ATCL: Another Richmond!

Re: ATCL: Another Richmond! --------------------------------------------------------------------------------

Wachina wainyemelea ATC
Maulid Ahmed
Daily News; Thursday,October 23, 2008 @20:25


"Wakati inajiandaa kuingia ubia, ATC imeanza mchakato wa kuuza ndege yake aina ya Boeing 737-200 ambayo inadaiwa inatumia mafuta mengi. Ndege hiyo ilirithiwa kutoka Shirika la Ndege la Afrika Mashariki. Mbali na ndege hiyo, shirika hilo lina ndege tatu zinazofanya kazi ambapo mbili ni zake na moja imekodi."

MASAHIHISHO:

Shirika la Ndege la Afrika Mashariki (East African Airways Corporation) halikuwa na ndege ya aina ya B737-200 wala B737 aina ingine ye yote!. Ndege za EAA wakati inakufa 1977 zilikuwa ni Super VCIO, DC9, F27 na B707 (Freighter). Tanzania tukarithi DC9 moja (ambayo tuliiuza haikuwahi kutumikia ATC) na F27 mbili.

Historia ya ATCL, na kabla yake ATC, ni ya kusikitisha sana sna. Inahitaji kijitabu kuelezea matatizo yaliyoikumba Shirika la Ndege hili "from the inception, buying of the Boeing 720 which was abandoned at KIA, through selling of DAHACO, forced marriage with Alliance Airlines, privatisation to SAA" etc. Let me just recap a few highlights:

1. ATC was under-capitalised when she took off in 1977. That situation has NEVER changed throughout its life span and has been surviving on Govt subsidy most of the time. 2.
2. In 1978 ATC acquired two B737-200
(Advanced) which, fortunately for our country, have never been involved in a fatal accident. But ATC financial position was not fluid despite modernising her fleet.
3. Troubles were escalated in the 80's when Lawrence Mmasi was appointed GM (RIP) and Dry Leased a B720 from Hallack of Lebanon for Long Haul operations to Europe and India. One of the ATC Directors, who is now the Chairman and founder of PRECISION AIR, and his Engineering counterpart, resigned in protest against this shoddy deal. The aftermath was the grounding of the aircraft, cancellation of the Contract and the dismissal by Nyerere of Mmasi and Minister Mwingira.
4. In 1984 DAHACO was formed by ATCas a subsidiary Company (SU) in a bid to de-centralise some of her activities (remember Air Caterers Ltd, Jet Club?) and at the same time beef up her revenues. DAHACO has been, and still is (renamed SWISSPORT) unchallenged FOREX earner at JNIA and KIA. DAHACO was later privatised and ATC "kicked out of it" and now ATCL is only a client of Swissport with no shares.
5. In the 90's, the 3 Twin Otters in ATC were sold out by the former GM (RIP) claiming they were loss making but the Kenyan Co. which bought them is flying high - profitwise!
6. ATC ventured again into the International Operations (IOPS) under Ole Kambainei with a Wet Leased B767 aircraft from Ethiopian Airlines. Little did Ole Kambainei know that some MAFISADI in the mother Ministry had already eaten 10% to bulldoze ATC into partnership with SAA (and Uganda) to start Alliance Airlines. IOPS was scrapped off by "the Govt" after only 9 months claiming that it incurred losses in that period. Amazing!
-- Any Commercial project of this magnitude will rarely yield profit in the 1st year. ET took 7 years to break even in their West African route which has now attracted KQ and both are leaving behind overflows of passengers.
-- ATC workers sneeked in a "dossier" to Mkapa revealing dangers to ATC of joining the Alliance and motives of the "bigger partner" -SAA. True to their words, Alliance Airlines collapsed leaving behind huge debts which our Govt. was forced to pay: hakuna aliyewajibika, wala postmortem haikufanyika ingawa Ole alishapoteza uGM.
7. Azma ya SAA ikajitokeza wazi ilipotangazwa ATC kubinafsishwa na wao "waka-bid kifisadi kiasi cha kuwafanya wengine wote wajitoe". Ndipo SAA ikaanza vituko vyake:
-- haikuleta ndege mpya kubwa kama ilivyosainiwa ktk Mkataba
-- safari za masafa marefu - LON, ROM, BOM, Dubai, n.k. hazikuzinduliwa
-- ajira ya wafanyakazi haikuongezeka badala yake baadhi walipunguzwa zaidi
-- airline ticket designator yaani 197 - ikatupiliwa mbali na abiria wote wa ATC wakalazimika kutumia tikti za SAA hata kwa safari za ndani ya Bongo
-- ndege za ATC zikapakwa rangi nyingine na mkiani picha maarufu ya Twiga ikafutwa pamoja na kile kijinembo cha "TC".
-- revenue accounting ya mapato yoote ya ATC yalikuwa yanapelekwa SAA HQ's, JNB.

8. BAADA YA KUSEMA HAYO YOTE NI SERIKALI PEKEE INABIDI ILAUMIWE KWA MTOTO ALIVYOLELEWA VIBAYA, HUSUSAN KWA KUWALETA MA-GM NA MA-CHAIRMEN WASIO NA AVIATION BACKGROUND. HATUNA WATAALAMU WA KUBOBEA WA FANI MBALI MBALI ATCL, NDIO MATOKEO YAKE HAYA - MADEGE MABOVU NA MIKATABA OVYO!!
 



3. Troubles were escalated in the 80's when Lawrence Mmasi was appointed GM (RIP) and Dry Leased a B720 from Hallack of Lebanon for Long Haul operations to Europe and India. One of the ATC Directors, who is now the Chairman and founder of PRECISION AIR, and his Engineering counterpart, resigned in protest against this shoddy deal. The aftermath was the grounding of the aircraft, cancellation of the Contract and the dismissal by Nyerere of Mmasi and Minister Mwingira.


Mzee hii nyeti, kumbe tulishawahi kuwa na mkataba mbovu huko Nyuma na Nyerere akausitisha na kuwatimua walioingia mkataba huo? Hebu tupe unyeti wa hili kidogo maana wengine tulidhania mikataba mibovu imeanza kuingiwa hivi karibuni.


4. In 1984 DAHACO was formed by ATCas a subsidiary Company (SU) in a bid to de-centralise some of her activities (remember Air Caterers Ltd, Jet Club?) and at the same time beef up her revenues. DAHACO has been, and still is (renamed SWISSPORT) unchallenged FOREX earner at JNIA and KIA. DAHACO was later privatised and ATC "kicked out of it" and now ATCL is only a client of Swissport with no shares.
5. In the 90's, the 3 Twin Otters in ATC were sold out by the former GM (RIP) claiming they were loss making but the Kenyan Co. which bought them is flying high - profitwise!

Gademu!!

6. ATC ventured again into the International Operations (IOPS) under Ole Kambainei with a Wet Leased B767 aircraft from Ethiopian Airlines. Little did Ole Kambainei know that some MAFISADI in the mother Ministry had already eaten 10% to bulldoze ATC into partnership with SAA (and Uganda) to start Alliance Airlines. IOPS was scrapped off by "the Govt" after only 9 months claiming that it incurred losses in that period. Amazing!
-- Any Commercial project of this magnitude will rarely yield profit in the 1st year. ET took 7 years to break even in their West African route which has now attracted KQ and both are leaving behind overflows of passengers.
-- ATC workers sneeked in a "dossier" to Mkapa revealing dangers to ATC of joining the Alliance and motives of the "bigger partner" -SAA. True to their words, Alliance Airlines collapsed leaving behind huge debts which our Govt. was forced to pay: hakuna aliyewajibika, wala postmortem haikufanyika ingawa Ole alishapoteza uGM.


Na wala haikusikika kwa kiasi kinachostahili.

7. Azma ya SAA ikajitokeza wazi ilipotangazwa ATC kubinafsishwa na wao "waka-bid kifisadi kiasi cha kuwafanya wengine wote wajitoe". Ndipo SAA ikaanza vituko vyake:
-- haikuleta ndege mpya kubwa kama ilivyosainiwa ktk Mkataba
-- safari za masafa marefu - LON, ROM, BOM, Dubai, n.k. hazikuzinduliwa
-- ajira ya wafanyakazi haikuongezeka badala yake baadhi walipunguzwa zaidi
-- airline ticket designator yaani 197 - ikatupiliwa mbali na abiria wote wa ATC wakalazimika kutumia tikti za SAA hata kwa safari za ndani ya Bongo
-- ndege za ATC zikapakwa rangi nyingine na mkiani picha maarufu ya Twiga ikafutwa pamoja na kile kijinembo cha "TC".
-- revenue accounting ya mapato yoote ya ATC yalikuwa yanapelekwa SAA HQ's, JNB.

Na hakukuwa na mtu yeyote wa ATC aliyeprotest kama walivyofanya kina Mmasi hapo juu? Kwanini watumishi waliojua kinachoendelea waliendelea kukaa kimya?

8. BAADA YA KUSEMA HAYO YOTE NI SERIKALI PEKEE INABIDI ILAUMIWE KWA MTOTO ALIVYOLELEWA VIBAYA, HUSUSAN KWA KUWALETA MA-GM NA MA-CHAIRMEN WASIO NA AVIATION BACKGROUND. HATUNA WATAALAMU WA KUBOBEA WA FANI MBALI MBALI ATCL, NDIO MATOKEO YAKE HAYA - MADEGE MABOVU NA MIKATABA OVYO!!

Umesummarize vizuri kabisa...
 
Mwanakijiji

"Mzee hii nyeti, kumbe tulishawahi kuwa na mkataba mbovu huko Nyuma na Nyerere akausitisha na kuwatimua walioingia mkataba huo? Hebu tupe unyeti wa hili kidogo maana wengine tulidhania mikataba mibovu imeanza kuingiwa hivi karibuni."

Ahsante.

Ndio, ATC chini ya GM Mmasi imewahi kuwa na mkataba na George Hallack wa kukodi ndege moja ya B720 kwa safari za Ulaya, India na Pakistan. Ingawa Directors of Operations na Engineering (MICHAEL SHIRIMA na Justine Lyatuu) waliupinga vikali mkataba huo na kulazimika kujiuzulu dege hilo bovu lililetwa hapa nchini. Mda mwingi haukupita, hiyo B720 ikaanza kuharibika nje ya nchi na kusababisha abiria kukwama katika miji mbali mbali na ATC ikaingia madeni kibao na aibu kubwa kwa Taifa. Nyerere hakungoja "tume" akamfukuza GM na Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi.

"Na hakukuwa na mtu yeyote wa ATC aliyeprotest kama walivyofanya kina Mmasi hapo juu? Kwanini watumishi waliojua kinachoendelea waliendelea kukaa kimya?"

a) Hapo juu, aliyeprotest ni Shirima (sio Mmasi)
b) Mwanakijiji, wee acha tu. Wafanyakazi wamefichua mengi tu kuiambia Serikali yetu lakini watarekebisha vipi huku "wamekwishakula cho chote"? Isitoshe, ndani ya Shirika na pale JNIA na ATC House makachero wamejaa kibao. Yote haya wanayajua .... hata Viongozi wetu si wallikuwa wanapanda hizo ndege na kutumia blue tickets za SAA?
c) Tafadhali Mwanakijiji, na wasomaji wengine naomba hili la ATCL nikomee hapo. "NINA KIATU KIPANA LAKINI KINANIBANA!!"
 
Salaam waheshmiwa wote na wapenda nchi yetu ya tanzania
nimekuwa tanzania kwa zaidi ya miaka 55 sasa sijapata kusikia ama kushangaa kwa yakiyotokea hivi karibuni uko atc..nikiwa kama mdau wa sekta ya anga kwa muda wa miaka zaidi ya 20 nimasikitiko yangu kusema kwamba
TCAA ndio iliochangia kufikia hapa kwa atcl..aikuwa jukumu langu ila naamini kama si ndugu zangu basi marafiki zangu watapata nafasi pale na ndio maaana nikaweka wazi ,,kweli VIONGOZI WA ATC wamechangia hilo ila pia TCAA kwa kushirikiana na MKURUGENZI WAKE MRS munyagi KAMA NILIVYOSOMA KWENYE GAZETI WAMECHANGIA SANA KULIUMIZA SHIRIKA HILI,,,KAMA MMESOMA VIZURI GAZETI LA NIPASHE MKURUGENZI WA TCAA AKIWA ANAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI NAMNUKUU
"Kwa kweli shirika la ATCL tumelibeba vya kutosha""
-nafikiri tatizo halisi ni uongozi wa ATCL kutokuwa makini na uwajibikaji wao
-tumekuwa tukiwajulisha viongozi wa actl kila mara mnatakiwa kufanya hiki na kile hakuna aliekuwa makini kutusikiliza..sasa tukaona basi inatosha
Nikimnukuu Mkurugenzi wa ATCL"DAVID MATTAKA"
"kwa kweli tunajitahidi sana kumalizia hizo docs tumeshawapelekea baadhi lakinijambo moja napenda kuwajulisha

''

'''''''''''''''''''KAMA SI ICAO KUJA KUWACHECK HAWA TCAA HAYA YOTE YASINGETOKEA"""""
Huyu ni mkurugenzi wa kampuni ya ndege ambayo ndege inabidi zifwate kanuni za icao lakini analalamika kwa hiyo ICAO kuja kufanya checking kwa TCAA...
Pili
gazeti moja nimesoma leo kwa kweli sikuamini jana nafikiri kulikuwa na mkutano wa wafanyakazi..katika majira kuna mfanyakazi mmoja amenukuliwa akisema ATCL imekuwa ikifanya AIRCRAFT MAINTANANCE illegal tangu mwaka 2003..mar 27 ilipo expire .sasa bado najiuliza hizi ndege lazima zitakuwa zinafanyiwa check kila mara else tujulishwe TCAA muda wote awakuwa wakijua kampuni haina kibali cha kufanyia aircraft maintanence..na iweje wakawaruhusu waendelee kufanya maintanance nchini hali wakiwa illega,???
TATU:::
Hiko kibali cha kuruka mrs munyangi amesema kwenye gazeti lazima kampuni ifanyiwe check na wao na kuona wanafaa kuruka!!!je wakati mnawapa hiko kibali hamkuona hizo docs zao hazipo kwenu mpaka mnasubiri hao ICAO kuja kuwacheck ndipo mnakuja kujua undugu tena basi.....nahisi kuna mambo makubwa yamejificha pale TCAA ..inawezekana ndege nyingi zinaruka isivyo halali kama wameweza kutoa kibali cha kuruka na ndege zikaruka muda wote na kurudi kuwanyanganya..hauoni kuna tatizo hapo kwako???kama mdau wa anga ningeshauri ama ujiuzuru /wahusika wote waliohusika kupitisha kila kitu na kukuonyesha ATCL iko safi kuruka na mwisho kufikiwa na aibu kama hii
WAWAJIBISHWE haraka sana...yamkini ningalikuwa ATCL leo hii kwa kweli
wahusika wote lazima wawajibishwe haraka sana iwezekanavyo.aiwezekani
kampuni ikapata hasara ya million 300.kwa wiki na watu wakiendelea kuzungusha viti vyao huku wakipata viyoyozi baridi

RAIS TUNAITAJI MCHANGO WAKO HUMU..KAMA UMESHINDWA TUKUSAIDIE
 
Re: ATC SAGA: Wafanyakazi wataka Uongozi Ujiuzulu!

--------------------------------------------------------------------------------

Hii niliiona March,JF ni watabiri???
nafikiri watu waliisoma na kuweka kwenye makabrasha nakumbuka ilipelekea kijana mmoja niliekuwa namfahamu pale mjini mchapakzi kufukuzwa wakati alieileta ameweka wazi alikuwa atcl na sasa yuko nje ya nchi baada ya kukaa pale miaka 20 ACCOUNTS....EMBU TUJIKUMBUSHE!!.

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ni David Mataka.:

Yeye aliteuliwa na Rais JK baada ya rais aliyemtangulia kumtimua kwa ufisadi. JK alimuonea huruma DM baada ya kukaa ubaoni kwa muda na pia kushindwa kinyang'anyiro cha ubunge kwa tiketi ya chama tawala. Wananchi wa jimbo lake na wa chama chake hawakumpa kura kwa kuwa alikwisha onekana mbele ya rais BM kuwa ni fisadi wa hali ya juu japo yeye rais BM alikuwa anawakumbatia mafisadi kama Balali.


Mkuu huyu wa kampuni ameanzisha uongozi wa dharura(Management by crisis) ambapo kila asubuhi wakurugenzi na mameneja wateule katika ufisadi hukaa vikao vya kuangamiza kampuni. Amepata Benz ya kisasa katika mgao wa magari yaliyotolewa na wauzaji baada ya kununua magari ya kampuni huko Dubai kwa bei ya juu. Magari hayo ni ya mwaka 1998 japo bei yake ni karibu na mara mbili ya yale yanayouzwa na makampuni mengine ya Dubai. Yeye huwa anasuka jambo halafu anamwachia George, Eliasaph au William walichochee katika kikao cha hao viongozi.

2. Mark Manji :

yeye ni mtu wa Musoma japo jina lake la kihindi. Huyu ni mshauri wa mkurugenzi mkuu. Alikuwa mkurugenzi wa idara ya operations wakati wa makaburu japo idara hii huwa inaongozwa na marubani. Alipewa cheo hiki na makaburu ili kuwaweka marubani katika himaya ya makundi. Makaburu walipoondoka aliomba kuacha kazi kwa hiari na akastaafu akaomba kuendelea na kazi tena kama mshauri wa mkurugenzi mkuu. Kwa kuwa alikuwa na mapenzi na makaburu na kwa kuwa ameshapata mafao yake, hana huruma na kampuni kwa sasa badala yake yeye ni kichocheo na hujifanya analijua shirika. Anatumia utoto wa mjini kufanya kazi kwani hana shahada hata moja japo amepewa nafasi nyeti.



3. Eliasaph Mathew :
aliajiriwa na makaburu kama meneja wa fedha kwa maana hiyo ni mtu wa makaburu. Baada ya mkurugenzi wa fedha aliyekuwa kaburu kuondoka amekaimu nafasi hiyo hadi leo. Huyu ndie kinara wa kupindisha taratibu za matumizi ya fedha na ununuzi. Ni mfuasi namba moja wa DM kwani kwa sasa pesa za kampuni hutolewa kiholela kulipia gharama kwa ufisadi. Mfano kabla ya kufunga mwaka 2007 shillingi millioni mia mbili hamsini zilichotwa kulipa gharama za kutoa magari nane yaliyokuwa katika yadi ya kuweka mgari iliyo ya watu binafsi. Haishi hapo huchota dola elfu tatu taslimu toka kwa mtunza fedha kila mwezi na kumpa huyu mwenye yadi ya kuhifadhi magari. Huidhinisha malipo kwa ankara tu bila kujali taratibu nyingine. Ndiye aliyejumuika katika jopo lililokwenda Dubai kuchagua magari ya kampuni na kuyanunua kwa bei mbaya bila kufuata taratibu za ununuzi. Magari haya ni ya 1998 japo ATCL ni mali ya serikali,hilo halikutiliwa maanani. Yeye amepata zawadi ya VX Landcruiser ya kisasa kama mgao katika hayo manunuzi na sasa ameweka pembeni Vitara yake. Hutumiwa katika mikakati ya kuwaondoa watu wa zamani na wenye sifa kwa kuwazulia kesi na shutuma za matumizi mabaya ya pesa kitu ambacho si kweli.
Waliyoonja joto hilo ni pamoja na Hassani ambaye aliamua kuacha kazi, Hamisi na Mndeme ambao wamesimamishwa kwa suala la bwana Mohamed Makaratasi ambaye ni rafiki wa George Mazula.

george mazula:
yeye eti ndiye rubani kiongozi na mshauri wa DM. Huyu aliwahi kuachishwa kazi wakati mwenyekiti wa bodi alikuwa ni Abasi Sykes. George aliwahi kuunguza injini mbili za Fokker kwa mpigo pale Tanga. Amewahi kuangusha ndege aina ya Fokker hapa Dar es salaam. Amewahi kuua mtu pale uwanja mpya wa JK Nyerere kwa kukatwa na pangaboi baada ya yeye kuzembea kuzima injini. George ni kiungo wa mikakati yote ya ufisadi na kuondolewa watu katika nafasi zao. Alikuwa mfadhili wa DM wakati akiwa ubaoni. Ni rubani mwenye makeke na mikosi mingi. Katika dili ya Dubai yeye amepata Volvo na kujidai amekopa.

5. Amin Mziray:
huyu ni katibu wa kampuni. Yeye ni chapombe. Alipewa gari ya kampuni na makaburu na kulipindua kwa ulevi. Anayo shahada ya sheria lakini haitumii kwa maslahi ya kampuni. Kampuni imeshindwa kesi nyingi kwa kutokuwa makini huyu mwanasheria. Yumo katika hili jopo la ufisadi wa kampuni. Katika mgao wa magari ya Dubai yeye amepata VX Landcruiser la nguvu. Hayupo tayari kutetea hoja mbovu zinazotolewa ndani ya vikao vya hili jopo la ufisadi.

6. William Haji, :

anakaimu nafasi ya mkaguzi mahesabu wa ndani. Aliajiriwa wakati wa makaburu kama mkaguzi wa mahesabu wa ndani chini ya bwana Yakubu. Baada ya muda bwana YAkubu aliwekwa pembeni na huyu bwana kukaimu nafasi yake. Kwa sasa yeye ndiye anayekagua malipo (Pre-audit) hivyo yumo ndani ya mtandao wa ulaji. Ndiye anayetumiwa kutengeneza taarifa za kuzua kesi na uonevu kwa wafanyakazi wa chini. Huchukua nafasi ya afisa usalama wa kampuni ili kupindisha ukweli na hatimaye kuwadhalilisha ama kuwatimua wafanyakazi wasiyo na hatia. Ni hatari sana kwani yupo karibu na DM na Eliasaph katika kila mpango.

7. Sadiki Muze, :
Yeye ni mkurugenzi wa idara ya operations kwa sasa. Amepewa nafasi hiyo yeye kwani ndiye aliyekuwa mfadhili mkuu wa DM wakati akiwa ubaoni. Pia ni mshirika wa DM katika vinywaji na mwanachama wa kijiwe kimoja na George. Ni Sadiki na George pekee waliyopewa vyeo na kuenguliwa wengine baada ya DM kuchukuwa uongozi ATCL na ni chapombe. Sadiki na George wamelipwa fadhila.

8. Heho Mbiru ni Mkenya,:

aliajiriwa kwa nguvu enzi za makaburu kama mkurugenzi wa masoko. Aliajiriwa kwa nguvu na aliyekuwa mwenyekiti wa bodi ya ATCL wakati huo Ali Mufuruki kwa kisingizio kuwa hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kushika nafasi hiyo. Ni mzalendo wa Kenya kweli kweli kwani kazi zinazoweza kufanyika hapa (kama Graphics) huzipeleka kwenye kampuni yake. Anayo mapenzi na makaburu hivyo kuleta mabadiliko tunayotaka yeye ni kikwazo na ndiyo maana ni rahisi kutumiwa katika hujuma. Kumbuka tunaushindani na Kenya Airways huyu atatumaliza.

9. Ajay Gopinath raia wa India.:
Aliajiriwa kwa nguvu wakati wa makaburu na aliyekuwa mwenyekiti wa bodi Ali Mufuruki. Ajay aliwahi kufukuzwa nchini lakini kwa sababu zake Ali alifanya juu chini na kumrudisha kama mkurugenzi wa mauzo. Anatumiwa katika upatikanaji wa fedha na kutumika vibaya. Hana sauti ndani ya utawala huu kwani ni mgeni.

ALPHONCE MKINGA:
ni meneja utumishi. Alistaafu na kuchukua mafao yake baada ya makaburu kutimka. Anafanya kazi kwa mkataba na kuzuia ajira kwa waliomaliza vyuo.
Ameidumaza idara ya utumishi kwa kutoweka muundo wa utumishi na taratibu mbalimbali za ajira. Matokeo yake mkurugenzi mkuu huleta watu wake japo wapo waliofanya usaili. Mfano ni ajira ya mhudumu katika ofisi ya mkurugenzi mkuu,ajira ya afisa majengo na mali ambaye ni jamaa yake. Huyu bwana Peter Gosh anachukua nafasi ya bwana Hassan Kikoko alieandamwa na huu mtandao wa ufisadi na hatimaye kuamua kustaafu mapema. Yupo dereva aliajiriwa kwa hila japo wapo waliofanya usaili na hadi sasa hawajapata ajira. Bwana Mkinga hana sauti kwani yupo kulinda maslahi yake baada ya kupata ajira ya pili.

11. Fidelis Tarimo :
ni mkurugenzi wa uhandisi. Historia yake ni ufisadi mtupu. Aliwahi kusimamishwa kazi na aliyekuwa mwenyekiti wa bodi wakati huo Mzee Abasi Sykes. Tarimo alikwenda kusimamia matengenezo makubwa ya Boeing ya ATC wakati huo (major check) nchini Ireland. Hakuwa anafuatilia gharama halisi za matengenezo na kujali maslahi yake hivyo kusababisha gharama kupanda kwa shilingi bilioni moja na nusu toka ghrama halisi na kulitia shirika hasara na kusimamishwa kazi. Alipata nafasi wakati wa makaburu kwani hakuwa mtetezi wa wazalendo. Kwa sasa wafanyakazi wa idara yake hawamtaki na wameandika barua ya kumkataa na wizara inajua hilo. Ni bingwa wa kuuza ndege za kampuni kwa bei ya kutupwa badala ya ile ya makubaliano ya awali. Ana ukabila na hadi sasa ana jamaa yake anasimamia ujaji wa ndege ya kukodi kwa muda mrefu yuko nje ya nchi. Ni fisadi wa kutupwa kwa ajili ya kutaka pesa za kuendeleza biashara zake.

12." Rajabu Itambo"
ni meneja Galileo Tanzania kampuni tanzu ya ATCL. Rajabu alipewa kazi ya ushauri katika kitengo cha Galileo na aliyekuwa meneja wakati huo Maalim Ali. Kaburu mmoja aliyekuwa mkurugenzi wa biashara Mike Bond aliamua kumuondoa Maalim Ali katika nafasi hiyo na kumuweka Rajabu kwa maslahi yake kwani walitaka kuuza Galileo kabla ya kuondoka jambo ambalo hawakufanikiwa. Mpaka sasa Rajabu ana uhasidi na wafanyakazi wa zamani kwani anataka awe mkuu wa kitengo cha ITC (Information and Technology Communication) Ni mmoja wa vibaraka wa DM.


Hadi tunakwenda mitamboni ATCL haina bajeti na hili linatokana na Eliasaph kutayarisha bajeti hiyo kwa usiri mkubwa akiweka vipengele hewa ambavyo bodi ina wasiwasi navyo hivyo kuikataa kila wakati. Bajeti huwa inatengenezwa na kitengo maalum katika idara ya fedha lakini safari hii imekuwa na usiri mkubwa. Ilibidi iwekwe hadharani kwa wafanyakazi kupitia workers council ndiyo iifikie bodi jambo ambalo halikufanyika.


Kama tulivyoeleza awali matumizi mabaya ya pesa yanapeleka kampuni kusikoeleweka. Pesa huchotwa kama za mtu binafsi bila kujali taratibu za kihasibu. Viongozi hawa kwa vikundi huenda safari kila wakati kuliko viongozi wote waliopita. Posho wanayolipana ni kubwa mno kwa kila siku hivyo hata safari za watendaji wa chini huenda wao.


Mwenyekiti wa bodi Mustapha Nyang’anyi aliliambia Sunday Citizen tarehe 12 januari 2008 kuwa uzembe wa menejimenti ya ATCL kutoingia mkataba na kampuni iliyokuwa ikodishe ndege kwa ajili ya mahujaji ndiyo chanzo cha sakata zima la hasara katika usafirishaji wa mahujaji. Ukweli ni kuwa menejimenti haikutaka kushirikisha wafanyakazi wa kawaida kuratibu safari hii kama ilvyokuwa miaka iliyopita. Hii ni kwasababu walitaka iwe siri yao kwa kutafuta ndege ya bei poa kuliko hiyo iliyopatikana kitu ambacho hakikuzaa matunda na hatimaye kusema ATCL haiwezi kusafirisha mahujaji.



Mbona kabla ya makaburu iliwezekana. Hapa pana ufisadi sio uzembe tuu. Wapo wazoefu wa kazi ndani ya kampuni lakini wamekodi mtu wa nje Mtambalike rafiki yake DM kwenda kusimamia kurejea mahujaji. Tunasema hii ni hujuma na kuwadharau watendaji wa ndani.
Magari ya kampuni yamenunuliwa kwa bei kubwa bila kufuata taratibu na viongozi wanne kupata magari kutokana na gharama hiyo kubwa na bila kufuata utaratibu wa ununuzi. Hivi sasa kampuni ina madeni mengi kutokana na ufisadi.
Wafanyakazi wasiotakiwa hasa wale wa zamani hutafutiwa sababu za kuwaondoa ili ajira wapewe watu wa DM. Mifano hai tumetaja hapo juu na mingine mingi tunayo kama ule wa Said Ibrahimu kufanyiwa visa na Mark Manji hadi kuamua kustaafu ili yeye Manji aongeze muda alipoamua kustaafu kwa kisingizio kuwa hakuna wa kuchukua nafasi yake.
 
Capuchino, you multipost this info so much. Una dhamira nzuri lakini hatuendi hivi.
 
Mkuu capucino, nilivyoelewa mimi ni kuwa awali, TCAA ilitoa kibali kww ATC kuruka baad ay kujiridhisha kuwa imekidhi vigezo vyote. Lakini wakati wanatumia kibali hicgho, ukafanyika ukaguzi mwingie (toutine) ambao ndio umegundua matatizo haya. Nilivyoelewa ni kuwa matatizo yaliyogunduliwa hivi sasa hayakuwapo wakati ulipofanyika ukaguzi uliowapatyia ATC kibali cha kuruka.
Hivyo, sioni ni kwa namna gani TCAA inaweza kuwajibishwa kwa hili.
 
Kwa taarifa ya Capuchino, ni vema hoja binafsi itolewe bungeni ili iundwe kamati ya bunge kufanya uchunguzi yakinifu wa ATCL. Si unajua tena vyombo vya dola havifanyi kazi yake vipo likizo yenye malipo!!
 
Tuhuma za wafanyakazi ATCL zifanyiwe kazi haraka
Basil Msongo
Daily News; Sunday,December 14, 2008 @09:42

Najivunia kuwa Mtanzania, naipenda nchi yangu, wakati wowote nipo tayari kuitetea sifa ya nchi hii na kamwe sitamuonea haya ye yote aliye kikwazo cha maendeleo ya Tanzania aidha kwa kufahamu au kutofahamu, kwa kutumiwa au kwa maslahi yake binafsi.

Ni kutokana na mtazamo huo, nadiriki kusema kwamba yanayotokea sasa katika Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) yanasikitisha na ni aibu, hivyo serikali inapaswa kuchukua hatua haraka ikiwa ni pamoja na kuzifanyia kazi tuhuma za wafanyakazi wa kampuni hiyo.

Kauli za wafanyakazi hao zimenifurahisha, si kwamba nimethibitisha kuwa ni za kweli, ni kwa sababu wamesema wanachoamini, wameeleza hisia zao na kutoa msimamo, nashawishika kuamini kuwa waliyasema hayo kwa kuongozwa na uzalendo na si chuki binafsi, aidha kwa Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, David Mattaka au viongozi wengine.

Naamini kuwa serikali imeelewa, tatizo ATCL si upungufu wa ndege au ukosefu wa fedha tu, wafanyakazi hawana imani na utawala ulio chini ya Mattaka na Bodi ya Wakurugenzi inayoongozwa na Balozi Mustafa Nyang’anyi.

Kuna mambo ya msingi yanayostahili kufanyiwa kazi haraka, hayahitaji uchunguzi au utafiti, hayahitaji mwongozo wa sera au fedha za kigeni, mfano, kurudisha uhusiano mzuri kati ya menejimenti na wafanyakazi.

Hata kama ATCL itakidhi masharti ya usalama, hata kama ndege zake zote zitakuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa asilimia 100, ni ndoto kwa kampuni hiyo kupata mafanikio kama hakuna uhusiano mzuri kati ya utawala na wafanyakazi.

Sina mamlaka ya kusema tuhuma za wafanyakazi wa ATCL ni za kweli au la, lakini nina wajibu wa kuiomba serikali isizipuuze, ufanywe uchunguzi ili kufahamu tatizo ni nini na nani kasababisha. Busara itumike ufumbuzi upatikane haraka iwezekanavyo, Watanzania wana haki ya kujivunia alama hiyo ya Tanzania na si kusononeka.

Upendeleo, kujuana, huyu ni mwenzetu, na rushwa visiwe na nafasi katika mchakato wa kurudisha hadhi ya ATCL, ye yote anayeonekana kuwa ni kikwazo cha mafanikio katika kampuni hiyo awekwe kando kwani ni chombo cha Watanzania, fahari ya Watanzania, mali ya Watanzania na ipo kwa ajili yao, hivyo maslahi ya taifa yazingatiwe.

Ni kwa kuzingatia hilo, ikithibitika kuwa kuna udhaifu wa kiutendaji katika menejimenti, wahusika waondolewe haraka, jukumu hilo wakabidhiwe wenye uwezo wa kuiongoza ATCL kwa ufanisi, watakaoiwezesha kampuni kumudu ushindani kwa kibiashara katika usafiri wa anga ndani na nje ya Tanzania.

Sioni tatizo kumuondoa Mattaka katika uongozi wa kampuni hiyo kama ikithibitika kuwa yeye ni tatizo ATCL, na pia sitashangaa endapo Bodi ya Wakurugenzi itavunjwa kwa manufaa ya umma kama imeshindwa kusimamia menejimenti.

Ninaamini kuwa Rais Jakaya Kikwete, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Maendeleo ya Miundombinu, Dk. Shukuru Kawambwa; wapo makini kutafuta ufumbuzi wa matatizo ATCL, na sina shaka kuwa uamuzi wa serikali utakuwa wa haki na utazingatia maslahi ya taifa.

Kwa kuwa wafanyakazi wa ATCL wameonyesha nia ya kuandamana kwenda Ikulu, Waziri Kawambwa akazungumze nao, wapewe nafasi ya kusema waliyonayo, na awaeleze serikali inafanya nini ili kurudisha hadhi ya kampuni hiyo.
 
Mpita Njia has no status.
JF Senior & Premium Member Join Date: Mon Mar 2008
Posts: 1,385
Rep Power: 23

Thanks: 436
Thanked 988 Times in 516 Posts
Credits: 123,689

Re: Tcaa ichunguzwe upya-atcl scandle

--------------------------------------------------------------------------------

Mkuu capucino, nilivyoelewa mimi ni kuwa awali, TCAA ilitoa kibali kww ATC kuruka baad ay kujiridhisha kuwa imekidhi vigezo vyote. Lakini wakati wanatumia kibali hicgho, ukafanyika ukaguzi mwingie (toutine) ambao ndio umegundua matatizo haya. Nilivyoelewa ni kuwa matatizo yaliyogunduliwa hivi sasa hayakuwapo wakati ulipofanyika ukaguzi uliowapatyia ATC kibali cha kuruka.
Hivyo, sioni ni kwa namna gani TCAA inaweza kuwajibishwa kwa hili.
__________________

Mkuu MPITA NJIA
naomba nimsaidie kujibu capchyno...anacholalamikia capucino yuko right kabisa huwezi kutoa kibali bila kufanya inspection na kujiridhisha mwenyewe..sasa basi kama umesoma gazeti kilichofanya hata kampuni ikafungiwa ni ile auditin ya ICAO kwa TCAA ikimaanisha kama mkugenzi wao mattaka alivyosema kama si hii auditin yote haya yasingefanyika!!!
means huu uozo ulikuwepo na kwa taarifa niliyosikia jamaa baada ya kufanya check yameans kila airlinr inatakiwa iwe na mafaila yao kwa kila kitu wanachofanya ATC walikuwa hawafanya hivyo!!!so ndio maana ujiulize kwa nini walipofungiwa muda si mrefu
munyagi anasema wakapeleka docs zinazotakiwa means walikuwa nazo na wameshindwa kufanya hivyo...na ndio maana nimesoma gazeti kuhusu wafanyakazi nikaona hapa kuna uzembe wa watu fulani nlakini kutokana na uswahiba nawaonea huruma hakuna kitakachofanyika na watu wanakula na kuendelea kula ten perc kama kawa@@@@2
 
Ninavyoelewa mimi ni kwamba documents zilizohitajika kwa ATCL kutonyanganywa leseni hazina uhusiano kabisa na inspection ya ICAO.Manejimenti imezembea kutopeleka nyaraka kwa wakati uliotakiwa kama alivyofafanua mama Munyagi, na kwauzembe wao wamelifikisha shirika pabaya kwahivyo wawajibishwe.
 
Kama tunakumbukumbu sahihi, wakati fulani kulitokea kashfa ya ATCL na usafirishaji wa mahujaji kwenda Mecca. Katika kashfa ile bodi ya wakurugenzi iliandika taarifa yake juu ya sakata lile na kuonesha bila kificho nani walisababisha matatizo yale. Vyombo vya habari viliandika juu ya taarifa hiyo ambayo ilipelekwa kwa serikali ili hatua stahiki zichukuliwe; lakini mpaka leo hii hakuna hatua zozote zilizochukuliwa kwa wahusika na pengine hatua hizo zingechukuliwa ATCL isingefika hapo ilipofikishwa. Serikali lazima ibebe lawama zote juu ya matatizo ya shirika hili la ndege.
 
mod tunaomba ijitegemee pls!!!!
ahsante

Nimesoma gazeti la leo likanikumbusha mbali sana kuna maswali nilikuwa naulizwa nikiwa darasa la tano na saba majibu ni....MUSTAPHA NYANGANYI
leo hii kwa bahati mbaya naskitika kupingana na yule yule mabae kwa wakti huo niliona bila kujaza jina lake ningefeli masomo darasani na si mwingine
.M.NYANGANYI
Ndugu zangu napenda kumshauri mzee wangu wa muda mrefu kwa kweli siku alipoteuliwa kuongoza nilimsikitikia sana maana nilijua ipo siku atakuwa wa kwanza kumwambia rais sasa basi kadri ya heshima na uadilifu alio nao..huwa akiona mambo kombo achoki kuachana nayo..leo hii nimesoma gazeti la mwananchi akisema kama bodi itaonekana imehusika basi ajiuzulu..Bila jazba ningependa kumwambia mzee wangu nyangangyi muda umefika sasa wa kusema basi...am going kabla ya wafanyakazi kuanza kuropoka...sijui nini kinaendelea uko tanzania lakini nimekuwa nikipata uchafu mwingi unaofanyika huko kutoka kwa ndugu yangu mmoja ambae alikuwa huko zaidi ya miaka 20
Swali langu namuuliza Mh nyanganyi kwa haya chini kwanini usiachie ngazi kiustaarabu

NO.1
MAHUJAJI
Nafikiri mpaka sasa anajua nini kilichotokea kwa mahujaji kuwafedhehesha pale airport kama yatima...katika kuchunguza tuliona raia mwema wakituinyesha barua mbalimbali za baadhi ya viongozi wakikana kuhusika kwao na mwisho kuweka wazi barua aliondika mh nyanganyi kusema atachukua jukumu kuwapeleka kama management wameshindwa..nyanganyi unakumbuka
managemente waliandika kwamba katika mchakato mzima na bei mliotaka kuleta ambayo katika uchunguzi tulikuta mahjujaji wametoa bei tofauti na nyie mkapeleka bei tofauti ATCL..Ndio maana wataalamu wakakutalia kwa kusema ni hasara ya mwaka na hawawezi hiyo biashara....je kulikuwa na nini??ndani mh???

BILLION 1...iliotolewa na serikali kuhakikisha mnawapeleka mahujaji hata kama wamechelewa matokeo yake mkaunda kamati ambayo mlikuwa kila siku nasikia mkigawana lakitatu mpaka mahujaji wakaisha wote..ulikuwa hujui pesa za wananchi walipa kodi mmoja wapo aliwepo mwanao???

PILI
(UJIO WA AIRBUS)
Wakati ndege ikiletwa ulikuwa ukijua matatizo yake na ukaombwa kusimamisha uletaji wa ndege hiyo na kuletewa ushahidi hiyo ndege si nzuri na iweje mkalipa doller 360,000 wakati min kwa soko la wakati huo kimataifa ni 260,000 na ukaletewa na baadhi ya sehemu ambazo mngeweza kukoidsha kwa bei nafuu na kupata afadhali ya trainning bure laikini mkakimbilia kwenye 360,000 ,,,mkiambiwa mmetafuna pesa za wananchi bodi yako itakataa hili???

......Wakati ndege ikisubriwa kuja kuna watu walienda kukaa kule zaidi ya miezi sita na mkiwalipa doller 400 kwa siku..mh nyanganyi unalijua hili mpaka mwingine ikabidi nasikia aje kwa ukulazimishwa na bodi yako......
je 400*30*6=72,000usd kwa mtu mmoja mlikuwa hamjui ipo siku mtakosa pesa za mafuta,wakati ndege ikiletwa kulikuwa na matatizo mengi ikalazimu kuita kampuni ya mauritius ufanya aintanance na sijuikama kweli mnailipa 200usd kwa mwezi mlio bongo tujulisheni.....

MARUBANI WA AIRBUS****
Mlipoileta mkaamua kuleta marubani wa kukodisha ,ambao nasikia wametofautiana na baadhi ya watu kuhusu ten pers wameletwa wengine
tena...sasa labda nikuabalishe mh NYANGANYI Kwa hili usipojiuzulu basi utajiuzulu maisha...una taarifa hawa matubani mliowaajiri mnawalipa euro 16,000 na kuna kila mmoja kwa kila masaa 300..na katika hili kuna mtu anachukua euro 3000 kutoka kila mtu kama ahasante????????????
Pili unajua hii kampuni EASYWAY inawaleta hao marubani kama kuja kufanya traiinning kwenye airbus ya AIRTANZANIA inayopakia abiria wenye hekima zao..je uoni hatari uajiri marubani frdsh kutoka shule gafla waje kufanya trainning kwenye ndege za abiria!!!na kuchea na roho za watu is it fair??
 
AJIRA MBOVU

swala la ajira nahisi si la kuongelea sana maana hata wewe umehusika kuna baadhi ya watu walikuja kwako ukawaelekeza waende kumuona dav na hivi sasa wamejazana matokeo yake ..umejaza watu ambao si qualified kwa minajili ya kujuana na uswahiba...mwisho unafikia kulalamika hmna pesa za mafuta is this fair kweli???wakati mkiwaajiri hamkuwa mnajua kwamba ipo siku wanaitaji mishahara mwisho wa mwezi...matokeo yake mnaendelea kuajiri watu kwa kuwahonga mapenzi na mwisho kuaribu furure ya watoto wadogo hapo..mfano kuna binto ameolewa hivi karibuni habari zakusikitsha ameajiri muda si mrefu na kudanganywa kwa mapenzi na mmoja wa mameneja matokeo yake akapitiwa mpaka na kurugenzi..nafikiri inaitajika hekima ya hali ya juuu hapo tanzania..

MIKOPO
Mmekuwa mkikopeshana pesa za kampuni bila kujua ipo siku mtaishiwa na kuaminiATCL Ni kisima cha hela..kuna wakurugenzi wako wengi tu wanadaiwa na kampuni kuanzia 10million mpaka 25million,,naomba kuuliza hujui kuna sheria za mashirika mkopo wa kampuni unaruhusiwa iwapo mhusika ataweza kulipa ndani ya miezi 6????je million 15 wanalipaje ndani ya miezi 6..na hili unalijua mh nyanganyi kabla ujaletewa ushahidi????

SAFARI
KUMEKUWA NA SAFARI ZA MARA KWA MARA AMBAZO ZIMEIGHARIMU KAMPUNI ZAIDI YA MILLION 72 KWA MKURUGENZI MMOJA.BADO MILLION KAMA 115 KWA CEO WAKO KWA AJILI YA SAFARI AMBAZO MPAKA LEO HII NI WEWEE NDIWE ULIKUWA UNAJUA NA BODI YAKO ANAELEKEWA WAPI NA KIMAHESABU MWAKA MMOJANA NUSU WAMETUMIA MILLION 172 JE WAKIPEWA MIAKA MIWILI???MOLA WASAIDIE WAJA WAKO

ACTING ALLOWANCES

Kumekuwa na malipo ya ajabu ajabu yasiyo na maana ambayo yamepelekea kwa namna moja ama nyingine kutufikisha hapa tulipo..mfano CEO amekuwa nje ya nchi ama mkoa mara kwa mara na matokeo yake kukabidhi madaraka ,,mwisho wa siku mtu huyo huyo anapokea mshahara wake na act allowances...kwa mwezi mzima ATCL imekuwa ikitoa zaidi ya sh milion 15 kwa ajili ya act allowances za watu mbalimbali!!!je kama mw wa BODI ulikuwa ujui ,na kama ulijua kwanini usiwajibike kama mstaarabu tukujuavyo???

MALIPO YA BODI}+KUTOLIPWA MISHAHARA WAFANYAKAZI
Mh mwenyekiti.kidogo bado kichwa kinauma kwa nini usingoke....BODI yako nasikia mmekuwa mkilipana kwa doller nyingi tu kwa masaa machache
la hasha swala si kulipana doller 5500 kwamasaa 2..swala je kutolipwa wafanyakazi wakomishahara na wewe kukaa kimya huoni hili swala ni muhimu zaidi,,,huoni kama si wafanyakzai wewe usingekuwapo kwenye BODI..IWEJE unadiriki kuchukua usd 5500 kulipana kwa masaa machache wakati kuna watu zaidi 50 hawajalipwa mishahara yao...na mwisho inasemekana wengine kuamua kuresign ....je kwa hili kun uhalali wa kuendelea na BODI YAKO???

TRAIINING YA MARUBANI
Mh mwenyekiti.kama ninavyouliza na nilivyouliza mwanzoni.. hii ndege yenu mmeileta ina mwaka sasa lakini muda wote hamko wala kufikiria kuwapeleka marubani kwenye trainning matokeo yake mnaendelea kuwaleta marubani wa nje na kuwalipa pesa nyingi kisa mnakula ten perc..hamwonei kampuni huruma kweli.hata kama hii swala ni la management mikataba yao lazima iletewa kwenu kwenye bodi ,,mmekaa kimya mnakimbizana na kulpa watu euro huku zingine mkijua zinaenda wapi!!!matokeo yake mnashindwa hata kulipa hoteli wanazokaa na kutia aibu kampuni!!!!kwa nini mnangangania marubani wanje??
y?????????????????????????????????????????????????????????????????
kuna nini huko!!!tunaomba serikali kama imedhamiria kuliona shirika likisimama wapeleke wazawa trainning badala ya kuishia kuwalipa wazungu pesa na kuwalipia hotelini doller 150 kwa siku kwa mtu mmoja..je kuna haja ya kuwa na BODI mhe mwenyekiti????
 
KULETA MARUBANI WASIO NA RATES
ndugu mwenyekiti..kumekuwa na malalamiko ya ajabu ajabu huko kwenye kampuni yako!!!kuhusu hawa marubani wa kizungu mnaowaleta..labda kwa taarifa yako tu kuna kampuni inaitwa easyway...kampuni hii imekuwa ikiwafanyia trainning wanafunzi wanaotoka fresh from school na baadae kuwapeleka kwenye mashirika kufanya trainning..kwa bahati mbaya shirika lako limekubwa na style hii kuwachukua watu kuja kufanya traiining na hivyo kutishia maisha ya watu!!1je huoni si haki kucheza na roho za watu kama managemente yako inavyoona na kama umeliona hili je kuna haja ya kuwa na
BODI YAKO???mhe mwenykiti!!

UBADHIRIFU WA MAGARI
nafikiri hata majuzi tulikuwa hapa washington tukzungumzia sana huo uuhuni miliwafanyia wafanyakazi kwa kuwaleteta ma lexus ya bei mkijua mtwadanganya kwa wizi mlioutenda..mh mwenyekiti kwa ruhusa ya bodi yako management ilichukua zaidi ya million 290usd kwa ajili ya kuleta magari ..wengi walijua magari yanakuja na hivyo kupunguza matatizo ya wafanyakazi....matokeo yake managemente yako wakiongozwa na DM-walienda kule wakanunua magari mabovu kwa bei ya chini na walipoyaleta wakaonyesha pesa tofauti na bei walionunulia..na hivyo kushindwa ulipia kodi..mpaka sasa nasikia ni magari 5 tu ndio yaliyotolewz kati ya 21.....habari zaidi zinasema hayo magaro yapo kwenye YADI ya mmoja wa maswahiba wa DM..NA WEWE UKJUA HILI WANALIPA ZAIDI YA USD 3500 KWA MWEZI TENA ON TYME HUKU WATU HAWALIPWI MISHAHARA YAO JE KUNA UMUHIMU WA KUENDELEA NA BODI YAKO MH MWENYEKITI!!!!

KWA HAYO MACHACHE BADO MUDA UNAO KUTANGAZA LINI UMECHOKA ULIWEZI TENA ESP WAKATI HUU KAMPUNI HAINA HELA............
 
Je hayo magari yatatolewa lini??na aliehusika kuyaleta na kushindwakuyatoa aliwajibika???
kuna fununu kuna baadhi ya waliohusika katika kuleta magari haya ama kwa kwenda kuyaangalia ama kusaini kati ya moja ya makaratasi...swala hili liko mikononi mwa takukuru na baada ya kuona hilo wameongezewa mshara hawana hata miezi 3
kutoka laki 480 mpaka 700..na wa laki saba mpaka 950,,unajua hili.kama ndio unaonaje kwa uadilifu wako uwe wa kwanza kuwaambia wafanyakazi ahasanteni kwa yote milyonitendea nasikitika nilikuwa najua niko na watu watakaoisimamisha kampuni matokeo yake ndio haya...na mwisho kuwajulisha
 
Kwani bado kuna kitu kinaitwa eya tanzania!!! wana ndege ngapi za kwao wenyewe???

Ni lazima kwa serikari kuwa na shirika la ndege???

Mi naona kama lingeuzwa tu???????
 
Mheshimiwa mweneyekiti
una taarifa hata kampuni yako ikirudishiwa hiko kibali
hutoweza kurusha ndege zako zile ndgo kama dash 8
na sababu uanajua itakuwa nini//..ama utaishia tena kuwaambia
watu uzembe...kampuni yako imekuwa ikifanya maintenance za ndege illega kwa kutokuwa na kibali cha amo..aircraft maintanance operator...ambacho una taarifa kimeisha toka mwezi march27 2003.....je huoni haya ni matataizo traight ya dierector wa techn..je kuna haja ya kuongoza kampuni hii wewe na bodi yako!!!kwa mantiki hii ni kwamba maengineer wote wa kampuni kisheria wanatakiwa kukaa nyumbani mpaka mtakapopata kibali cha kufanya maintanance ya ndege!!!!narudia tena mh chairman kuna haja ya kuwa na bodi yako???????????????
Kwa maoni yangu hayo natumaini mh nyanganyi hivi sasa ukisoma haya
jumanne ntakuwa nikisoma gazeti umeamua kuwaachia wenyewe kampuni yao...usione aibu mzee kila mmoja anajua uadilifu yako!!!wahi mapema

ushauri wa bure kwa serikali
baada ama kama wata resign ama kungatuka kila mtu achungzuwe aliehusika na mikataba mibovu!!!!na kupanda kizimbani kwa makosa yake...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom