CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

Kuna uzushi mkubwa uliletwa na Zitto kuwa kasma ya Atcl imehamishiwa ikulu ili watu waibe pesa sababu pesa za ikulu hazikaguliwi. Jambo ambalo lilikuwa sio kweli na wafuasi wa Chadema walikomaa sana juu ya ishu. Leo wameumbuka.
View attachment 1736519
Hivi akili yako iko vizuri kabisa ww? Tangu hizo ndege zinunuliwe Magufuli si alikuwa anasema zinaleta faida? Imekuaje leo zikaleta hasara? Uliwahi kumsikia Magufuli akisema Mkaguzi kakuta hasara katika hiyo miaka 5?
 
Mkuu Loss ya 60 ni ndani ya miaka mitano na Loss kubwa imepatikana miaka hii miwili ya Corana but hao kenya Airways wamepata Loss ya B 30 ndani ya mwaka mmoja tu. ATCL ilikuwa inapunguza Loss kila mwaka na baadae ingeweza kuleta faida.Afu watu wajue kuwa JPM Hakutarget kwenye bishara,Alileta hizi ndege kwa lengo la kuboresha huduma ya usafir.
Acha kupotosha hiyo ni kwa mwaka mmoja pekee
 
Angekuwepo,leo wangelia watu yani wangeumia watu vilio na kusaga meno vingetokea Maana kungekua na zadi ya utumbuaji,leo ingekua ni hotuba ambayo ingedkasiwa wiki nzima kwa jinsi Magu ambavyo angenyoosha watu.

kwakuwa MAMA kaskiliza tu na hajatenda lolote nimeanza kupata wasi wasi mkubwa sana,kweli atawezaaaaaaaaaaa?!!?!?!?!?!?!?!?!
 
AIseee...
Yaani wewe umefurahi kuwa wamepata jibu KULIKO HUKO KUPATA HASARA...
Kuwa wamejibiwa hakuharibu huduma za kijamii, lakini kuwa inaendeshwa kwa hasara, maana yake kuna hela ingepataikana ya kuendeleza huduma za kijamaa lakini imepotelea hapo...

watu hawaelewi kitu kimoja, kwamba kukaguliwa kwa ATCL ni njia mojawapo ya kuiandaa hadhara ya Tanzania ili shirika liki binafsishwa kwa mabeberu na wenye fedha kuwepo na jibu kwamba shirika halileti faida... tunaelekea kule kule tulipo toka, deal na madeal ya upigaji kwa kisingizio cha hasara kama Rwanda air inavyotaka kufanya sasa na Qatar airways...
Hizi mambo za ubinafsishaji ni kupiga deal tu maana hatukuweza tulipo shirikiana na Soutyh Africa airways . Amekeni Watanzania, CAG na ndugu zake ni matayarisho tu ya ubinafsishaji wa ATCL ujao. Ni maoni yangu...
 
Maendeleo ya vitu yaendane na maendeleo ya watu. Nani atafidia hii hasara?
View attachment 1736531
View attachment 1736513
JamiiForums-1564345080.jpg
 
Tukishajua Hasara Bil.60 tujue na Faida ni Bil.ngapi,usikute Faida ni Bil.90,sasa tukitoa 90 - 60 tunapata 30.bil hii ndio faida yetu japo ni kidogo ila si mbaya,hebu tuache jadili Hasara tuulize na Faida iliyopatikana kwa miaka hiyo mi 5 ni kiasi gani.
 
Daaah yaani sa hv ningekuwa na nyumba yangu nzuri kabisa maeneo ya mbweni , mweshimiwa Alibana ajira ili anunue ndege ...daaah yote mema Tu lakn
Priorities ilikuwa ni issue sana enzi ile.
 
watu hawaelewi kitu kimoja, kwamba kukaguliwa kwa ATCL ni njia mojawapo ya kuiandaa hadhara ya Tanzania ili shirika liki binafsishwa kwa mabeberu na wenye fedha kuwepo na jibu kwamba shirika halileti faida... tunaelekea kule kule tulipo toka, deal na madeal ya upigaji kwa kisingizio cha hasara kama Rwanda air inavyotaka kufanya sasa na Qatar airways...
Hizi mambo za ubinafsishaji ni kupiga deal tu maana hatukuweza tulipo shirikiana na Soutyh Africa airways . Amekeni Watanzania, CAG na ndugu zake ni matayarisho tu ya ubinafsishaji wa ATCL ujao. Ni maoni yangu...
Asante kwa jicho Pevu,hata mimi nimeliona hilo ndio mana nimesema hebu tuulize na Faida ni kiasi gani,tusiishie kwenye Hasara peke ake maana hata kama kuna hasara naamini pia kuna faida je hiyo faida ni kiasi gani?

kuishia kwenye hasara tu na kuweka nukta hapo,ni maandalizi ambayo ndio hayo boss S.M.P umeya ainisha.
 
Back
Top Bottom