ATCL ni bomba la kufuja fedha hazina-msajili hazina

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Msajili wa hazina Mr godfrey msella amsema jana ATCL IMESHINDWA KUZALISHA HIVYO NJIA MUAFAKA NI KULIVUNJA NA KUUNDWA UPYA KAMA NIC..
MSELA ALITOA MAPENDEKSO HAYO KTKT KIKAO CHA KAMATI YA FEDHA NA UCHUMI KILICHOFANYIKA JANA OFISI NDOGO YA BUNGE,,ATCL INAPASWA KUTEKELEZWA KAMA ILIVYOFANYIKA NIC..KWANI NIC KULIKUWA NA NINI ATCL ISIWEZEKANE ANGALIA NIC INAVYO PERFOM SASA HIVI...ALISEMA HATUA HII INAPASWA KUFANYIKA MARA MOJA KULIKO KUSUBIRI HUKU HAZINA IKICHOTWA MA BILION YA HELA KULIPA VIFAA VYA NDEGE NA MISHAHARA YA ATCL..ALISEMA HIVI SASA ATCL INACHUKUA BAJETI KUBWA YA KULIPIA GARAMA TOFAUTI HAZINALAKINI HAIZALISHI ..KWA NINI TUWE NA SHIRIKA LISILOALISHA HUKU LIKICHOTA PESA HAZINA HIZI NI KODI ZA WATANZANIA TUNAITAJI KUZIHESHIMU ALILALAMA MH MSELLA...AKIMALIZIA ALISEMA NJIA PEKEE KUINUSURU ATC NI KULIVUNJA KAMA ILIVYO KWA NIC WATU WALIPWE MAFAO YAO..LIUNDWE UPYA HII YA KUSEMA TUNASUBIRI WKILA SIKU NDIO INATUMALIZA MWISHO WA SIKU TUNAANZA KUSHIKANA MASHATI WENEYWE ALILALAMA MH MSELA...NIC ILIVUNJWA WAKAACHISHWA KAZI WAFANYAKAZI WAKALIPWA MAFAO YAO YOTE NA KUANZA UPYA...

HATA HIVYO WAZIRI WA MIUNDO MBINU MH KAWAMBWA ALIENDELEA KULIDANGANYA BUNGE KWAMBA MAWASILIANO NA KAMPUNI YA UCHINA KUCHUKUA UBIA YANAENDELEA VIZURI HUKU HABARI ZILIZO NA UHAKIKA WACHINA WAMESHAACHANA NA MCHAKATO HUO BAADA YA ZAIDI YA MARA MBILI NA KUSHINDWA MUAFAKA NA SERIKALI BAADA YA KUONA IKO NA LONGO LONGO...HALI IYO ILIFANYA RAIS WA SONAGOL AKIWA NA RAIS KIKWETE KUMWAMBIA LIVE SERIKALI AMA WAHUSIKA WA MIUNDO MBINU LONGOLONGO AWAWEZI KWENDA NAE SAWA....SWALA HILI LILILAMIKIWA NA NDASA AMBAE AMESEMA KAWAMBWA AMEKUWA AITAKII MEMA ATCL YETU KILA TUKIAMUA JAMBO JEMA ANAKUJA NA UWONGO WAKE KULIDANGANYA BUNGE...SWALA LILOPO ATCL NI KUIVUNJA NA KUUNDWA UPYA WATU WALIPWE MAFAO YAO ALINAIBU MSAJILI WA HAZINA
 
Ukweli ndio huo kuwa Kawambwa halitakii meme shirika hili la Ndege na ndio maana mpaka sasa shirika halina bodi ya wakurugenzi!!!Shiirika linaendeshwa kama biashara ya kimachinga bila sense of direction ; Kawambwa ndio muuaji wa shirika hili sio siri tena; na Kikwete anaangalia tu bila kutoa maamuzi!!
 
Just get rid of this historical monument. The name itself AIR TANZANIA now stinks. It is synonymous to inefficiency, uneconomical, unethical, uncaring, you can add whatever other expletive you want. With people like Mustafa Nyang'anyi chairing the Board what good can come out of it? What does Nyang'anyi know about running an airline or any other business for that matter? It seems that with ATCL it is like it is still 1970 and not 2010. The whole thing is political and Ufisadi Mtupu. Just get rid of it. Period.
 
Back
Top Bottom