Hizi ni laana au kitu gani? Mambo gani haya nchi imoza kabisa au ndio watu wameamu kuwa vyote vyote itakavyokuwa kila mtu kwa anafasi yake ni kupiga bao tu hakuna kuangalia sura ya mtu... ....JK si ulisema urais wako sio wa ubia na mtu yeyote mi nina mashaka lazima utakuwa na ubia may be wa 70-30% kama sio 50-50% hii ni noma.