ATCL kufufuka kisasa zaidi, kwa nguvu zaidi -- na kutawala tena soko!

ATC hasara bilioni 60!.
Taarifa ya CAG.
Kuna vitu kuna watu tulisema humu, tukanyooshewa vidole vya kukosa uzalendo!. Sasa ukweli umethibitika!.
60 billions kwa mwaka!, it's not a joke!
Duh...!.

P
Mkuu Paskali.. Uhuru wa watendaji leo umeanza kuonekana. Maana CAG amemuomba kabisa RAIS achukue hatari haraka.
 
Back
Top Bottom