View attachment 1930588
Mambo taratibu taratibu naimani itapungua nauli ipo siku tu
 
Huwa tunalaumu mengi sana kuhusu ATCL inavyojiendesha, ila inavyoonekana hiyo management imeishiwa kabisa ubunifu hata common sense hawana.
Hahahahaah siwameajiri vijana watakosaje ubunifu
 
Mkuu katika ukosoaji wetu wa kununua ndege mpya gharama ya usafiri wa ndege kuwa kubwa sana ilikuwa ni sababu moja kwani ambao wanaweza kumudu gharama hizo kubwa ni 5% to 7% tu hiyo ni idadi ndogo sana na matokeo yake ni kwamba ndege katika safari zake nyingi zinasafiri zikiwa na wasafiri ambao hawafikii hata 50% ya capacity. Serikali iachane na huu upuuzi wa kulazimisha biashara iliyowashinda wawaachie watu binafsi waendeshe biashara hii.
Hapa chini ni bookings za ATCL & Precision zilizofanywa na vijana fulani wanaotarajia kusafiri miezi kadhaa ijayo.

Tarehe, destinations na madaraja - vyote vinafanana kwa bookings zote mbili.

Tumekuwa tukiaminishwa kuwa ATCL, pamoja na malengo mengine, ipo kwa ajili ya kuwahudumia Watanzania wenye kipato cha chini wenye uhitaji wa kutumia huduma ya usafiri wa anga. Sasa inakuwaje nauli inayotozwa na public airline iwe ya juu kuliko ile ya private airline? ATCL tunakwama wapi enyi wanyonge wenzangu?

View attachment 1930588
 
Hapa chini ni bookings za ATCL & Precision zilizofanywa na vijana fulani wanaotarajia kusafiri miezi kadhaa ijayo.

Tarehe, destinations na madaraja - vyote vinafanana kwa bookings zote mbili.

Tumekuwa tukiaminishwa kuwa ATCL, pamoja na malengo mengine, ipo kwa ajili ya kuwahudumia Watanzania wenye kipato cha chini wenye uhitaji wa kutumia huduma ya usafiri wa anga. Sasa inakuwaje nauli inayotozwa na public airline iwe ya juu kuliko ile ya private airline? ATCL tunakwama wapi enyi wanyonge wenzangu?

View attachment 1930588
Yani ulimwamini magufuli?
 
Aaargh...waturudishie Fast Jet ndo alikuwa mkombozi na sio mambo ya ' monoply' ya kutaka Atc isiwe na mshindani na sasa matokeo yake kila mtu anayaona...... kaazi kwelikweli.
Ila kwa utawala wa mama atarudisha fast jet nchini
 
Back
Top Bottom