concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 3,068
- 6,002
Mwakan nadhan mwez wa sita atcl inatarajia kupokea boeing 787 moja. Nataka nifafanue ni jinsi gani hii pesa ingetumika na kuweza kupata ndege zaidi 8kwa wakati mmoja.
Ukiangalia trend ya abiria ni waz atcl haijawa na uwezo wa kuzaja abiria 200. Na ukiiingalia hii b787 ni special longdistance travel za kati 13000-16000. Hizi distance ukianzia dar ni either usa Au greece huko. Ukiangalia restriction za marekani , ni wazi kuwa kuja kupata vibal itachukua zaid ya miaka mitano. Kwa hiyo tutarajie hili dege safar zake nyingi zitakuwa china,india,dubai.
Kenya wenye soko kubwa zimewashinda.
SOLUTION YANGU.
Badala ya kukimbilia hayo madude kwanza sababu bei yake tu ina range224.6-306.1mil usd.
Sisi tungejiweka kukomaza regional routes na international routes tungetumia hizi bombardier cs300 ambazo range yake ni km 6112. Toka dar mpaka newdelh ni km5658, dubai ni almost km5000 huku ndo kuna wateja wengi. Hii inaweza kwenda huko non stop. Lakini ingeweza kwenda mpaka kufuatako ikiwa itapata sehem ya kupumzika au refuel, amsterdam km7350.berlin km 7050,hearthrow 7500, frankfurt km6980, beijing km9411.
Sasa hii pesa boeing sisi tungeipeleka kununua sukhoi superjets za kirusi.
KWANINI SUKHOI.
Ili kukomaza soko na kupata wateja wengi wa kwenda nje tunahitaji feeder planes za kukusanya watu toka mataifa mbali ya afrika na sukhoi ingeweza kuwa suluhisho.
KIVIP
Bei yake ndogo 27-28mil usd ukilingabisha na q400yetu ambayo ni 31.6 usd mil.
Range ni 4578km hizi zinaweza fika karibia nchi nying za kiafrika kama abuja km3960. Johasburg km 3680.
Passenger capacity 87-108 wakati q400 ni 74-90
Speed ni 827-870km/hr sawa na cs300 ila zaid ya q400 ambayo ni 660km/hr.
Karibuni kwa michango.
NOTE
Mimi sio mjuz wa midege ila mpenda kufuatilia naomba nisizodolewe