Achana naye mfitini huyo ujashtuka tu, kwanza siku yenyewe ya sikukuu hakunaga abilia, abilia wengi wana safiri before au after sikukuu hata kama sikukuu haiwahusu.Kwahiyo abiria walikata tiketi na kupanga safari iwe leo na ATCL wameamua kupiga kimya? Kirahisi hivyo?
Sijui ni kwa nini umetumia hilo neno Hapa kazi tu!! Lakini ningependa kujua hao walioharibiwa ratiba na ATCL walikata tkt kwa hizo ndege?? wakati ATCL haikuepo kwa hizo tarehe, kila ulikuwa ukijaribu kuingia kwenye system yao kwa hiyo tarehe unakutana na neno NO FLIGHT sasa hao walipata wapi hizo tiketi.
inavosemekana, watu walikata tickets
ananiambia hata wao precision wameongeza flights Jana usiku baada ya kuona kuna ulaji mkubwa siku ya Leo
Emergency ndio zipo na huwa zinauzwa ticket za NO SHOW. Nimeshasafiri sana kwa mtindo huo.mkuu labda hujawahi kupata emergency
huwa kunatokea siku abiria wanakuwa wengi, na huwa kuna sababu
Elimika kwanza ndiyo uanze kujibizana hapa
tambua tu bombardier zipo sikukuu Leo
Nadhani tatizo kulipa posho si unajua posho zote zimefutwa na leo ni sikukuuHabari wakuu
niliona kwenye mitandao hasa Instagram kuwa Leo bombardier zimetulia zinasherehekea sikukuu. sikuamini nikajua watu wenye nia mbovu na serikali yetu tukufu wanaeneza uongo.
Baada ya masaa mawili napigiwa simu na mdogo wangu anafanya kazi precision airways kuwa kapigiwa simu kuna dharura anahitajika kazini hivyo hataweza kushiriki chakula cha pamoja nyumbani. kufika ndo kakutana na hii habari na wao wameamua kuchukua fursa
huko airport watu wamekasirika balaa kwani wameharibiwa ratiba zao na ATCL.
Hapa kazi tu
mwenye taarifa kamili atupe hapa